Fomu-Ya-Mkopo Wa Biashara - Kkkt-Final Saccos

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 9

ELCT NORTHERN DIOCESE

SAVINGS AND CREDIT CO-OPERATIVE SOCIETY


Reg. No. KLR 483
P. O. BOX 7779, MOSHI. TEL: 027 2751233, 0769-116854 & 0767-341405

Website; www.elctndsaccos@org.com. e-mail; elctndsaccos@ymail.com

FOMU YA MKOPO

1. MAELEZO BINAFSI
Jina la mwombaji …..…………………………………………………………………...................
Umri…………… Namba ya Uanachama………..……Jinsia ……………………....................
Tarehe ya kujaza fomu……………………………………. ……………….…………...................
Simu ya kiganjani ……………..........………...…………../…………………….………………....
Ndoa: Sina ndoa/Nina ndoa/Mjane/Mgane.
Makazi: Nyumba/Shamba/Kiwanja Namba………..........................…………………......
Mtaa/Kitongoji. ………………………………………………..……...........................
Kata ya …………………………………………………………….……………...............
Wilaya ya …………………………………………….…………………………...............
Mkoa wa …………………………………………….…………………………................
Shughuli yangu kuu ya kiuchumi ni:………….………..…………………………………...............

2. MICHANGO YA MWANACHAMA.
Kiasi cha Akiba ya Mwanachama alizochangia TSh……….……………………........................
(kwa maneno) ………………………………………………..….……..………………………..............
Hisa TSh ……......…....…..… (kwa maneno)…................……………………...…………..........
Amana TSh……...........…..… (kwa maneno)…………................………………..…………………

3.0. MAOMBI YA MKOPO.


Ninaomba mkopo wa TSh…………….........….………(kwa maneno) ………..........................
……....................................................................………………………………………..…….......
Nitakaolipa kwa muda wa miezi…………… (kwa maneno) ………..…………… bila kukosa.

3.1. SABABU YA MAOMBI YA MKOPO


Eleza madhumuni ya kuomba mkopo (maelezo ya shughuli unayoombea mkopo)
………………………………………………………………....………………………………………………
…………………………………………………………………....……………………………………………
…………………………………………………............................................................................

……………………………….. ................................... ……………………………….


MKOPAJI. DOLE GUMBA / SAINI SACCOS.
1

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 1 1/15/18 3:00 PM


MASHARTI
Mwanachama atapewa mkopo baada ya kusoma kwa makini masharti yaliyoainishwa
hapo chini na kukubaliana nayo kwa kutia sahihi yake aidha kwa masharti yanayohitaji
utekelezaji, kabla ya mkopo kutolewa mkopaji hana budi kutimiza masharti hayo kabla ya
kuchukua mkopo, (tafadhali soma kwa makini na zingatia masharti yafuatayo:-.)

1. Mwanachama atafanya marejesho yake tarehe kama hii ya mwezi unaofuata.

2. Mwanachama hataruhusiwa kupunguza kiasi cha akiba alizonazo kulipa deni lake .

3.0. Mwanachama atakayepitiliza muda wake wa kuleta marejesho atalazimika

kulipa adhabu (penalty) kulingana na muda aliochelewesha marejesho yake;

adhabu zitakuwa kama ifuatavyo:

3.1. Marejesho yatakayocheleweshwa adhabu itakuwa ni asilimia thelathini (30%)

kwa kila mwezi.

3.2. Marejesho yatakayocheleweshwa kuanzia siku thelathini na moja (31) hadi mia na

themanini (180) adhabu itakuwa ni asilimia thelathini (30%)

3.3. Marejesho yatakayocheleweshwa kuanzia siku mia themanini na moja (181)

hadi siku mia tatu sitini na tano(365) adhabu ni asilimia hamsini (50%)

3.4. Marejesho yatakayocheleweshwa kuanzia siku mia tatu sitini na tano(365) na

kuendelea adhabu itakuwa ni asilimia mia moja (100%)

4. Mkopaji atalipa gharama zote ambazo chama kitazitumia kumkumbusha au kumfuatilia


pindi atakapokuwa amechelewesha marejesho yake.

