Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

KISW 801

CHUKA UNIVERSITY

UNIVERSITY EXAMINATIONS

EXAMINATION FOR THE AWARD OF MASTER OF ARTS (KISWAHILI)

KISW 801: HISTORIA NA MAENDELEO YA KISWAHILI

STREAMS: MA (KISW) SB/PT TIME: 3 HOURS

DAY/DATE: WEDNESDAY 15/04/2020 2.30 P.M. – 5.30 P.M.


MAAGIZO: JIBU MASWALI YOYOTE MATATU

1. Onyesha kwa tafsili “ubantu” wa Kiswahili [alama 20]


2. Tathmini sera ya lugha nchini Kenya baada ya uhuru. [alama 20]
3. Jadili kauli kwamba Kiswahili ni lugha ya kimataifa kwa kurejelea mifano mwafaka
[alama 20]
4. Fafanua mchango wa wanasheria katika kukuza na kuendeleza Kiswahili nchini Kenya.
[alama 20]
5. “Ingawa Afrika ina lugha nyingi zenye wasemaji wengi kama vile Igbo, Hausa, Amharic,
Kiarabu miongoni mwa lugha nyingine, Kiswahili kinafaa zaidi kuchaguliwa kuwa
lingua Franka ya bara hili – Chimerah 1998. Jadili kauli hii [alama 20]

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Page 1 of 1

You might also like