Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 10

(41———50)

Penzi la Shemela
(41----45)

PENZI LA SHEMEJI
SEHEMU YA 41

" Kijana vip? Mbona unatetemeka hivyo? Hujiamin?" akasema mmoja wa wale askari "
Ana haki ya kutetemeka kwa sababu ni kitu kigeni na cha kuogofya kwake" akasema
shemeji ambaye hata sijui alipotokea " We ni nani unayemuongelea?" akauliza mmoja
wa wale askar " Mimi ni shemeji yake,mimi ndiye mfiwa" akajibu kwa kujiamin " Okey
mfiwa,tupo hapa tunamchukua huyu shemeji yako kwa mahojiano maalum" akajibu yule
askar " Nipatieni kibali cha ruhusa ya kumkatama shemeji yangu" akasema kwa
kujiamin Wale askar wakatazamana kisha wakajibu "
Aaah! Unajua imetokea tu ghafla baada ya kupata maelezo kuwa vifo vya hawa watu
vina uhusiano na huyu shemeji yako ndiyo tukaona tuende naye" wakajibu kwa
kutokujiamin " Ni sheria ya wapi inayosema kuwa mtu anapelekwa polisi kwa kukamatwa
bila kibali na pili akiwa mgonjwa! Ina maana hamuoni hali yake?" alikuwa anaongea
kwa kujiamin sana mpaka nikashangaa " wee! Usitufundishe kazi sawa?
Hapa nyamaza na huyu tunaondoka naye" akafoka mmoja wa askari " Nyie mnanijua
vizur? Au mnanisikia? Chezeni na watu wengine na sio mimi hapa hatoki mtu,hamuwezi
kuja kunivurugia msiba na kumchuka mfiwa,kama akili zenu zinafanya kazi hao
wamepata matatizo huyu akiwa hana faham sasa mnamkamata kivip?" akafoka shemeji "
Sasa unatufokea Mura?" akajibu askar mmoja mwenye lafudhi ya kikurya " Ndiyo
nawafokea kwa sababu hamjui kutimiza majukumu yenu,,,,hebu subir" akasema kisha
akatoa simu mfukoni na kupiga "
Hellow......ndiyo advocate wangu,,,,,yah! Sasa fanya hivi,chukua ndege dakika
ishilini uwe Moshi kuna watu wanataka kuniharibia msiba....ndiyo,,,wanataka
kumkatamata dogo wakati hata kibali cha kumkamata hawana na pia hawana kosa la
kumkamatia...ndiyo...make it faster" aliongea na simu kisha akakata ila kila mmoja
alikuwa kaelewa aliongea na nan? " Sikieni kama mnajiamin na mna kiburi basi
mchukueni huyo hapo muondoke naye na kisha tutajua pa kukutania" akasema wale
askari waliangaliana kwa muda kisha taratibu wakapanda gari wakiwa na ile miili ya
marehemu wale na kuondoka "
Tunaenda ila nakuhakikishia tutarui hapa,kama kuna kitu kinaendelea mtajua tu"
wakasema kabla ya kuondoka Walipoondoka Shemeji alimuita mama na mimi kisha tukakaa
kikao cha siri na kipindi hicho tetesi mbaya zilishaanza kuzagaa eneo lile kunihusu
mimi kuhusishwa na kifo cha Urio na Mushi " Mama usiwe na wasi wasi shemeji
hatakamatwa kabisa" akasema shemeji " Sawa" akasema mama kiuoga " Subiri kidogo"
akasema kisha akatoa tena simu "
Hellow....unaonaje kwanza nikiwa siliana na Boaz hata nisaidia?....yah.......ok
nipe dakika tano" akasema na kukata Shemeji alipekua simu kisha akapiga "
Hellow...naongea na mkuu wa polisi mkoa kikanda wa kinondoni kamanda
Boaz?....ndiyo....ni mimi Lilian bana mke wa marehem....ndiyo .....fanya kwa ajili
ya upendo wangu kwako..kuna inshu hapa Moshi zinataka kuhalibu mambo naomba
uwasiliane na mkuu wao haya mambo yasiende sehemu...ndiyo..nitatimiza unachotaka
usijal baby...kwaher" akakata Kila mmoja pale alishtuka kuona shemeji anamuita
Kamanda Boaz baby?!!!! Ila tukafanyia kichwani " Mnawaza nini sasa? Mnashangaa mimi
kumuita baby?" akauliza " Hapana wala hatushangai" akajibu mama " Sikia wewe
mama,unajua wewe ni mnafiki" akafoka shemeji " Kivip mwanangu?" akauliza mama " Ule
mchezo uliokuwa unaucheza na Junior unajua ulishtukiwa na wale wazee? Na walipanga
kuwaumbua na kumlazimisha Junior ajitokeze makaburini? Isingekuwa mimi kuwa makini
unajua mngeshapotea? Nimeua kumlinda Junior,nitatembea na huyo Kamanda ili kumlinda
Junior na kila nachofanya kwa sasa ni kwa ajili yenu na sio mimi Sasa angalia sana
kwa sababu anayefatia kufa utakuwa wewe"akamalizia Mama alishtuka kidogo aanguke
chini!!!!...
ITAENDELEA
PENZI LA SHEMEJI
SEHEMU YA 42