5. Endapo chama kitatumia nguvu za ziada kukusanya deni lililopitiliza muda wake
(kwa mfano kwa kutumia majembe auction mart au kampuni nyingine yoyote) mkopaji
atapaswa kulipa kampuni husika asilimia kumi (10%) ya deni analodaiwa.

6. Dhamana yoyote itakayowekwa na mkopaji lazima uthibitishwe kimandishi.

7. Mkopaji atakapoweka dhamana yoyote inayoihusu familia yake(kwa mfano nyumba au


shamba lazima pawepo na maridhiano baina ya mkopaji na familia yake maridhiano
hayo lazima yathibitishwe kimandishi na picha zao ziwekwe.

8. Mkopaji analazimika kuonyesha biashara anayofanya pamoja na sehemu anapoishi.

9. Endapo mkopaji atashindwa kulipa marejesho ya mkopo kama alivyokubaliana na


chama baaada ya jitihada madhubuti kufanyika zikiwa ni pamoja na kuwasiliana na
mkopaji kumfuatilia na kumuandikia barua mara tatu, dhamana yake itauzwa kufidia
deni analodaiwa pamoja na gharama nyingine.

Mimi …………………………….....................…………….. nimesoma masharti yaliyoainishwa


hapo juu na kuyaelewa na ninaahidi kuyafuata.
MUHIMU: ADHABU ZITAKATWA KUTOKANA NA KIASI ANACHODAIWA MWANACHAMA.

Jina …………………........……… Sahihi/Dole Gumba…………..………..…Tarehe …………..…….

MKOPAJI……………................................ SACCOS…………....…………………..…..……
2

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 2 1/15/18 3:00 PM


5. TAMKO LA MWOMBAJI.
Ninathibitisha kwamba sababu niliyotoa hapo juu ni ya kweli kabisa kadri nijuavyo na
kwamba nitaweza kulipa mkopo huu pamoja na riba kila mwezi na kuwa mkopo huu
hautaweza kuniletea matatizo ya kifedha. Nakubaliana na MASHARTI, KANUNI NA
SHERIA zote zinazohusu mkopo na marejesho. Kama uthibitisho ninaweka saini yangu
ya kuandika katika fomu hii kama inavyoonekana hapa chini.

Jina …………………………...…. Sahihi/Dole Gumba……….……………… Tarehe…...…………...

6. TAMKO LA KUREJESHA MKOPO


Mimi (Jina kamili)……………………........……………………… Namba ya Uanachama …...….
ninayeomba kuchukua mkopo wa TSh……….............................………
(kwa maneno) ...........................................................……………………….………………….…
Pamoja na Riba ya TSh …………....................... (kwa maneno) ……..…………………………………
……………………………………………………..........................................................................
…………………………………………………………………………..……...........................………….
kwa mafungu ya TSh…………………........…… (kwa maneno) ..................………………………
………………………………………………………..........................…………………………………….

kila mwezi kuanzia mwezi ………......… hadi mwezi ……........…….. Mwaka……….……...


bila kukosa.

7. UTHIBITISHO WA UWEZO WA KULIPA MKOPO


(Chini ya Kanuni ya Vyama vya Ushirika na Masharti ya Chama)

Mimi …………………………………………………………………………………… ninatamka kuwa


na vyanzo vya mapato ambavyo vitaniwezesha kulipa mkopo ninaoomba bila ya usumbufu,
ucheleweshaji au chini ya mafungu yanayotakiwa kama ifuatavyo:

(a) Mshahara (kabla ya kodi na makato mengine) TSh …………………… kwa mwezi.

(b) Biashara (duka, usafirishaji, ufundi, taaluma, uwakala, uzalishaji mali/bidhaa,


huduma, ushauri) TSh …………………………..…………….kwa siku/juma/mwezi.

