Chango Kwa Mtoto

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

CHANGO KWA WATOTO WACHANGA...

Watoto wachanga wanasumbuliwa na chango wanapokuwa na umri wa wiki 2 baada ya


kuzaliwa ndipo wanapata achango. Chango ni maamivu makali ya tumbo anayopata mtoto
na kulia mara kwa mara ikiwa usiku , mchana au jioni ,anaweza kulia zaidi ya msaaa 3 kwa
siku usiku .
Chango inachukua mda wa miezi 3-4 ndio mtoto apone,ingawa sio watoto wote wanapata
na tatizo la chango.
Sababu za kuleta chango kwa mtoto?
Mtoto atakapo nyonyeshwa sana mpaka kuvimbilwa (overfeeding)huchochea chango.
Hormones-zinachochea mletea maumivu ya tumbo (mtoto akiwa na stress ya mazingira au
mama anaposhindwa kumweka position nzuri wakati wa kunyonya)
Gesi – mtoto ,akiwa analia au kunyonya kwa haraka anameza hewa inayokuja kuleta gesi
na kumuumiza tumbo.
Kiungulia(heartburn)
Dalili ya chango kwa mtoto (colic)
Mtoto atalia sana kilio chake kitakuwa tofauti na kile cha kawaida akiwa na( njaa,usingizi ,
au akiwa kajisaidia n.k). Analia sana akijikunja tumbo ,kunyoosha miguu au vidole uso
utabadili rangi na kuwa mwekundu , pia anaweza kujamba mara kwa mara.
Utamsaidia vipi mtoto
Mama unatakiwa kuacha kula baadhi ya vyakula kwa kipindi hiko cha miezi 3-4 ambayo
inamsumbua mtoto na chango,kama (kabichi,maziwa yango’mbe au nido, cheese
,kahawa,broccoli,maharage
Baada ya kumnyonyesha mweke begani na mpige pige mgongoni ili abeuwe itamsaidia
Mama unapo nyonyesha mtoto hakikisha mtoto anaingiza mdomo kwenye chuchu yote na
kufunika ule mstari mweusi bila kuacha nafasi akaingiza hewa mtumboni.
Mfanyie massage ya tumbo- tumia mafuta ya maji weka mkononi sugua viganja vyako
vikipata joto mpake tumboni kuanzia juu kuja chini litaletea na gesi zitatoka.
Weka maji vuguvugu kwenye beseni na mweke mtoto akae kwa dakika 10-15.
Weka maji vuguvugu kwenye chupa ya plastik funika na taulo mwekee mtoto
tumboni(hakikisha -maji yasiwe yamoto sana ukamuunguza.
Mbebe mtembe tembe au kama kunakiti chake kile cha bembea mweke abembe
atanyamaza.
Mtoe nje apate fresh air.
Mtoto akilia sana washa vacuum cleaner au radio inamfanya anyamaze.
Mbadilishie maziwa ya aina nyingine kama unampa ya kopo
Usimlishe sana mpaka akavimbilwa(overfeeding)
Tiba
Kunadawa za aina tofauti ila usimpe kabla ujaona kwani mtoto ni mdogo sana huyo
anahitaji uangalizi wa hali ya juu. Soma vipimo vya dawa utakavyopewa kabla ujampa
mtoto.

You might also like