Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

MKATABA WA MAKABIDHIANO YA PIKIPIKI

Mimi.....................................................................nimemkabidhi pikipiki yangu


bw/bw………………………………………………. Aina ya................................yenye
namba za usajili ……………………… leo tarehe ………/……../..................kwa
makubaliano yafuatayo.
1. Bw/bi.........................................................................................anatakiwa
kuwasilisha kiasi cha Tsh..........................................................Kwa siku
ambacho anatakiwa kuwasilisha kwa wiki Tsh....................................na
mkataba utaisha tarehe ………………………..
2. Bw/bi.................................................................atahusika na matengenezo
yote ya pikipiki kwa muda wote wa mkataba huu na kuleta pesa kamili kama
mkataba unavyosema.
3. Endapo atamaliza malipo haya kwa mda tuliokubaliana bila
matatizo atakabidhiwa kadi ya pikipiki kuwa mali yake halali
kuanzia hapo.
4. Anatakiwa kutoa taarifa kama itatokea dharura yeyote na kukubaliana
kwa pamoja juu ya malipo.
5. Endapo atashindwa kutimiza masharti ya mkataba huu atakuwa
amevunja mkataba mwenyewe na nitakuwa huru kuchukua pikipiki
yangu.
6. Endapo mimi mmiliki wa pikipiki nitavunja mkataba huu
nitatakiwa kurudisha pes azote za matengenezo aliyotumia
kutengeneza wakati anaendesha.

7. Nimemkabidhi pikipiki iliyo katika hali nzuri ambayo haina tatizo lolote la
kiufundi na kwa kusaini mkataba huu amekubaliana na mashrti ya
mkataba huu.

SAHIHI YA MWENYE PIKIPIKI …………………………………………. SIMU…………………………..


SAHIHI YA SHAHIDI WA MMILIKI JINA ………………………………………… SAHIHI…………………………….
SAHIHI YA MKABIDHIWA ………………………………………………. SIMU …………………………
SAHIHI YA MDHAMINI WA MKABIDHIWA JINA ………………………………………………
SAHIHI…………………………

MKATABA HUU UMESHUHUDIWA NA OFISI YA SERIKALI YA MTAA WA WAZO

……………………………………………
AFISA MTENDAJI/MWENYEKITI/MJUMBE

You might also like