(c) Kilimo (mazao ya chakula, biashara, matunda, mboga, maua, misitu)


TSh………………………………….………kwa msimu ambao ni mwezi/
miezi………………………..

(d) Ufugaji (mifugo aina zote, samaki, ndege aina zote) TSh. ……………………………..……
kwa msimu ambao ni mwezi/miezi………………..

(e) Uvuvi (mtoni, ziwani, bwawani, baharini) TSh ……………………………………. kwa siku/
juma/mwezi

MKOPAJI …………….....................…………… SACCOS ……..............…………………..

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 3 1/15/18 3:00 PM


(f) Sanaa/usanii (uchoraji, uchongaji, ufinyanzi, ufundi sanifu, uigizaji, uimbaji,
upambaji) TSh ……….........................… kwa siku/juma/mwezi/msimu ambao ni
mwezi/miezi …......…

(g) Mengineyo (pensheni, gawio, ruzuku, masurufu, posho, riba, kodi ya pango, ada,
ushuru, sadaka) TSh ……….................…. kwa siku/juma/mwezi/msimu ambao ni
mwezi/miezi……….

(h) Jumla Kuu ya wastani wa matumizi/makato/mahitaji ya lazima ni TSh.....................….…


(kwa maneno) ...................................................………………………………………….......

Maelezo niliyotoa katika kifungu cha 6 hapo juu ni sahihi kwa kadri nijuavyo na kuwa
sijazuia au kupotosha kwa namna yoyote taarifa niliyotoa.

Kama ushahidi wa kukubaliana na yote niliyoandika naweka saini yangu ya kuandika leo
tarehe
…….. mwezi …….. mwaka ……… na kutolewa hapa ................... (taja Mji/Manispaa/Jiji)

Jina: …………………......…………… Sahihi………..........…………… Simu………..............………

8. MALI ZA MWANACHAMA.
i. SHAMBA:

Mahali lilipo ……………………… Uendelevu………...…… Ukubwa wa shamba……………………

Thamani yake ………………………………………

ii. NYUMBA:
Mahali ilipo………………………............……….. Ukubwa wa nyumba …………................…..

Thamani yake ya kukadiria TSh……………………...........................……...……………………

iii. MALI NYINGINEZO:


(Taja aina ya mali na thamani yake)

…………………………………………………………………………………………………………………

…………..………………………………………………………....................................................….

9.DHAMANA:
Naweka Akiba / Amana na mali tajwa hapo juu kama dhamana katika Chama na iwapo
kwa hali ye yote nitashindwa kurejesha mkopo huo kama nilivyoahidi kwenye mkataba
wa marejesho, natamka kwa ridhaa yangu mwenyewe Uongozi wa Chama kutumia Akiba/
Amana na mali zangu kurejesha kiasi cha mkopo ambao haujarejeshwa pamoja na Riba
na gharama nyingine zitakazosababishwa na mkopo huo.

………………………….......... ........………………..… ……………………………


MKOPAJI. Sahihi/Dole Gumba SACCOS.

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 4 1/15/18 3:00 PM


NB; Kamati ya mikopo inao uwezo wa kupunguza kiasi cha mkopo endapo dhamana
zilizoandikwa/zilizowasilishwa hazilingani na mkopo ulioombwa au kufutwa kabisa
mkopo huo endapo kutakuwa na udanganyifu wa dhamana.

MKOPAJI:
Jina Kamili .......……………………………………… Namba ya Uanachama .....................….……..

Saini ……………......…. Tarehe ........………..… Simu………............………/……………….……

KINGA YA MIKOPO DHIDI YA MAJANGA

Kwa Mkopo wa TSh……………………………………. Kinga ya Mkopo dhidi ya Majanga

ni TSh………………………………………….zitakazolipwa na Mwombaji baada ya mkopo


kupitishwa na kabla ya malipo kufanyika kwa Mkopaji.

10.TAMKO LA WADHAMINI.

i. MUHIMU YA KUZINGATIA.
Iwapo unamdhamini Mwanachama anayekopa mara mbili ya Akiba zake wewe
kama mdhamini utatoa dhamana ya (25%) robo ya mkopo wote pamoja na Riba.

