Professional Documents
Culture Documents
Makubaliano Ya Kuuzwa Kwa Mali Ya Rehani
Makubaliano Ya Kuuzwa Kwa Mali Ya Rehani
Makubaliano Ya Kuuzwa Kwa Mali Ya Rehani
Kati ya
Ndugu________________________________, wa kata ya________________ wilaya ya
________________, mkoa wa _____________________S.L.P_________ (Ambaye katika
Makubaliano haya anajulikana na kutambulika kama MKOPESHWAJI) kwa upande
mmoja.
Na
Ndugu_________________________________, wa kata ya________________wilaya ya
__________________, mkoa wa _________________S.L.P____________(Ambaye katika
makubaliano haya anajulikana na kutambulika kama “MKOPESHAJI”) Kwa upande
mwingine.
AMBAPO
KWA KUWA:
MKOPESHWAJI alipokea kiasi cha fedha taslimu shilingi laki mbili na hamsini
(___________) za kitanzania kutoka kwa mkopeshaji.
MKOPESHWAJI alikubali kulipa kiasi cha marejesho yanayotakiwa pamoja na riba kwa
mujibu wa makubaliano na Mkopeshaji ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kiasi cha fedha
taslimu za kitanzania shilingi laki tatu (300,000/= TZS).
HIVYO BASI:
Mali iliyowekwa rehani (HP laptop, Serial: 6CG3261LVW, Model: 15-JO57CL) itakuwa si
tena mali yake Mkopaji,bali itakuwa ya mkopeshaji na itauzwa ili aweze kufidia marejesho
ya fedha zote kutokana na mkopo alioutoa kwa mkopaji,
MDHAMINI WA MKOPESWAJI
JINA: ……………………………………….
SAHIHI:………………….
TAREHE: ………………..
SAHIHI: ……………….
CHEO: ………………