Mama alishtuka sana kusikia shemeji anasema kuwa yeye ndiye anayepaswa kufata kwa
wanaotakiwa kufa " mamangu,ni kipi kibaya nilichokifanya mpaka ufikie huko?"akasema
mama kwa hofu kubwa "tatizo lako una kiherehere na unapenda kuingilia mambo yasiyo
kuhusu"akajibu shemeji "lakin mamangu? kulikuwa na tatizo gani mpaka ukaamua kumuua
mwanangu na bado unaendelea kuua? kwa nini usibadilike?"mama akaendelea kumuulia
shemeji "matatizo ni mengi,sasa sijui unataka nikueleze lip? la mwanao? au kwa nini
naua?"
akauliza shemeji "kwanini unaua?akasema mama "hilo ni vigumu sana kukueleza kwa
sasa,kwa sababu ni historia ndefu sana ila mimi nitakwleza kwa nini nilimuua
mwanao"akasema shmeji "haya kwa nini ulimuua mwanangu? na kwa nini unataka kuniua
na mimi?"akauliza mama
"labda nikuulize wewe mimi na mwanao tulikuwa na miaka mingap kwnye ndoa bila
mtoto?"akauliza "mitatu"akajibu mama 'na unajua kwa nini?" akauliza shemeji "hapana
sijui,mimi nilidhani ni uzungu wenu wa kupanga uzazi?"akasema mama "hakuna uzungu
hpo mama! mwanao alikuwa hana uwezo wa kunipa mtoto"aksema kwa kujiamin sana
"heeeeee!!!!! unasem kweli mwanangu?"akauliza kwa hamaki mama
"ndiyo,mwanao alikuwa tasa,nilivumilia hilo swala kwa muda mrefu sana ila nikafikia
hatua nikashindwa,na mimi kama mwanamke yeyote yule napaswa kupata mtu wa kuniita
mama, nilishafikilia kuachana na mwanao ila alipotokea huyu Junior nikaona haina
maana ni bora kama ni mali zibaki katika mikono yenu na kama ni dam niipate kutoka
katika familia hii hii badala ya kwenda nje,sasa nilifanya makosa?"
akaeleza kirefu sana shemeji Mama aliinama chini machozi yakamtoka,alikuwa akilia
hakika na alikuwa dilema ya kukubaliana na uamuzi wa shemeji au kuuukataa "lakini
hukutakiwa kumuua"akasema mama "ilikuwa lazima nimuue kwa sababu bila kumuua
msingenielewa na nisingepata nafasi ya kuishi na Junior mama"akalalamika shemeji
"nipeni nafasi nitafakari hili jambo ni zito sana jaman,nikiwa sawa nitakuja na
majibu muafaka"akasem mama "haya mama,ila kuwa makini sana"akasema shemeji
"sawa"akajibu mama
Baada ya mama kuondoka shemeji aliinama kwa muda kisha akanyenyuka na kuniangalia
"itabid mama atupishe"akasema "una maana gani kuwa atupishe?"nikauliza "mama
akiendelea kuwepo kitakuwa kikwazo kikubwa sana kwetu"akasema "kwa hiyo unataka
kumuua mama? siko tayali"nikajibu "hivi unakumbukumbu nzuri kuwa wewe ndiye
uliyemuua kakako? na hii kesi ikifumuka mtuhumiwa ni wewe na si mimi?akasema
shemeji Nilishtuka baada ya kugundua kuwa huo ndo ukweli wenyewe "kwa sababu
hiyo,ukikamatwa ina maana na mimi nitakamatwa kwa mauaji ya dokta na yale ya wzee
na mimi sipo tayali"akasema 'tafuta njia nyingine ila sio kumuua mamangu'nikasema
kwa kujiamin "sasa sikia,kwa ajili ya uhai wangu,kuna option mbili aondoke mamako
au muondoke wote jiandae kwa hilo pia'akasema kwa kujiamin Nilishtuka
sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ITAENDELEA

PENZI LA SHEMEJI
SEHEMU YA 43

Nilishtushwa sana na maneno yale ya shemeji kuwa na mimi napaswa kufa " Sababu ya
mimi kufa ni ipi shemeji?" nikamuuliza " Kwa sababu badala ya kutafuta jinsi ya
sisi kushinda hili tatizo unakuwa upande wa mama yako" akajibu " Kwa hiyo unafikiri
ukimuua mama ndiyo utapata suluhishi?" nikamuuliza " Haijalishi kuwa nitapata
suluhisho au sitapa nachohitaj ni kuziba mdomo wake kwa sababu unaweza kuniponza
baadae" akajibu " Please! Baby tusiende mbali na haya mambo,naomba mama asiuawe ila
mimina wewe tukabiliane na hili swala" nikasema
" Haina tatizo ila nipe muda nifikirie na ongea na mamayako akae mbali na haya
mambo" akanionya " Sawa nieekwelewa" nikamjibu Tuliondoka na kuendelea na mambo ya
msiba na mimi nikamtafuta mama na kuongea naye pembeni " Mama unajua nakupenda
sana" nikaanza kumwambia " Najua mwanangu kwani tatizo nini?" akauliza " Sihitaji
ufe" nikamwambia " Najua hilo" akasema " Kwa sababu hiyo naomba ukae mbali na hili
swala kwa sababu ukiliongelea tu unajikalibishia mauti" nikasema " Sawa mwaanangu
nimekwelewa" akajibu
" Tutaendelea kukusaidia kama alivyofanya kaka,cha msingi wewe funga mdomo"
nikasema " Sawa baba" akajibu Baada ya kuongea na mama tuliendelea na taratibu
zingine za msiba Mida ya mchana wale askari walikuja na kibali ambacho kiliwaruhusu
kunifanyia mahojiano pale pale msibani na kwa sababu shemeji alishafanya ya kwake
sikuhusisha kabisa na lile tukio la mauaji. Baada ya siku tatu kikao cha ukoo
kilikaa ili kuamua hatima ya mali za marehemu Shemeji alikuja na vielelezo
vinavyoonesha kuwa alikabidhiwa umiliki wa mali za marehemu kaka ikitokea yeye
hayupo.
" Mama tunajua kuwa una nyar?...nyaraka zote tatizo wewe sio mchaga na kwa tamaduni
zetu haturusu mwanamke asiye mchaga kumiliki mali" akasema " Hizo ni tamaduni zenu
ila kwa sheria ya serikali nina haki ya kumiliki hizi mali" akajibu shemeji " Sawa
ila na tamaduni lazima zifatwe" akajibu yule mzee ambaye alikuwa anaongoza kikao "
Unajua siwaelew? Hebu semeni mnataka nini?" akasema shemeji " Kwa mujib wa tamaduni
zetu tena ikizingatiwa hujazaa itabid urithiwe na mdogo wa marehemu ili kuendeleza
ukoo wa marehemu" akasema yule mzee "
Ni rithiwe? Yaani mimi niwe nalala na huyu shemeji?" akauliza " Hatujasema
hivyo,ila unaweza kuwa naye kidogo wakati akisaidia usimamizi wa mali" akatumia
siasa yule mzee " Kwa hiyo sio kuishi kamamke na mme?" akauliza " Aaah! Hapo
mtaelewana wenyewe ila we kubali akusaidie kama mmeo" akasema yule mzee " Kama ni
hivyo haina shida" akajibu shemeji Mpaka pale nilijua shemeji anaigiza ukali ili
kumaliza lile swala la kuhisiwa kuwa tunahusika na mauaji ya kaka.
Baada ya hayo kukamilika ,tulimaliza swala la msiba kwa amani na kurudi Dar es
salaam salama salimini Hatukurud na mama kwa sababu ndiye mfiwa hivyo alihitajika
aendelee kukaa pale kwa ajili ya pole na kuuangalia mji wake. Baada ya kufika Dar
mapenzi yangu na shemeji yalirudi kama mwanzo na tukaendelea kusahau lile swala la
kifo cha kaka. " baby naona hapa tunakuwa wapweke sana,unaonaje tukimfata mdogo
wangu Joan ili aje apa kutupa kampani na hasa ikizingatiwa kuwa kamaliza mtihani
wake wa kidato cha nne na amekaa tu" akasema shemeji "
Haina shida baby wangu ni wewe tu" nikajibu " Basi haina tatizo ngoja nifanye
utaratibu" akasema Baada ya siku tatu pale nyumbani tulipata ugeni wa mdogo wake na
shemeji Siku ya kwanza namuona yule binti mwili wangu wote ulisisimka Nikajikuta
namtaman sana,kwanza nikawa kila akipita mbele yangu najikuta katika wakati mgumu
sana Yule binti alikuwa maji ya kunde moja inavuta sana, vichuchu vidogo sana
ambavyo kwa mbele vimejaa kiasi cha kumfanya mwanamme yeyote rijali amtaman Tumbo
lake lilikuwa doogo tofaut na madem wa siku hizi na kiuno kilikatika vizur
kutengeneza umbo liwe la kuvutia Sehemu inayonipa shida ndo usiseme,alikuwa kiuno
mbinuko! Vikalio vimejaa kidogo na kutengeneza kakiuoni kabinuke vile mavyopenda!
Nilichachawa! " Lazima nimgonge huyu demu" niliwaza
ITAENDELEA

