Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

YOUTH WISE TALK AND WALK ORG,

S.L.P 4543,
MBEYA
24-07-2021

WAANDAJI WA SHINDANO LA UJASIRIAMALI,


KANISA LA UINJILISTI,
S.L.P 219,
MBEYA

Ndugu,
YAH: USHIRIKI WA SHINDANO LA UJASIRIAMALI
Sisi ni wanakikundi wa Youth Wise Talk and Walk Org, kikundi cha vijana kilichosajiliwa chini
ya halmshauri ya wilaya ya Mbeya vijiji, kwa usajili nambari MDC/CD/0218 mwaka 2017.
Kikundi cha Youth Wise Talk and Walk Organization kinajihusisha na uelimishaji wa vijana
katika njanja tofauti, kama vile elimu, ujasiriamali, ushauri na kujitoa kwa jamii.

Tunasifa za kushiriki katika shindano hili kwa kuwa, kikundi kinaundwa na vijana ambao ni zao
la mkoa wa Mbeya na hivyo tunafahamu kiundani changamoto zote zinazoukabili mkoa wa
Mbeya, hususani mji huu mdogo wa Mbalizi. Lakini pia tuna uzoefu mkubwa wa utekelezaji
miradi mbalimbali ambayo imekuwa inafanyika chini ya hamashauri ya wilaya ya Mbeya
vijijini.

Vilevile ujuzi tuliupata kupitia vyuo mbalimbali ambavyo wanakikundi tumehitimu elimu yetu
tumekuwa na uwezo, ujuzi na ushawishi mkubwa katika kutoa elimu kwa vijana kuhusiana na
masuala ya kijamii. Mpangilio na matumizi mazuri ya fedha ni moja ya sifa iliyotufanya tushiriki
shindano hili.
Ahsante!
Lukas Zacharia Wilhem Kyejo
Katibu M/kiti

You might also like