Professional Documents
Culture Documents
Gharama Za Kuroiler
Gharama Za Kuroiler
C. Hesabu
Tufanye katika #kuku mia wamekufa #kuku 20 na umebaki na #kuku
80, #majogoo 20 na #mitetea 60 utapunguza #majogoo 10 ubaki na 10
tu kwaajili ya mbegu, #tetea mmoja wa #kuroiler #anataka wastani wa
#mayai 4 kwa wiki x wiki 4 za mwezi ni #mayai 16 x kuku 60 =
mayai 960 kwa mwezi ambayo ni #tray 32 uza kwa 15,000/= utapata
480,000/=
D. Uendeshaji #Kuku 70 (kwa mwezi )
1. Chakula 273kg @ 450/= 122,850/=
(#Kuku mmoja anakula 130gram kwa siku x kuku 70 x siku 30 =
273,000 gram)
2. Madawa, Chanjo, Virutubisho na Ushauri 30,000/=
3. Usafiri, Dharula na Mengineyo 30,000/=
4. Posho Msaidizi na mmiliki 100,000/=
5. Maji 10,000/=
JUMLA 202,250/=