Iwapo unamdhamini Mwanachama anayekopa mara tatu ya Akiba zake wewe


kama mdhamini utatoa dhamana ya asilimia (33.34) ya Mkopo wote pamoja na
Riba.

ii.MDHAMINI WA KWANZA:

Mimi ……………………………………………………………………… Namba ya Uanachama


…………Nikiwa na akili zangu timamu nimekubali kumdhamini Bw/Bi/Bibi/Mch/
Mwj./ Mwl.……………………....…………….. mkopo anaoomba wenye thamani ya TSh
……….…………….....
(kwa maneno) …………...............................................................................…………………

Na endapo atashindwa kabisa kurejesha mkopo huo kwa wakati, mimi naahidi kulipa
Mkopo, Riba na gharama nyingine zitakazojitokeza kama ilivyoainishwa kwenye kipengele
(i) hapo juu, kupitia Akiba zangu. Jumla ya Akiba zangu TSh………………….………..………….
Mkopo ninaodaiwa ni TSh…………….....................………

Jina .............………………………........ Sahihi……................…….... Tarehe……..............……

Simu……........………............................…

……………….....…. ..................................... ……………………………………


MKOPAJI. Sahihi/Dole Gumba SACCOS.

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 5 1/15/18 3:00 PM


iii.MDHAMINI WA PILI:

Mimi ……………………….................………..........……..…… Namba ya Uanachama…....………


Nikiwa na akili zangu timamu nimekubali kumdhamini .

Bw/Bi/Bibi/Mch/ Mwj./Mwl.……………………………..…………… mkopo anaoomba wenye


thamani ya TSh ……………………………….… (kwa maneno )……………………………...…………
…………………………………………………………………………………………………………………
Na endapo atashindwa kabisa kurejesha mkopo huo kwa wakati,mimi naahidi kulipa
Mkopo, Riba na gharama nyingine zitakazojitokeza kama ilivyoainishwa kwenye kipengele
(i) hapo juu, kupitia
Akiba zangu. Jumla ya Akiba zangu TSh…………………………….Mkopo ninaodaiwa ni
TSh……………………………….

Jina…………………......……… Sahihi………......…… Tarehe…………...... Simu…………........…

iii. Shahidi kutoka Familia ya Mwombaji Mkopo.

Mimi………………………………………………………………...ambaye ni ……….…………………..
wa muombaji wa mkopo aliyetajwa katika kifungu cha 1 (Maelezo Binafsi) hapo juu,
nimeridhia, nimekubaliana na kuthibitisha kuwa maelezo yote yaliyojazwa kwenye fomu hii
ni ya kweli tupu na iwapo mwombaji atapatiwa mkopo alioomba mimi binafsi nitawajibika
kisheria iwapo Mkopo na Riba havitalipwa kwa wakati au kwa namna yoyote mwombaji wa
mkopo atakaidi au atazembea au atapuuza kutii, kufuata na kuzingatia Sheria, Kanuni
na Taratibu zote zinazohusu mikopo na kuwa sitazuia, sitapinga au kuzorotesha juhudi
za kufuatilia marejesho ya mkopo husika.

Jina……………..………..Sahihi/Dole Gumba.………...Tarehe………….. Simu…………………

11. UTHIBITISHO: (Mwajiri, Mch., Sheikh, Afisa Mtendaji Kata, Mwenyekiti)

Jina kamili:……………………………………… Cheo: ………..........……. Anwani:…….........……

Simu……………………….……../……………………..............

Nathibitisha kwa kadri ya uelewa wangu kwamba Ndg……………………………………


Ni Mwajiriwa / Muumini / Mkazi wa eneo langu.

SAINI: ……………………………………………………….

MHURI:………………………………..……………………

TAREHE:……………………………………………………

.......................................... ...................................... …………………………….


MKOPAJI. Sahihi/Dole Gumba SACCOS.