PENZI LA SHEMEJI
SEHEMU YA 44

Nilimwangalia sana yule mdogo wake na shemeji na kupanga yangu kichwani Baada ya
hapo shemeji aliamua kupasua jipu " Baby huyu ni mdogo wangu,nafikiri unamfaham
vizur kwa sababu ulimuona kwenye msiba wa mama,anaitwa Joan,atakuwa hapa kutusaidia
kutupa kampani kwa siku chache" akasema " Nashukuru kukubali kuja kutusaidia
shemeji" nikamwambia nikimpa mkono " Usijal shemeji" akajibu
Alipokuwa amenishika mkono nilisikia kama nimepigwa na shoti ya umeme,nilisisimkwa
na mwili kuanzia unyayoni " Joan,huyu ni shemeji yangu ila kwa sasa ndo mme wangu
kwa sababu huko msibani walisema lazima anirithi,hivyo naomba mheshimu kwa heshima
zote,huyu sasa ni mme wangu,na wewe Jun huyu mheshimu! Nafikiri unanijua ukifanya
upuuzi usinilaum" alisema shemeji huku akimaliza kwa kutishia "
Usijal dada" akasema Joan " Kuwa na aman Joan jisikie uko huru" nikamjibu Joan
badala ya shemeji Shemeji aliniangalia jicho baya na mimi nikawa nimeshajiongeza
kwa akili yangu na kujifanya hakuna kinachoendelea. Baada ya pale sisi tulielekea
kazini na kuendelea na mihangaiko yetu kama kawaida Nikiwa kazini akili yangu yote
ilikuwa inamuwaza yule mdogo wake na Shemeji peke yake "
Mmmmmh! Kile kiuno nikiacha labda niwe mjinga,af kwa sasa mim sio kuku wa kienyeji
tena na pia kama shemeji ni mtam vile basi na mdogo wake lazima awe mtam,ngoja
nimuonje nijue" nikawaza mwenyewe Tuliendelea na kazi huku fikra zangu zikimuwazia
Joan peke yake,kuna kipindi nilikuwa nahstuliwa na shemeji kutokana naakili yangu
kuw imeganda " Hivi wewe una mawazo gan leo? Mbona kila wakati unakuwa kama akili
yako iko mbali sana?" akauliza "
Niko sawa baby usijal" nilimjibu Shemeji Tukaendelea na kazi hivyo hivyo ila akili
yangu haikuacha kukimbuka kiuno cha Joan " Hivi yule nikimkamata nikampa ile
Kalichumbage aliyonifundisha shemeji,yale maujuzi yote yule dogo nimpe af asidate?
Subir" niliendelea kuwaza na kuwazua Jioni kama kawaida tuliporudi nyumbani
tulimkuta Joan akieandaa chakula cha jioni Tulimkuta Joan akiwa kavaa kanga peke
yake na nguo ya ndani kama mabinti wengi wanavyovaa siku hizi wakiwa nyumbani na
wengine hata mitaani
Ile kanga nahisi iliendelea kuniweka katika wakati mgumu sana Kwa sababu kila
alipopita mbele yangu ule mtikisikobwa pwani ulipokuwa ukitokea kwenye kale kakiuno
mbinuko nilihisi kuchanganyikiwa
Nilifikia hatua baada ya kumaliza kuoga chumbani nielekee sebuleni kujifany kama
naangalia tv na nikakaa kwenye sofa ambalo lina mwelekeo wa kuweza kuona maeneo
yanayoelekea jikoni Kwa sababu hiyo kila alipokuwa akitoka na kuingia jikoni
nilibahatika kuuona ule mtkisiko wa pwani " Wewe! Vipe leo kuangalia tv?"
nilishtuliwa na shemeji aliyekuwa amekuja kuniangalia " Aaah!
Unajua kuna wakati nimeingia Facebook nikaona post za watu zinaongelea swala la
sijui mawaziri wamejiuzuru ndo nataka nizione" nikamjibu " Wamejiuzuru kwa sababu
gan tena?" akauliza "Nasikia wameanzisha opereshen ya kuondoa watu wanaoishi kalibu
na hifadhi lakin opereshen imeendeshwa vibaya askari wameua na kubaka huko"
nikamjibu " Mama yagu nchi yetu inafikia huko?" akauliza mpaka na mimi nikamshangaa
kwa sababu kwenye swala la kuua kwake ilikuwa kawaida tu "
Ndi hivyo" nikamjib "Mmmh! Wajiuzuru kabisa,acha na mimi niiangalie" akasema na
kuja kukaa pembeni yangu uzuri ile tv ilikuwa imekaa usawa wa kalibu na mlango wa
jiko hivyo ilkuwa rahisi kumuangalia yule mdada Baada ya muda akapita pale na kuja
kutongelesha. Wakati anaongea niikamkonyeza!!!!
ITAENDELEA

