Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

MAMLAKA YA MJI MDOGO SENGEREMA

Paulina Emmanuel Mpiwa

S.L.P…………

SENGEREMA

12th Oktoba 2020

Mkurugenzi Mtendaji

S.L.P 175

SENGEREMA

KK

Mwenyekiti Mtaa Mnadani

SLP 422

SENGEREMA

Ndugu,

Yah: Kuomba kumilikishwa kiwanja na:………………………………..

Somo tajwa hapo juu lahusika

Ninaomba kumilikishwa kiwanja tajwa No…………………… kilichopo eneo la mnadani nilichonunua kwa
Ndugu…………………………….. tarehe ………………….. mbele ya Uongozi wa Mtaa wa Mnadani na mashahidi
kama inavyoonyesha kwenye kiambatisho. Majina ya kiwanja hicho yanasomeka …………………………………
mpaka sasa.

Hivyo naomba sasa kumilikishwa kiwanja hicho kwa majina PAULINA EMMANUEL MPIWA, niko tayari
kufuata maelekezo na taratibu husika kuweza kukamilisha suala hili.

Nitashukuru kwa ombi langu kushughulikiwa.

Nakutakia majukumu mema.

…………………………………………

Paulina Emmanuel Mpiwa

You might also like