Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

YOUTH WISE TALK AND WALK ORG,

S.L.P 4543,
MBALIZI-MBEYA
18-04-2021
AGNESS JOBU,
MJUMBE,
YOUTH WISE TALK AND WALK ORG,
S.L.P 4543,
MBALIZI-MBEYA

K.K

Afisa Maendeleo Kata


Kata ya Nsalala
S.L.P 55
MBEYA

Ndg,

YAH: KUFUTWA RASMI USHIRIKI WA KIKUNDI CHA YOUTH WISE TALK AND
WALK ORGANIZATION
Husika na kichwa cha barua hapo juu,

kutokana na kanuni za kikundi ambazo zimeainishwa katika katiba iliyopitishwa na wanakikundi


wote. Katika kipengele cha 3.1.3 kifungu cha (i-ix).

Kikao kilichofanyika tarehe 17-04-2021 kiliazimia kukufuta ushiriki rasmi kuanzia tarehe ya
kikao hicho. Hivyo basi kuanzia leo wewe si mwanakikundi wa YWTW.

Endapo utahitaji kujiunga tena, utatakiwa kufuata taratibu na kanuni zilizopo kwenye katiba ya
kikundi.

Ahsante.

…………………… ………………
Neema Mitiming Wilhem Kyejo
Katibu M/Kiti

You might also like