PENZI LA SHEMEJI
SEHEMU YA 45

Tuliendelea kuangalia tv mpaka kilipofika kipindi cha taarifa ya habari na habari


ile kurushwa Tuliiskiliza kwa makini wote wakati huo na Joan alikuwa ameshakuja na
kujumuika wote pamoja na baada ya ile habari kuisha ndo tukaanza kurumbana " Hapa
angejiuzulu na pinda,mbona wamemuacha,mimi kaniudhi sana " akasema shemeji " Pinda
katumia akili pale kapiga bao la kisigino" nikajibu "
Katumiaje akili shem? Na kwa nini hajajiuzuru?" akauliza Joan Nilijihisi furaha
kuiskia sauti ya Joan na nikamjibu haraka " yaan kama hawa mawaziri wangekuwa hapa
bungeni woote na wakajiuzuru kabla pinda hajafika ingechukuliwa kama ni uzembe wa
serikali kutowawajibisha watumishi wake lakin amekuwa mjanja na kuja kutangaza
kuwafuta kazi na hapo itaonekana kama serikali imetimiza majukumu yake kwa
kuwasimamisha" nikaeleza "
Hapo nimekwelewa,kwa hiyo yawezekana Pinda alikuwa hata Dar kaja na ndege haraka
ili asije akaenda na maji?" akauliza Joan " Ndo hivyo" nikamjibu Tuliendelea kupiga
stor mbili tatu pale mpaka taarifa ilipoisha kisha Joan akatukalibisha mezani kula
chakula Tulipokuwa mezani mimi na shemeji tulikaa sambamba kalibu huku Joan akikaa
upande wa pili tukawa tunaangaliana.
Tukaanza kula taratibu na kwa bahati mbaya nafikili Joan akarefusha miguu yake na
kunigusa Nilifurahia hicho kitendo na mimi nikarudishia tena,nikawa namsugua
taratibu na vidole vya mguu wangu nikipanda mpaka mapajan Joan aliona aibu pale ila
akajitahid kutoonesha mabadiliko yeyote yale mpaka mtu aliyejua kinachoendelea kama
mimi ndiye angeshtukia kuwayule anaona aibu Shemeji yeye alikuwa amekolea kwenye
stor ya Pinda na hakujua kinachoendelea
Baada ya kumaliza kula chakula Joan alisimama ili kuondoa vyombo na kwa bahati
mbaya kaka ikataka kumvuka na kwa macho yangu ya kimbea nikawa nimeliona paja lake
jeupe sana tofaut na la shemeji la maji ya kunde " Aisee huyu mtoto ana paja zuri
balaa! Hivi kuna siku nitalichezea?" niliwaza mwenyewe Tuliondoka pale mezani na
shemeji akaniongoza twende chumbani ingawa sikuridhika lakini sikuwa na namna ya
kukwepa.
Tulipofika chumbani na shemeji akaanza mbwembwe zake pale ili tuingie kwenye
mtanange " Leo naomba twende bafuni tukapeane kitotatota baby" akasema " Poa"
nikajibu kifupi " Lakin mbona hauko sawa baby?" akauliza " Niko sawa mpenzi usijal"
nikajichangamsha pale Shemeji alinivua nguo moja baada ya nyingine na kisha
akanibeba mgongoni na tukaelekea bafuni Kule bafuni alitoa nguo yake ya ndani safi
na kuanza kunisafisha mwili wangu taratibu.
Ingawa sikuwa na ham na shemeji bali mdogo wake ila nilipokumbuka mapenzi yake
yalivyo matam nilijikuta nikisisimka sana Alinisugua sehemu mbalimbali za mwili
wangu mpaka nikatakata na mimi ikaingia zamu yangu nikauogesha taratibu huku
tukichezena mpaka akatakata Shemeji akanichukua na kunilaza kwenye sinki la kuogea
kisha akainama kwa mhogo wa jang'ombe na kuanza kuumung'unya taratibu mdomon
Maruhani yangu yakanipanda kutokana na utam niliokuwa nikiusikia mpaka nikabaki
kupiga kelele za utam " Baby kuna kitu kizuur nataka nikwambie uko tayali?"
akauliza " Nipo tayali nambie" nikajibu " Baby tayali nina ujauzito wako" akasema
Nikapigwa na butwa!!!!!!
ITAENDELEAPenzi la Shemela
(46-----50)

