Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

ROOMMATES

Imendikwa na
Ashiru E Hussein
Toleo la kwanza 12/11/2020
FADE IN.
EXIST. ANGA YA ALIFAJILI
Kijana anaonekana akishtuka usingizini, anaonekana mwenye kujali juu ya muda.
Baada ya kuangalia saa anashika simu anawasiiana Na mwenzake.
[Simu inatoa mlio] “Driiii driiii driiii”
JOHN [Sauti kwenye simu sks]
“We! ASHIRU?”
ASHIRU
“Naam, amka muda umewadia wa safari”
JOHN sks
“Sawa naamka, vipi wewe ushamaliza kujiandaa?”
ASHIRU
“Ndo naenda kuoga”
JOHN sks
“Poa, ebu nijiweke tayari fasta”
ASHIRU anaamka kitandani akioneana mwenye shauku ya safari, anaangalia
mizigo yake Na kuiweka tayari, kisha anaelekea nje ya chumba Na kwenda
kukoga, waati aiwa nje anashangazwa Na anga ilivyo tanda nyota za alfajri
zinazofifia Kwa mbali. Baada ya kukoga akiwa anarudi ndani anaonekana
anagonga dirishani Kwa RAHAMA (mke WA mjomba wake)
ASHIRU
“Asalaam alaykum warahmatullah Wabalakatu”
[Sauti iitokea ndani]
RAHAMA
“Wa alaykum salaam warahmatullah wabalakatu, umeamka salaama”
ASHIRU
“Alhamdullah nimeamka salama, ofu kwako mama?”
RAHAMA
“Alhamdullah nas pia, Kavaae gari lisije likakuacha, kumbuka kunywa
chai”
ASHIRU
“Sawa mama”

Simu inasikika ikitoa mlio chumbani kwakwe na ASHIRU, ASHIRU anaanza


kuelekea ndani kwa kukimbia, anapokea simu baada ya kuingia chumbani.
ASHIRU
“Naaam, ushamaliza kujiandaaa?”
JOHN sks
“Ndio mi ndo natoka ndani, husisau kubeba tiketi”
ASHIRU
“Husijali……………”

You might also like