Youth Focus Development Form-2

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

Youth Focus Development (YDF) ni Taasisi ndogo ya kifedha inayo jiendesha kwa

kufuata mifumo ya VICOBA yaani kuweka, kukopa na kuelimishana juu ya ujasiliamali.


Malengo yake ni kuwa na SACCOS na Baadaye kujiendesha kama Bank ya Jamii.

KUJIUNGA KUENDELEA

SEHEM 1: MAELEZO BINAFSI:


TITLE Bwana Bibi Doc Prof
JINA

ANUANI1 NAMBA YA SIMU

UNAPOISHI BARIA PEPE


UNAPOFANYIA
SAINI
KAZI/KUSOMA

SEHEM 2: MAELEZO YA MDHAMINI:


NB: Mwana HISA mmoja anaruhusiwa kuwadhamini wanahisa wenzake watatu tu.
TITLE Bwana Bibi Doc Prof
JINA

ANUANI1 NAMBA YA SIMU

UNAPOISHI BARIA PEPE


UNAPOFANYIA
SAINI
KAZI/KUSOMA

YFD inasisitiza kuwa na mdhamini ambaye ni mwanahisa wa YFD ili iwe rahisi kwa yeye kufuatilia
kwa ukaribu kama mwanahisa anafuata sharia na taratibu.

SEHEMU YA 3: AZIMIO
MIMI bila kulazimishwa nimekubari kushirikia shugulizote za YDF kama mwanahisa, nitafuata
sheria na masharti yaliyo tungwa na kupitishwa na YDF. Ninasaini hapa chini kuthibitisha utayari
wangu.
Jina ……………………………………………… Saini …………………………….

MIMI bila kulazimishwa nimekubari kumdhamini Bw/Bi/Dr/Prof…………….……………… kuwa


mwanahisa wa YDF kama mwanahisa mwenzake. nitamsimamia afuate sharia na masharti yaliyo
tungwa na kupitishwa na YDF. Ninasaini hapa chini kuthibitisha utayari wangu.

Jina …………………………….……………… Saini …………………………….

SEHEMU YA 4: SAINI NA MAJINA YA VIONGOZI

Mwenyekiti katibu
Jina …………………………………………….. Jina …………………………………………………………

Saini …………………………………………….. Saini …………………………………………………………

Date: ______________________

You might also like