JosephLeonard Bwana

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 5

Mwalimu Joseph Leonard is on Facebook.

To connect with Mwalimu Joseph

Leonard, join Facebook today.

Join

or

Log In

Mwalimu Joseph Leonard

4 hrs ·

*UNAWAZA NINI JUU YA BWANA *

Ni hivi vile unavyowaza juu ya Mungu ndivyo pia Mungu anavyojidhihirisha juu ya maisha yako.
* Mafanikio yako ya kiroho na kimwili yatategemea unawaza nini juu ya Mungu*
Biblia inasema hivi.
* NAHUMU 1:9 Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya
pili.*
Narudia tena nguvu za Mungu kutenda kazi ndani yako itategemea unawaza nini juu ya Bwana.
Nisikilize vizuri mpendwa kama madhihirisho ya Mungu katika maisha yako yatategemea mawazo
yako chunga sana jinsi unavyowaza.
NI HIVI
* Kama unawaza Mungu hawezi kukusaidia hautakuja kuona akikusaidia.*
* Kama unawaza Mungu hafanyi miujiza mikubwa hautakuja kuona akikutendea miujiza maishani
mwako*
* Kama unawaza Mungu hayupo hautakuja kumuona maishani mwako*
Nasema na mtu hapa.
* Kama unawaza ugonjwa ulionao hauwezi kupona hata ashuke Yesu kutoka mbinguni akuwekee
mikono juu yako nasema hivi hautakuja kuupata uponyaji*
Nasisitiza tena madhihirisho ya Mungu katika maisha yako yanategema unawaza nini juu ya Bwana!
* WATU WA NAZARETH WALIWAZA JUU YA YESU YAKWAMBA NI MTOTO WA YUSUFU YULE
SEREMALA, MAMA YAKE NI MARIAMU, NA NDUGU ZAKE WANAWAJUA WAKAISHIA HAPO,
HAWAKUTAKA KUMJUA YESU KAMA MWANA WA MUNGU, KILICHOTOKEA YESU HAKUFANYA MIUJIZA
MINGI KWAO*
Biblia inasema hivi.
* Mathayo 13:55-58*
*55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu,
na Simoni, na Yuda?*
*56 Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?*
*57 Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na
nyumbani mwake mwenyewe.*
* 58 Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.*
Haya ni matokeo ya kuwa na mawazo hasi juu Mungu, mtu wa hivi kamwe hawezi kumuona Mungu
maishani mwake.
* MunguMwalimu
hujitukuzaJoseph
kwa ainaLeonard is on Facebook.
ya watu mfano wa shedrack,To connect
meshaki na with
Abednego wanaowaza
yakwambaMwalimu Josephkuwaokoa
Mungu anaweza Leonard,najoin Facebook
tanuru la moto*today.
" DANIELI 3:17 Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo
Join
moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme.”
* Mungu hujitukuza kwa aina ya watu mfano
or wa Ayubu wanaowaza yakuwa mteteaji wao yu hai licha
mapito wanayoyapitia*
Log In
“ AYUBU 19:25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu
ya nchi.”
* Mungu hujitukuza kwa aina ya watu mfano wa kipofu huyu aliyeamini yakuwa Yesu aweza kumponya
upofu wake (Luka 18:35-43)*
* Mungu hujitukuza kwa watu wanaoamini yakwamba Mungu anaweza yote*
* Mungu hujitukuza kwa wale wanaowaza mema siku zote, wanao amini yakwamba ahadi za Mungu ni
kweli na ni amini*
* WATU WA NAMNA HII WATAMUONA MUNGU YULE WA ELIYA AJIBUYE KWA MOTO, WATAMUONA
MUNGU YULE WA ISRAEL ALIYEWAOKOA WATU WAKE CHINI FARAO, WATAMUONA MUNGU YULE
ALIYEMPA HANA MTOTO, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEMFANYA DAUDI ALIYEKUWA MCHUNGA
KONDOO KUWA MFALME, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEMPA IBRAHIMU MTOTO WAKATI WA
UZEE, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEWALISHA WANAUME ELFU TANO KWA MIKATE MITANO NA
SAMAKI WAWILI*
Mwisho.
Nimalizie kwa kusema hivi kama unataka kumuona Mungu maishani mwako badilisha mawazo uliyonayo
juu ya Mungu.
* MATHAYO 9:4 Naye Yesu, hali akijua mawazo yao, akasema, Mbona mnawaza maovu mioyoni
mwenu?*
Mungu awabariki sana
WhatsApp 0657117595
Mwl.Joseph Leonard
Recent post by Page