PENZI LA SHELEJI
SEHEMU YA 46

Nilishtuka na kupigwa na butwaa kusikia Shemeji ambaye kwa wakati huo alikuwa
kahalalishwa kuwa mke wangu kuwa ni mjamzito. Kilichonishtua sio ujauzito bali
kwenye mipango yangu bado sikufikilia kama nilipaswa kuishi na yule mwanamke Kwa
muda mfupi niliopata kuwa naye kwenye mahusiano nilishagundua ataniendesha sana na
pia hakuwa wife material bali mwanamke wa kugonga na kuacha
Ila kwa sababu nilimfaham shemeji nje ndani upande wake wa pili ule wa
ukatili,sikutaka kuonesha mshtuko ule hadharani " Waoooh! Tayali baby?" nikauliza "
Ndiyo baby ila mbona umechukua muda mrefu kujibu? Ulikuwa unafikilia nini?"
akauliza " Hakuna kitu baby,jambo la heri hilo itabid tushelekee" nikasema
Niliuvaa uigizaji halisi na kumvagaa kisha nikamporomoshea mvua ya mabusu sehemu
mbalimbali za mwili wake Na yeye akafurahia na kuanza kujibu mapigo na tukaendelea
kuandaana pale pale bafuni Shemeji alininyenyua na kunipeleka kwenye bomba la
kuogea kisha akafungulia maji na kuanza kunipa style zake zile za kitotatota
Alipanua miguu na kunyenyua mmoja akauzungusha kiunoni pangu kisha yale maji
mithili ya mvua yakawa yanatulowanisha pale
Nilikuwa sijisikii kufanya mapenzi kwa sababu bado akili yangu iiwaza lile swala la
mimba yake Ila jinsi alivyokuwa akibadilisha mikao kwenye ile style yake ya
kitotatota nilijikuta nanogewa mwenyewe na kujibu mashambulizi kwa speed kubwa
Kitotatota style ilikuwa kitotatota kweli kwa sababu mechi ilipigwa sehemu zote za
kitotatota mpaka kwenye sinki za kuogea Tulipomaliza ile ngwe ya kazi yetu ambayo
ilikula muda wetu mrefu tulielekea kulala huku nikiwa nimechoka sana
Shemeji alinikanda na mafuta laini ya kukandia mpaka nikapitiwa na usingizi Asubuh
yake tulipoamka tulikuta tayal Joan katengeneza chai tukanywa na kisha kuelekea
kazini Jinsi Joan alivyokuwa ananitrazama mwenyewe nilijua nikikomaa lazima
nitang'oa ule mzigo Tukiwa kazini Shemeji alionesha furaha muda wote wa kazi kwa
sababu ya lile swala la ujauzito wakati mimi lilinisumbulia sana akili " Yaan!
Furaha yangu haina kipimo" alisema " Kwa nini baby?" nikamuuliza " Hujui honey?"
akajibu "Kwa sababy ya ujauzito?" nikauliza huku nikijua ndiyo jibu " Ndiyo
baby,unajua hakuna kitu nilichokuwa nakitaman kama kuwa na mwanangu kwa sababu
ndugu yangu pekee hapa Duniani ni mama na alishafariki" akasema " Na Joan?" "
Yule sio ndugu yangu wa kuzaliwa,ni mama yangu alimchukua kituo cha watoto yatima
na kuamua kumsaidia" akajibu Jibu hilo liliongeza furaha kwenye akili yangu " Kumbe
sio ndugu wa damu? Poa nalamba mzigo fasta" nikajisemea Mchana nilimdanganya
shemeji kuwa kuna rafiki yangu aliniambia Kigamboni kuna kiwanja kinauzwa bei sawa
na bure hivyo naenda kukiangalia na yeye hakuwa na hiyana akaniruhusu Mguu wangu
ulijikuta kwenye kizingiti cha pale nyumbani kwetu na kwa uzuri gari nikalipaki nje
na kuingia mwenyewe
Niliingia kimya kimya na kumkuta Joan jikoni akipika chakula cha mchana Akiwa
hajaniona nilienda taratibu mpaka nikazungusha mikono yangu kwenye kiuno chake
kisha nikampiga busu sikioni mpaka nikamuona kasisimka mwili " Eeee! Jaman shemeji
ndiyo nini hiki?" aliuliza huku karembua jicho kutokana na ule msisimko " Kawaida
shemeji,nambie?" nikajibaraguza " Poa,mbona mapema?" akauliza " Nimerudi hapa kuna
jambo la muhimu sana ambalo sihitaji dadako afahamu nataka kuongea na wewe"
nikwambia " Dadangu asifaham? La kheri kweli hilo??"akasema
ITAENDELEA

