Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

MIAKA YA

Miaka 10 ya Tigopesa ilivyofungua fursa


na kuboresha maisha ya Watanzania
Jafari Juma, Mwananchi
malipo na kupokea
Uchumi wa Tanzania pesa kupitia simu za
unakuwa kwa kutegemea mkononi kwa urahisi
sekta mama ya kilimo. Hata na usalama zaidi
hivyo ujio wa teknolojia ya • Tigo inalipa riba. Tangu
huduma za kifedha kwa njia Julai 2014, watumiaji
ya simu umesaidia kwa kiasi wa Tigopesa wameen-
kikubwa kuendesha uchumi delea kulipwa riba kila
na kufanikisha maendeleo baada ya miezi mitatu
kiujumla. kutokana na matumizi
Tafiti zinaonyesha kwam- yao
ba matumizi ya huduma za • Tigopesa inawezesha
kifedha kupitia ya simu za kutuma au kupokea
mkononi yameongezeka pesa kwa mitandao
sana ndani ya miaka 10 ili- yote nchini
yopita ambapo imeonekana • Inamuwezesha mteja
eneo la Kusini mwa Jangwa kufanya malipo kwa
la Sahara ndio limekuwa zaidi ya maelfu ya
kinara wa kubuni na kutu- wafanyabiashara kwa
mia huduma hizi. Tigo Pesa Masterpass
Kwa Tanzania, huduma QR na kwa lipa hapa.
za kifedha kwa njia ya simu
zimesaidia kuwaleta watu Kuhusu Tigo Tanzania
wengi kwenye mfumo rasmi Tigo Tanzania ni kampuni
wa kifedha hasa walio viji- ya mawasiliano inayoongo-
jini. za katika utoaji wa huduma
Imepunguza athari za kidigitali hapa nchini. Tigo
kutembea na fedha mifuko- ilianza kutoa huduma zake
ni na imsaidia kutengeneza mwaka 1995 ikiwa na hudu-
ajira za wenye vibanda vya ma mbalimbali za sauti,
fedha na mawakala. ujumbe mfupi wa maneno
Huduma za kifedha kwa (sms), intaneti yenye kasi
njia ya simu huduma ya pamoja na huduma za kifed-
kibunifu katika teknolojia na ha.
imewezekana kutokana na Tigo imekuwa mstari wa
kazi kubwa ya kampuni za mbele kuleta mapinduzi ya
mawasiliano ya simu kama kidigitali ikiwamo kuanzi-
Tigo Tanzania. sha huduma ya simu janja
Tigo imejipambanua kama (Smartphone) ya Kiswa-
kampuni inayotoa huduma hili, Facebook ya bure, App
mbalimbali za kifedha kwa ya Tigopesa na zaidi kuwa
njia ya simu na kupitia pro- kampuni ya kwanza kutoa
gramu elekezi Tigopesa huduma ya kutuma na
app) na kusaidia mamilioni kupokea pesa katika nchi za
ya Watanzania kulipa kwa Afisa Mwandamizi wa huduma za fedha kwa njia ya si-mu za mkononi wa Tigo Tanzania, Angelica Pesha aki-zungumza wakati wa Afrika Mashariki.
njia ya simu na kuendelea na hafla ya miaka 10 ya Tigopesa. Mwaka 2010, Tigo
maisha huku. ilianzisha rasmi huduma
Mwaka huu kampuni ya miaka 10 ya kubadilisha kupitia mfumo ulioboresh- zania laki moja na ishirini kuwa zaidi ya pesa.” ya Tigopesa hapa nchini.
simu za mkononi ya tigo soko la huduma za kifedha wa zaidi unaotoa mikopo (120,000), kutoa zaidi ya Sh Angelica anafafanua kuwa Maendeleo ya huduma
inaadhimisha miaka 10 ya za kwa njia ya simu za mko- midogo, bima, malipo ya 662 bilioni kama kamisheni kampeni hiyo inamuweze- hii katika kutoa huduma
kuanzishwa kwa huduma ya noni nchini. Huu ni muongo ankara mbalimbali, huduma kwa mawakala wa huduma sha kila mteja wa Tigopesa za malipo, kulipia ankara
kufanya miamala ya kifedha mmoja wa kubadilisha mai- za kibenki kwa njia ya simu, hiyo nchi nzima, kufanya kushinda zawadi mbalim- pamoja na bidhaa kumecho-