Mwalimu Joseph Leonard

4 hrs ·

*UNAWAZA NINI JUU YA BWANA *

Ni hivi vile unavyowaza juu ya Mungu ndivyo pia Mungu anavyojidhihirisha juu ya maisha yako.
* Mafanikio yako ya kiroho na kimwili yatategemea unawaza nini juu ya Mungu*
Biblia inasema hivi.
* NAHUMU 1:9 Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya
pili.*
Narudia tena nguvu za Mungu kutenda kazi ndani yako itategemea unawaza nini juu ya Bwana.
Nisikilize vizuri mpendwa kama madhihirisho ya Mungu katika maisha yako yatategemea mawazo
yako chunga sana jinsi unavyowaza.
NI HIVI
* Kama unawaza Mungu hawezi kukusaidia hautakuja kuona akikusaidia.*
* Kama unawaza Mungu hafanyi miujiza mikubwa hautakuja kuona akikutendea miujiza maishani
mwako*
* Kama unawaza Mungu hayupo hautakuja kumuona maishani mwako*
Nasema na mtu hapa.
* Kama unawaza ugonjwa ulionao hauwezi kupona hata ashuke Yesu kutoka mbinguni akuwekee
mikono juu yako nasema hivi hautakuja kuupata uponyaji*
Nasisitiza tena madhihirisho ya Mungu katika maisha yako yanategema unawaza nini juu ya Bwana!
* WATU WA NAZARETH WALIWAZA JUU YA YESU YAKWAMBA NI MTOTO WA YUSUFU YULE
SEREMALA, MAMA YAKE NI MARIAMU, NA NDUGU ZAKE WANAWAJUA WAKAISHIA HAPO,
HAWAKUTAKA KUMJUA YESU KAMA MWANA WA MUNGU, KILICHOTOKEA YESU HAKUFANYA MIUJIZA
MINGI KWAO*
Biblia inasema hivi.
* Mathayo 13:55-58*
*55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu,
na Simoni, na Yuda?*
*56 Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?*
*57 Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na
nyumbani mwake mwenyewe.*
* 58 Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.*
Haya ni matokeo ya kuwa na mawazo hasi juu Mungu, mtu wa hivi kamwe hawezi kumuona Mungu
maishani mwake.
* Mungu hujitukuza kwa aina ya watu mfano wa shedrack, meshaki na Abednego wanaowaza
yakwamba Mungu anaweza kuwaokoa na tanuru la moto*
" DANIELI 3:17 Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo
moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme.”
* Mungu hujitukuza kwa aina ya watu mfano wa Ayubu wanaowaza yakuwa mteteaji wao yu hai licha
mapito wanayoyapitia*
“ AYUBU 19:25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu
ya nchi.”
* Mungu hujitukuza kwa aina ya watu mfano wa kipofu huyu aliyeamini yakuwa Yesu aweza kumponya
upofu wake (Luka 18:35-43)*
* Mungu hujitukuza kwa watu wanaoamini yakwamba Mungu anaweza yote*
* Mungu hujitukuza kwa wale wanaowaza mema siku zote, wanao amini yakwamba ahadi za Mungu ni
kweli na ni amini*
* WATU WA NAMNA HII WATAMUONA MUNGU YULE WA ELIYA AJIBUYE KWA MOTO, WATAMUONA
MUNGU YULE WA ISRAEL ALIYEWAOKOA WATU WAKE CHINI FARAO, WATAMUONA MUNGU YULE
ALIYEMPA HANA MTOTO, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEMFANYA DAUDI ALIYEKUWA MCHUNGA
KONDOO KUWA MFALME, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEMPA IBRAHIMU MTOTO WAKATI WA
UZEE, WATAMUONA MUNGU YULE ALIYEWALISHA WANAUME ELFU TANO KWA MIKATE MITANO NA
SAMAKI WAWILI*
Mwisho.
Nimalizie kwa kusema hivi kama unataka kumuona Mungu maishani mwako badilisha mawazo uliyonayo
juu ya Mungu.
* MATHAYO 9:4 Naye Yesu, hali akijua mawazo yao, akasema, Mbona mnawaza maovu mioyoni
mwenu?*
Mungu awabariki sana
WhatsApp 0657117595
Mwl.Joseph Leonard

Mwalimu Joseph Leonard

16 hrs ·

AHADI HII YA MUNGU ITIMIZWE KWENYE MAISHA YAKO KWA JINA LA YESU.
Mwalimu Joseph Leonard
22 August at 16:45 ·

USIKU HUU BWANA AKAWE MFARIJI WAKO WEWE UNAYEPITIA MAPITO, BWANA AKAKITAZAME KILIO
CHAKO, NA BWANA AKAKUPE HAKI YAKO KWA MKONO WAKE WA KUUME KWA JINA LA YESU.

Related Pages

Michael J Moja
4.4K likes this
KARIBU UJIFUNZE NENO LA MUNGU UKUE KIROHO

Thobias & Navoneiwa Kiwalu-Mamre Ministry

1.9K likes this
Utainua misingi ya vizazi vingi"(Isaya 58:12)

Mch kalisti
12K likes this
Rev Kalisti

See More

You might also like