PENZI LA SHELEJI
SEHEMU YA 47

" Shemeji ni jambo gani hilo unalotaka kuongea na mimi na hutaki dada ajue?"
akauliza Joan " Kwanza niahid kuwa wewe ni mtu mzima na hata kama litakuudhi
kiwango kikubwa hayatafika kwa dada yako?" nikamwambia " Hilo jambo basi sio jema
maana kama unahidi linaweza niudhi mpaka kumwambia dada mmmmh! Akasema " Basi shem
yaishe! Vip umepika?" nikabadilisha mada " Sitak!
Unabadilisha maada ya nini? Sema ulichotaka kusema" akasema " Sa nitasemaje ilihali
wewe umeshaanza kunitisha?
Unataka unipe kesi bure?" nikamwambia " Amna bana me ni mtu mzima,nina akili zangu
timamu na wala sihitaji kusema au kuongea na mtu juu ya mambo yangu,nina maamuzi
yangu mwenyewe,jiamin na niambie tafadhali" akasema " Kweli?" nikauliza " Ndiyo
sema tafadhali" akajibu " Hivi unaonaje? Navyoishi na dada yako?" nikamuuliza "
Mbona kawaida kama mke na mme huku mkipendana kwa dhati" akajibu kwa style
niliyosoma kama kunikwepa " Hivi wewe unakubaliana na tamaduni za kurithi?"
nikamuuliza " Kiukweli nimeshangaa sana! Hivi ungekuta kakako alikuwa mwathilika na
dada ungefanyaje lakin?
Na wewe kwa nini ulikubali?" akauliza " Shem hili ni shinikizo jaman,mimi sijapenda
na sifurahii hata kidogo,natafuta namna ya kutoka humu" nikajibu " Heeee! Kwa hiyo
humpendi dadangu?" akauliza kwa mshangao " Ndiyo tena simpendi kabisaaaa" nikajibu
" Jaman! Mbona huwa nikiwaona pamoja naona mahaba teele? Au unazuga? Na kwanini
usimwambie?" akauliza "
Dadako ni katili tofauti na unavyomfaham,namuogopa kwa kweli,na ninashangaa
imekuwaje anipende kama alivuokuwa kwa kaka na hata siku ya kumbiwa kurithiwa
hakukataa ila me simpen" nikajibu " Mmmmh! Una mtihani? Sasa wewe unampenda nani
kama dada humpendi na unaishi naye?"akauliza " Mimi nakupenda wewe" nikamjibu "
Mmmmh! " akaguna " Usishangae Joan ni kweli nakupenda tena nakupenda kwa
dhati,tafadhali kuwa wangu" nikamwambia "
Yaan shem unanichanganyia tu habari,unaishi na dadangu af mimi umeniona jana tu leo
unanipenda huoni huo ni uongo wa wazi kabisa? Hapa unanitaman tu na unataka
kunigombanisha na dada" akalalamika " Hapana Joan,mimi sijawahi kumpenda dada yako
kabisa! Ila naomba utambue jambo moja la msingi kwenye neno kupenda,kupenda ni
hisia na sio maneno,hisia huwa haziji kwa mwaka mzima au mwezi!
Hapana,hata mtu unayekaa naye mwezi mzim bila kumpenda siku hisia zikija utajikuta
tu! Kwa sababu hiyo hisia zinatokea ndani ya sekunde kadhaa ndipo moyo unapopewa
taarifa ya kupenda,kama hisia hutokea kwa sekunde kadhaa basi hata mtu uliyemuona
kwa mara ile ya kwanza unamuona hisia zikifanya kazi yake basi dakika hiyo hiyo na
wewe utajikuta unampenda" nikamwaga sera "
Kwa hiyo wewe unataka kuniambia hisia zilikushika jana au leo?" akauliza "
Zimenishika jana ghafla baada ya kukuona na hapohapo taarifa ikapita kwenye ubongo
mpaka kwenye moyo kuwa huyu ndiye chaguo langu,kwani una mtu?" nikamwaga tena sera
" Me sina mtu shem lakin si sababu ya kuwa na wewe af kwani umenipendea nini shem?
Na dada ananizid uzur?" akauliza kimadeko " Kwanza naomba ufute kauli,dada yako
hakuzidi uzuri,wewe ni mzuri sana tena zaidi ya sana,angalia umbo lako
linavyopendezea kila nguo unayoivaa, limegawanyika kiafrica zaidi utadhan
Cleopatraza misri,pili angalia sura yako ya upole inavyovutia kuangalia kila saa,
na kwa weupe wako huu sidhani kama kuna haja ya taa,angalia kiuno chako
kilivyomegeka na kutengeza hipsi nzuri na zenye mvuto kwa kila mtu
kuangali,,angalia mguu wak......." sikumaliza
Ghafla kabla sijamaliza kumlainisha na sifa tukasikia kengele ya getini ikilia
Nikaogopa mpaka nikahisi jasho jembamba likinitoka!!!
ITAENDELEA..

PENZI LA SHELEJI
SEHEMU YA 48

Ilipoishia......
Wakati najalibu kwa mbinu zangu zote kumshawishi Joan awe mpenzi wangu tulisikia
mlango ukigongwa!
Endelea.......
Tuligeuka na kuangaliana kwa mshangao sana " Nani anagonga?" tukajikuta wote
tukisema neno moja Kisha tukatabasam! Akili kwangu nilijua iwe isiwe huyo ni
Shemeji " Nitafanyaje sasa akiwa shemeji?" nikajikuta nikiongea kwa sauti bila
kujielewa " Jun jifanye kama unaumwa tafadhali kisha lala mimi ntajua namna ya
kufanya" akasema Joan " Akiniuliza kwa nini sijamwambia?" nikauliza " Utamwambia
umeona ukimwambia hatafanya kazi vizur na kufunga biashara jambo ambalo sio zuri
kibiashara" akajibu
Nilishangaa kuona yule binti ana mbinu zaidi yangu kwenye sakata kama lile ila hilo
likaniaminisha kuwa atakubali kuwa wangu Niliondoka na kwenda chumbani kisha
nikafunga mlango kwa funguo na kulala Joan alienda mpaka mlangoni akafungua na
kweli akakuta wanaume wawili na mwanamke mmoja " Habari zenu?" aliwasalimia " Nzuri
za hapa?" wakauliza " Nzuri,kalibuni" akasema " Tuna shida na wenye nyumba sijui
tunaweza kuonana nao?" wakasema " Yupo shemeji peke yake dada yuko kazin" akajibu "
Hata yeye sio vibaya tukionana naye tafadhali" wakasema " Sawa ingien bas"
akawajibu na kuwapisha wapite Baada ya kuwakalibisha sebuleni alikuja kugonga
mlango wa chumbani Nilishtuka kusikia mlango ukigongwa na moja kwa moja nikajua ni
Shemeji ndiyo amerudi " Shemeji fungua basi" nikasikia sauti ya Joan Nikaamka na
kufungua mlango ule kisha nikashangaa akipita moja kwa moja mpaka ndani "
We kuna nini?" nikauliza " Kuna wageni wanaume wawili na mwanamke mmoja" akajibu
Nikashusha presure na kupumua kwa nguvu ila pia nikaona hii ndo nafasi ya kujalibu
kuona kama Joan kanikubalia Nikamshika na kumvutoa kwangu kwa nguvu na kisha
nikamlazimisha kumla denda Alionesha upinzani kama kitendo kile hakukitaka ila kwa
speed na nguvu niliyotumia alijikuta ameshakutana nacho " Kwa nini unanifanyia hivi
shemeji? Kwani sisi ni wapenzi? Sio vizur" akasema kwa hasira "
Am sor bas" nikasema kisha nikamshika kiuno Nilimuona akisisimka na kuruka kwa
nyuma kisha akapumua kwa nguvu na kuniangalia kwa aibu " Nenda bana huwezi jua
wanakuitia nini?" akasema " Poa" nikajibu Nilijiweka sawa kisha nikaondoka na
kuelekea sebuleni na kuwakuta wale watu wamekaa kwenye sofa ya pamoja " Habari zenu
jaman? Kalibuni" nikawaambia " Ahsante ndg" wakajibu "
Ok,sijui niwasaidie nini wapendwa" nikawaambia " Aaah! Wewe ni nani kwenye nyumba
hii kijana?" wakauliza " Mimi ndiye mwenye nyumba jaman sasa sijui mnashida gan?"
nikasema kwa kujiamin hasa nikijua kuwa baada ya kaka kufa na mimi kumrithi shemeji
ndiye mmiliki " Ok,ila tunamjua marehemu Michael kama mmiliki na kwa sababu
kafariki tunaamini mkewe ndiye mmiliki sasa sijui wewe ni nan?" waksema "
Mimi ni mdogo wake na marehemu" nikawajibu " Ok,tufupishe,tunaomba kuonana na
shemeji yako tafadhali" wakasema " Yuko kazini kwa sasa" nikawajibu huku
nikijiuliza hawa watakuwa akina nani? " Hili swala ni la dharula sana unaonaje
ukitupeleka kijana?" wakasema " Kwa nini msije jion akiwa karudi? Kwa sababu kwa
sasa mimi nimepumzika" nikajibu
Nilijibu hivyo kwa sababu kubwa moja,waondoke ili nibaki na kujalibu kupigania
penzi la Joan ambalo nilishaona dalili za kulichukua " Hapana kaka tunakuomba sana
ni swala la biashara kubwa sana ya faida tunaomba tafadhali" wakasema Nikajikuta
nashawishika hasa baada ya kusikia ni biashara kubwa Tukaanza safari kutoka
nyumbani bila hata ya kumuaga Joan nikilenga kuwa nitarudi mpaka dukani kwa shemeji
Kosa moja shemeji alilofanya nilipofika ni kunikumbatia mbele ya hawa jamaa " Ina
maana wana uhusiano wa kimapenzi? Lazima kuna namna hapa" walisemezana na tukasikia
" Samahani kwa usumbufu jamani,sisi ni maafsa wa polisi kutoka kitengo cha
upelelezi,na tumekuja kuwachukua kwa sababu za kifo cha Dokta Rweyemamu" wakasema
Nilitoa macho balaa!?!!
ITAENDELEA