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 6 1/15/18 3:00 PM


NB; Hakikisha fomu hii imejazwa kwa usahihi ili kuepuka usumbufu na upate Mkopo
wako kwa Wakati.

1. KWA MATUMIZI YA OFISI TU:

Fomu hii ya Mkataba wa marejesho ya mkopo imehakikiwa na;

Jina la Mjumbe ………………………….............…. Sahihi…………....…. Tarehe……....……...

Mtendaji wa Tawi ………………………..........……… Sahihi…………..…... Tarehe….....………..

Afisa Mikopo ……..............……………………… Sahihi…….....………. Tarehe…....………...

11.1. USHAURI WA MTENDAJI WA TAWI:

………..…………………………………………………………………………………….........................

………………………………………………………………………………………………........................

11.2. USHAURI WA AFISA MIKOPO:

………………………………………………………………………………………………........................

………………………………………………………………………………………………........................

11.3. USHAURI WA KAMATI YA MIKOPO

…………………………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………..........................….

…………………………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………………………………………..…

………………………………………………………………………………………………………...............

Saini/Dole Gumba ………………………………… Tarehe……………………………....……..

MKOPAJI………………………......................…… SACCOS……………………........……….
7

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 7 1/15/18 3:00 PM


11.2. MAJINA NA SAINI ZA WAJUMBE WA KAMATI YA MIKOPO:

Katika Kikao cha tarehe …………........………...…….. Kamati ya Mikopo imeidhinisha mkopo

wa TSh .............……........... (kwa maneno)………………....................………………………..

Utakaolipwa kwa kipindi cha miezi ..… kuanzia mwezi …….…......... mwaka…….........……

Hadi mwezi ……...….… mwaka ………........ na kutozwa Riba ya TSh……................……………

Jumla ya Mkopo na Riba ni TSh ......................……………… (kwa maneno)……....…………..

..………………………………………………………………...........................…………….……………

1.Jina………………….……………………………………..……M/Kiti Saini…………………….…….

Tarehe………………….…………………….

2.Jina………………..................................................... Katibu Saini……………………………

Tarehe……………………………………….……

3.Jina………………..…………………………............ Mjumbe Saini ……………………………..

Tarehe…………………………………………

MKOPAJI ………………................……………… SACCOS…………………….........……….

Sahihi/Dole Gumba .....................................

“SACCOS , UMOJA WETU NDIYO MAENDELEO YETU”.

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 8 1/15/18 3:01 PM


MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA:

1. Hakikisha unazo Akiba za kutosha kufuatana na mkopo unaohitaji.

2. Uwe na HISA kamili za TSh.250,000/=

3. Lazima awepo mdhamini wa familia mke/mume/mtoto.

4. Hakikisha fomu yako imethibitishwa na Mwajiri/Mch/Shehe/Mtendajii.

5. Ambatanisha barua ya Maombi ya Mkopo pamoja na Mchanganuo wa matumizi ya


mkopo

6. Hakikisha unakuwa na Wadhamini wawili waliotimiza Vigezo/wenye sifa.

7. Mkopo utakuwa na Bima kulingana na muda wa ulipaji.

8. Weka picha moja ya “passport size” kwenye fomu.

9. Mkopaji atagharamia usafiri wa Afisa Mkopo (ofisi) anapomtembelea kwenye Biashara


au Makazi kabla ya kuchukua mkopo.

10. Mkopo kuanzia 5mil. kuendelea utaweka dhamana ya Mali isiyohamishika na kujaza
fomu ya kiapo Mahakamani.

11. Utahudhuria Semina kabla ya kupata mkopo.

12. Utakopeshwa Mara mbili au tatu ya Akiba zako.

13. Hakikisha utafanya Marejesho kama Mkataba ulivyo

14. Wanachama wasumbufu / wasioweka Akiba mara kwa mara hawatapata Mkopo.

.......................................... ..................................... …………………………….


MKOPAJI. Sahihi/Dole Gumba SACCOS.

FOMU YA MKOPO KKKT FINAL.indd 9 1/15/18 3:01 PM

You might also like