kwa njia ya simu na huduma sha kupitia mfumo wa ikolo- huduma za kupokea pesa miamala ya kifedha zaidi ya bali ikiwemo pesa tasilimu chea na kukuza agenda ya
ndogo za kibenki ijulikanayo jia wa Tigopesa. kutoka nchi zote duniani, bilioni moja na kuwezesha mpaka shilingi elfu kumi kwa ujumuishwaji wa watu kiu-
kama Tigopesa. Akizungumza katika haf- kutuma na kupokea pesa mzunguko wa fedha zaidi ya kufanya miamala mbalim- chumi nchini Tanzania.
Tigopesa imekuwa mkom- la ya miaka 10 ya huduma ndani ya Jumuiya ya Afrika Sh 27 trilioni kwa mwaka. bali. Pia mteja anaweza Kama haitoshi, mwaka
bozi mkubwa wa huduma hiyo, Afisa Mwandamizi Mashariki, malipo ya Seri- “Haya ni mafanikio kupata sms na MB za bure 2014, Tigopesa ilianzi-
za kifedha nchini hususani wa huduma za fedha kwa kali na malipo mengine ya makubwa ambayo tunaji- pamoja na uwepo wa droo sha mfumo wa kulipa na
kwa watu wa vijijini kwani njia ya simu za mkononi kibiashara. Huduma hizi vunia na tusingeweza kufi- kubwa itakayowawezeasha kupokea fedha kupitia
inafanya kazi kama benki, wa Tigo Tanzania, Angelica zimekuja kwenye soko letu ka hapa bila wateja wetu watu kushinda fedha kuan- mitandao mingine ya simu
watumiaji wa huduma hiyo Pesha anasema kampuni kwa mara ya kwanza kupitia ambao wamekuwa nasi tan- zia Sh 1 mpaka 10 milioni. pamoja na benki, huduma
huhifadhi fedha kwenye hiyo inasherehekea miaka Tigopesa,” anasema Angel- gu tunaanza na wanaende- Kinachoitofautisha Tigo ambayo imeongeza urahisi
simu zao na kutoa fedha 10 ya Tigopesa kuwa juk- ica. lea kutuamini kwa kuwapa Pesa na huduma zingine na uharaka wa upatikanaji
kupitia wakala. waa muhimu la huduma za Anasema ndani ya miaka huduma stahiki kwenye mai- • Tigopesa ina huduma ya wa huduma za kifedha kwa
Tigopesa ni huduma iliyo- kifedha linalowezesha wate- kumi, kampuni hiyo kupi- sha yao,” anasema Angelica. kipekee ya ‘Jihudumie’ wateja wake.
tawala biashara ya huduma ja zaidi ya milioni tisa tangu tia huduma ya Tigopesa Anasema katika kusheher- inayomuwezeshamteja Hivi karibuni Tigopesa ili-
za kifedha kwa njia ya simu kuanzishwa kwake. imeweze kushirikiana na ekea miaka kumi ya huduma kuzuia miamala iliyo- ungana na Mastercard kwa
nchini mbali na ushindani “Katika muongo mmoja Serikali katika kuongeza hiyo wamekuja na kampeni kosewa ya kutuma pesa ajili ya kutoa huduma ya
mkubwa kwa sasa unaoto- uliopita, Tigopesa imeb- ujumuishaji wa huduma kwa ajili ya kuwashukuru Tigo kwenda Tigo fedha kwa urahisi na hara-
kana na kampuni nyingi adilika kutoka katika kutoa za kifedha kwa wananchi, wateja wao kwa kuwa nao • Ni Tigopesa pekee ili- ka zaidi kwa wateja wake
za mawasiliano kuanzisha huduma za kutuma na kutoa ajira za moja kwa katika kipindi hicho. Kampe- yo na program tumizi zaidi ya milioni tisa waliopo
huduma hizo. kupokea pesa pekee na kuwa moja na zisizo za moja kwa ni hiyo inaitwa “Jana, Leo na (APP) ya kisasa inayo- nchini.
Tigopesa inaadhimisha huduma kamili za kifedha moja kwa zaidi ya Watan- Kesho, Tigopesa inaendelea rahisisha miamala ya
MIAKA YA

You might also like