PENZI LA SHELEJI
SEHEMU YA 49

Tulishtuka sana kila mmoja akabaki kuwaangalia wale askari kwa mshangao " Mbona
mnashtuka? Mnahusika nini?" akauliza mmoja wa wale askar " Tunahusika kivip? Na
mbona hatujui mnachoongelea? Kutukamata kwa kosa lipi hasa?" akauliza shemeji
mfululizo " hayo maswali utayauliza kituoni" akasema afande mmoja " Naomba kutoa
taarifa basi kwa ndugu mmoja kisha atawatarifu wengine" akasema " Fanya fasta"
akafoka yule askar
Shemeji akatoa simu yake na kisha akapiga " Mkuu.....vijana wako wamekuja
kunichukua hapa kwa kosa nisilolielewa naom......." hakumaliza maongezi askari
mmoja akamnyang'anya simu Hatukuwa na ubishi tena ikabid tuongozane nao kuelekea
kituoni kwa ajili ya hiyo kesi yao Tulipofika moja kwa moja tukaingizwa ofisi moja
iliyoonekana ya mtu mkubwa wa kituo kile "
Ketini" akasema " Bila shaka wewe ni Lilian na huyu ni Junior mke na mdogo wa
merehemu?" akauliza "Ndiyo" tukajibu " Mnaijua sababu ya kifo cha kaka yenu?"
akauliza " Ndiyo ni ajali" akajibu shemeji kwa kujiamin " Aaaaah! Ajali? Kumbe? Na
hiyo ajali ni halisi au ya kutengeneza?" akauliza "
Hayo sifaham kwa kweli ila me nafikiri hapa ningeambiwa kosa langu la kuletwa
kituoni" akasema shemeji kwa kujiamin " Kosa utaambiwa tu ila uwe mpole" akajibu
yule mkuu " Kamanda unaandika maongezi haya ee?"akauliza " Ndiyo afande" akajibu
yule mwenzake " Mnamfaham Dokta Rweyemamu?" akatuuliza " Ndiyo tunamfaham kwa
sababu ndiye wa mwisho kumhudumia marehemu mume wangu" akajibu "
Mara ya mwisho mlionana naye wap?" akauliza " Wakati tumemfata marehemu na yeye
ndiye aliyetukabidhi tukaondoka naye" akajibu " Mbona wewe haujib bwana mdogo?"
akaniuliza " Sio lazima tujibu wote hata mimi natosha" akajibu shemeji " Nataka
ajibu mwenyewe" akasema " Shemeji ameshajibu sihitaj kuongeza" nikasema " Shemeji
au mkeo?"akauliza " Hiyo haikuhusu" nikajibu "
Nikisema mmemuua kaka yako ili muishi pamoja ntakosea?" akauliza kimtego " Kuwa na
adabau Inspekta na uwe na adabu kabisa,mimi kuishi na huyu sijapenda ila tunafata
mila za huko kwao jiheshimu" akasema " Sasa chagua kati yenu mmoja abaki ndani
mpaka kesho wakati tutakapochukua maelezo kamili ya kesi yenu na mmoja aende
nyumbani mpaka kesho ndiyo atarudi hapa" akasema " Nitaenda na atabaki" akasema
shemeji "
Wewe mwanamke hatuwezi kukuachia,ataenda shemeji yako na wewe utabaki kwa sababu
hatukuamin" akasema " Poa,baby chukua hii simu yangu,jitahid umpigie Mkuu wa Polisi
kanda maalum na IGP na waeleze kinachoendelea,nime wa save kwenye simu yangu"
akasema kisha akanikonyeza Niliondoka eneo lile nikiwa mnyonge sana na kuelekea
nyumbani kwa ajili ya kujiandaa na lile sakata Njiani nilifanya mawasiliano na mkuu
wa mkoa kipolisi wa Kinondoni ambaye ndiye aliyekuwa akijuana na shemeji na si IGP
kama alivyodai ila najua alifanya vile kuwa tisha pale
Nilipofika ndani nilipitiliza chumbani nikiwa na mawazo sana kwa kilichotokea kwa
siku hiyo Baada ya kuoga nilirudi sebuleni kwa ajili ya kupata chakula cha usiku
Nilimkuta Joan akiandaa chakula mezani nikakumbana na maswali lukuki kuhusiana na
kilichotokea na kuyajibu yote " Fanya kula basi nioge nakuja" akasema Niliendelea
kula kwa muda kisha nikaelekea eneo la kupumzika na kuangalia Tv Baada ya muda Joan
alitoka bafuni akiwa na kanga iliyoloa maji na kuja moja kwa moja sebuleni na
kupita mbele yangu kuelekea mezani
Nilisisimka mpaka utosini,na kwa maksud akawa analichezesha kwa style flani ya
uchokozi Nilimwangalia kwa kugandisha macho eneo moja mpaka nikahisi mate ya uchu
yananidondoka Nikasahau kuhusu kesi na kufikria namna ya kumla yule kuku wa
kienyeji!!!

