Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

YOUTH WISE TALK AND WALK ORG,

S.L.P 4543,
MBALIZI-MBEYA
18-04-2021
GABRIEL MWITA,
MJUMBE,
YOUTH WISE TALK AND WALK ORG,
S.L.P 4543,
MBALIZI-MBEYA

Ndg,

YAH: KUFUTWA RASMI USHIRIKI WAKO KATIKA KIKUNDI CHA YOUTH WISE
TALK AND WALK ORGANIZATION
Husika na kichwa cha barua hapo juu,

kutokana na kanuni za kikundi amabzo zimeainishwa katika katiba iliyopitishwa na wanakikundi


wote. Katika kipengele cha 3.1.3 kifungu cha (i-ix).

Kikao kilichofanyika tarehe 17-04-2021 kiliadhimia kukufuta ushiriki rasmi kuanzia tarehe ya
kikao hicho. Hivyo basi kuanzia leo wewe si mwankikundi cha YWTW.

Endapo utahitaji kujiunga tena, utatakiwa kufuata taratibu na kanuni zilizopo kwenye katiba ya
kikundi.

Ahsante.

…………………… ………………
Neema Mitiming Wilhem Kyejo
Katibu M/Kiti

You might also like