Professional Documents
Culture Documents
Fomu-Ya-Kuomba-Uanachama Kikundi Au Kampuni
Fomu-Ya-Kuomba-Uanachama Kikundi Au Kampuni
Mahaliunapoishi:
Eneo la kuzaliwa…………………………. Kijiji………………………. Wilaya…………………
Mkoa………………………………. Eneo unaloishi kwa sasa Mtaa…..................…..
Eneo linalofahamika……….....................................................................……………
Wilaya…..........………………………..........… Mkoa ……..……………………………………
Sanduku la barua……………... Simu…..……………………….&…………………………..
Jina la Mjumbe wa Nyumba Kumi………………………………………………………………
Jina la Mwenyekiti wa Mtaa……….……………………………….…Simu……………………
• Jina………………………………………......………….. Uhusiano………..…………………
Namba ya kitambulisho ............………….......................................……….
Mtaa…….....………Wilaya………………………………… Mkoa…………………..
Sanduku la Barua……………………………. Simu………………………………..
Shughuli/Kazi………………………………………………………………………….
1
Mahalianapoishi:-
Mtaa…………….…………….. Kijiji…………………………….Kata ….………………………
Tarafa……………………………Wilaya ……………………… Mkoa……….…..…..………..
Sanduku la Barua…………………Simu……………………………&………………..………
Namba ya Uanachama…………..… Sahihi ya Mdhamini……………………………………
C.MASHARTI YA UANACHAMA
• Hisa moja ni TSh. 5,000/-
• Mwanachama mpya anatakiwa anunue angalau Hisa 4 za kuanzia na aendelee
kununua Hisa hadi zifikie 50 (zenye thamani yaTSh. 250,000/=)
• Mwanachama atapaswa kuweka Akiba kila mwezi (mara kwa mara)
• Mkopo utaanza kutolewa baada ya miezi mitatu baadaya kujiunga kwenye
Chama cha Ushirika.
• Marejesho ya mkopo ya tafanyika pamoja na uwekaji wa Akiba kila mwezi.
• Adhabu ya 1%, 30%, 50%, 100% kwa wote watakao chelewesha Marejesho.
Kiwango cha adhabu kitazingatia muda waucheleweshaji.
• Mwanachama atakuwa na hiari ya kukatisha Uanachama wake kwa kutoa
taarifa ya maandishi ya siku sitini (kufuatana na Sheria ya Ushirika) ndipo
apewe haki zake na kusitisha Uanachama.
• Pia Mwanachama anapaswa kusoma na Masharti ya Chama na Sera ya
SACCOS.
D. UTHIBITISHO:
Mimi …………………………………………………..…………… natamka kwamba
maelezo yote niliyotoa ni sahihi na kweli kwa kadiri ninavyofahamu na kwamba
nimesoma na kuelewa masharti ya Uanachamawa ELCT ND – SACCOS na kwamba
nimeyakubali na nitayazingatia na kuyatekeleza.
Sahihi………………………….....................…… Tarehe…….....................………………
………………………………… …………………………………….
2