WhatsApp- 0768315707

ITAENDELEA

PENZI LA SHELEJI
SEHEMU YA 50

Nilishasahau kabisa yaliyotukuta mchana wa siku ile na kuwa mwenzi wangu wa kurithi
yuko Selo Nilikiangalia kile kiuno cha Joan kwa muda na yeye akaendelea
kuzungukazunguka bila sababu pale mezani Alipochukua chakula akageuka na kuja kukaa
kwenye sofa moja na mimi " Vip tule wote bas" akasema " Me tayal bana" nikajibu "
Basi njoo nikulishe pz"Nafasi adimu kama ile sikutaka kuichezea Nikamsogelea na
kumshika kiuno kwa kuzungusha mkono wangu kiunoni pale " Aaaaaaaaaa! Jaman shem"
akasema kimadeko "
Nini tena Joan mrembo?" nikauliza " Sio vizur hivyo,mwenzio ntashindwa kula"
akasema " Sasa nikuibie siri,ukitaka chakula kipite vizur na ushibe kwa raha basi
kula wakati unabembelezwa" nikamwambia " Mmmmmmh! Shem jaman,so unataka
unibembeleze? Umesahau mwenzio yuko selo?" akasema Wakati anaongea hayo kimadeko
mimi nilishakuwa hoi sana,jamaa alikuwa kachachamaa sana na nilikuwa nataman hata
kumralua pale pale tulipokuwa " Naomba nizime taa pz Joan?" nikamwambia " Kwa nini
jaman? Hutak mimi nile?"akasema "
Hapana,weupe wako na uzuri wako unang'aa zaidi ya taa" nikamwambia Akaniangalia
kisha akainama kwa aibu za kike na kisha akaendelea kula Nikanyenyuka kama nayetaka
kwenda kuzima taaa na yeye akanishika na mkono wake wa kushoto ili kunirudisha kwa
bahati mbaya akashika sehemu mbaya na kukutana na jamaa kachachamaa balaa
( Mmmmmmmh!" akaguna " Unaguna nini sasa?
Ushanipa matatizo af badala ya kunisaidia unaguna sio poa jaman" nikalalamika
Akaniangalia kisha akainama tena kwa aibu za kike,nilipoona analeta aibu nikapeleka
tena mkono wangu na kuzungusha kiunoni pake na kuanza kuchezesha kucha zangu kama
namtekenya kijanja sana Alipoona hivyo akajifanya busy sana na kula bila
kuniangalia ila akawa anashtuka shtuka na kuendelea kula Dakika tano nyingi style
mpya ya kumtekenya kwenye nyonga yake ikamfanya agande kama sanamu Mkono ukawa
hausogei kutoka kwenye sahani kwenda kinywani nikajua amenogewa tayali Nikaongeza
speed ya mashambulizi maeneo niliyojua yatampa shida sana
Kweli dakika chache baadae akaanza kupumua kwa taabu sana,akawa anavuta pumzi kama
mgonjwa vile Nikamnyang'anya sahani na kuiweka pembeni kisha nikamgeuza
akaniangalia kwa muda kisha akafumba macho kwa aibu Tayali alishalegea,nilimsogeza
pembeni yangu na kuanza kumpa denda taratibu na wakati huo mikono yangu ikiambaa
ambaa sehemu mbalimbali za mwili ambazo nilijua nikipiga counter attack nitakuwa
nimemaliza kila kitu
" She--m--s-i-j-aw- mimi" akasema kwa shida sana Nikawa kama sijasikia chochote
kila ila nilimsikia vizur sana Ikabidi nitumie ujanja kujua kama alichokisema ni
kweli? Au ananidanganya Nikasogeza ule mkono uliokuwa kwenye kiuno kuelekea kwenye
msitu wa solondo na kujifanya nachezacheza pale kwa muda kisha nikashuka na kufanya
shambulizi la kushtukiza ambalo hakulitegemea kabisa na kukutana na ukuta kweli
tena wa geti jekundu " Mmmmh! Kigori kweli huyu!
Nafanyaje sasa? Hapa nikijifanya kuleta zile za kalichumbage huyu ataumia sana na
sitakuja kumpata kamwe,inabidi nitumie akili ya ziada asiumie na siku nyingine
atamani kurudia" niliwaza Nikambeba mpaka chumbani kwa shemeji na kumlaza kwenye
sita kwa sita na kisha nikamchojoa nguo zake zote Mashalaaaaah! Mtoto alikuwa
kaumbika kiwango cha ajabu " Mtoto manshallaaah! Kajaaliwa! Hapa ntatangaza ndoa
tena mapema sana,sitajali yule muuaji" nikawaza.
ITAENDELEA

You might also like