Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

Modi ya Data Nenda kwa Bila malipo

9+ 30

ANZA SIKU NA BWANA


25 Septemba saa 04:09 ·

ANZA SIKU NA BWANA


KWA NENO NA MAOMBI
NENO LA MUNGU LINA NGUVU KULIKO NENO LA MWANADAMU
YOHANA 14:12 -14
12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam,
na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Mpendwa jifunze;
■ Kutumia uwezo uliopewa kutenda makubwa zaidi.
■ Kuomba kwa jina la Yesu.
Mpendwa,
1.Je, wewe maombi
yako unayaelekeza
katika imani ipi?
2.Je, wewe huwa
unaweza kuomba lo
lote?
3.Je, wewe huwa
unaomba kwa jina la
nani?
TAFAKARI
Mpendwa , umepewa kuomba kwa kumwamini Yesu asiyeshiIjuma Umepewa uhuru wa kuomba lo lote
kupitia jina la YESU KRISTO. Uwezo wa kutenda makubwa.
Unangoja nini mpendwa? OMBA .
Wakati mwingine umeshindwa kupokea majibu ya mahitaji yako kwa sababu unaomba vibaya. Unaomba
kupitia majina ya watu maarufu, mitume na manabii na ndiko tulikojenga imani zetu.
Mpendwa, omba kupitia jina la YESU KRISTO utapokea majibu yako na kuzidi.
YAKOBO 5:15&16
15 Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya
dhambi, atasamehewa.
16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye
haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.
Barikiwa sana mtu wa Mungu. Uwe na Ijumaa njema.
Mwl. Joyce Y. Makala.
25 Sept, 2020.

Penda Toa maoni Shiriki

46

Imesambazwa mara 5

Andika maoni... Chapisha


Andika maoni... Chapisha

Pilly Mmbaga
Amen
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Kiliga Masinde
Amina na Ubarikiwe Mwalimu....
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Shabiki Bora
Dickson Runga
Amina
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Ritha John Macha Macha


Ameeen
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Charles Inyanje Karakacha


Amen amen pastor niombe
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Jackson Thomas
Amen
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Jennifer Massawe
Amen ; kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana akiomba kwa imani
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Reuben Rwiza
Amina mtumishi
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Yeremiah Shansumbuh
Amina
siku ya Ijumaa Penda Jibu Zaidi

Laurent Mpemba
AMEN!
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Shedrack Madeje
Hallelujah
Hallelujah
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Bonheur Shebalole
Amina
siku ya Ijumaa Penda Jibu Zaidi

Beatrice Mumba
Ameeni
siku ya Ijumaa Penda Jibu Zaidi

Upendo Lugala
Amen
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Shabiki Bora
Pengo Francis
Amen
siku ya Ijumaa Penda Jibu Zaidi

Abella Ruba
Amina amina tuombe tuombe
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Aidan Braison Mwigune


Amen
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Bailon B Basil
Amen barikiwa sana
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Martin Masalu
Amina.
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Akili Senenda James


Amina
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Neema Kuziwa
AMEEN
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

Urasa Mamfere
Ameen
siku ya Ijumaa Penda Jibu Zaidi
Costansia Maganga
Amina
mnamo Alhamisi Penda Jibu Zaidi

You might also like