Professional Documents
Culture Documents
Activate Windows
Activate Windows
5. Right click on it, Just look for Startup and Click on Automatic.
6. Now, open Run again by pressing Windows + R or you can open it from Start
menu as well.
7. Paste this command into run box : gpupdate /force & Press Enter.
Au
1. Click on start menu.
3.Right click on cmd file and click on Run as Administrator.It is must to run command
prompt with administrator privileges.
write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili
data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku
delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame
set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.
TWENDE PAMOJA......,
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana
itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya
1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy
mafaili kwenye kompyuta yako.