Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

Modi ya Data Nenda kwa Bila malipo

27

ANZA SIKU NA BWANA


Saa 5 ·

ANZA SIKU NA BWANA


KWA NENO NA MAOMBI
NENO LA MUNGU LINA NGUVU KULIKO NENO LA MWANADAMU
ZABURI 37:23&24
23 Hatua za mtu zaimarishwa na BWANA,Naye aipenda njia yake.
24 Ajapojikwaa hataanguka chini,BWANA humshika mkono na kumtegemeza.
Mpendwa jifunze;
■ Mungu huimarisha hatua zetu.
■ Mungu hutuwezesha kuipenda njia yake.
Mpendwa,
1.Je, wewe huwa
unamruhusu Yesu
kuimarisha hatua
zako?
2.Je, wewe
hupendezwa na njia
za Bwana?
3.Je, wewe uliwahi
kujikwaa na Bwana
akakutegemeza.?
TAFAKARI
Mpendwa, hatua zetu na maisha yetu Bwana anayajua na ndiye anayehusika na kila hatua tunayopiga.
Yesu akiongoza hatua zako utakuwa salama. Utafahamu upite wapi na usipite wapi, ufanye nini na
usifanye nini. Yesu atakupa mipaka na mwongozo wa maisha ya kila siku mguu wako usiendee uovu.
Mpendwa, inapotokea umejikwaa usikubali kuangaka kabisa. Yesu yupo kukusaidia na kukutegemeza
uweze kusonga mbele.
Fanya toba ya kweli Mungu ni wa rehema nyingi ANASAMEHE DHAMBI pale unapomwendea na moyo
wenye toba ya kweli. Shikamana naye. Anza upya tena.
AYUBU 23:11
11 Mguu wangu umeshikamana sana na hatua zake; Njia yake nimeishika, wala sikukengeuka.
Barikiwa sana mtu wa Mungu. Uwe na Jumanne njema.
Mwl. Joyce Y. Makala.
29, Sept, 2020.

Penda Toa maoni Shiriki

27

Imesambazwa mara 4

Andika maoni... Chapisha


Yusufu Amani
barikiw mtumish makala najuwa kwa jina ilo ww ni mnyiramba mwenzangu sigand kiroho kwa
kuwa nimemwamin yesu kristo mawasiliano yangu 0673094623
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Reuben Rwiza
Amina mtumishi,nawe pia ubarikiwe daima
Saa 1 Penda Jibu Zaidi

Pilly Mmbaga
Amen
Dakika 44 Penda Jibu Zaidi

Coolg Rodrigue
Amen..
Saa 1 Penda Jibu Zaidi

Edna Missy
Amina
Saa 2 Penda Jibu Zaidi

Mery Morewa
Amina
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Charles Inyanje Karakacha


Amen Amen pastor niombee
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Bonheur Shebalole
Amina
Saa 2 Penda Jibu Zaidi

Yeremiah Shansumbuh
Amen
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Jennifer Massawe
Amen
Saa 1 Penda Jibu Zaidi

Robin Van Mahagi


Amen
Saa 2 Penda Jibu Zaidi
Holloh Noah Mulela
Amen
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Shedrack Madeje
Ameeeen
Saa 5 Penda Jibu Zaidi

Humphrey Pallangyo
Amen
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

Martin Masalu
Amina.
Saa 4 Penda Jibu Zaidi

Shabiki Bora
Godfrey Mawa
Ameeen
Saa 2 Penda Jibu Zaidi

Akili Senenda James


Amina
Saa 2 Penda Jibu Zaidi

Costansia Maganga
Aminz
Saa 3 Penda Jibu Zaidi

You might also like