Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

chakula duni husababisha udumavu wa

samaki. Kwa kawaida, bwawa 3. Chakula cha ziada


lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha Samaki wafugwao hula chakula cha ziada.
asili ambacho ni nafuu na hupunguza Chakula hiki hutengenezwa kwa kutumia
gharama za uzalishaji. Ili kufuga kwa tija na mchanganyiko wa malighafi mbalimbali
JAMHURI YA MUUNGANO WA kupata mavuno makubwa, inashauriwa kama dagaa, pumba, mashudu, madini na
TANZANIA mfugaji atumie chakula bora cha ziada. vitamini. Malighafi hizi zina virutubisho
Ubora wa chakula ni pamoja na uwepo wa muhimu kwa ajili ya ukuaji mzuri wa
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI virutubisho muhimu na urahisi wa samaki. Virutubisho hivi ni protini, wanga,
kumenge’nywa na samaki. mafuta, madini na vitamini.
IDARA YA UKUZAJI VIUMBE MAJI
3.1. Kiwango cha malighafi katika
chakula cha samaki
Chakula cha ziada cha samaki huweza
CHAKULA CHA SAMAKI kutengenezwa na mfugaji mwenyewe au
kutoka viwandani. Iwapo mfugaji, mathalani
anataka kutengeneza kilogramu 50 za
chakula cha samaki, anashauriwa
changanya:
bwawa lililo rutubishwa 1. Dagaa au soya: 7 kg;
2. Mashudu ya alizeti, 21.04 kg;
2. Chakula cha asili. 3. Pumba za mahindi 14.60 kg;
Kwa kawaida, samaki hula chakula cha asili 4. Unga wa muhogo 7.20 kg;
kinachozalishwa kwenye bwawa baada ya 5. madini na vitamin 0.16 kg.
kurutubishwa.
i. tengeneza sehemu ya kutunzia mbolea Aidha, mfugaji anaweza kutumia chakula
(uwigo) ndani ya bwawa upande maji kilichotengenezwa viwandani. Chakula hiki
yanapoingilia kwa kutumia fito na hupatikana katika aina tatu kulingana na
kuziimarisha kwa kamba; umri wa samaki (starter, grower na finisher).
ii. weka mbolea ya samadi ya wanyama Chakula cha samaki wazazi na vifaranga
kama ng`ombe, mbuzi, kondoo, sungura, huwa na kiwango kikubwa cha protini ili
bata, kuku na mboji; kuwafanya watotoe vifaranga vingi na
iii. Hakikisha uwigo una mbolea wakati wote vyenye ubora.
ili kuwezesha maji kuwa ya kijani kwa
kuzalisha vijimea (algae); 3. Namna ya kuandaa chakula cha samaki
iv. Pima ukijani kwa kutumbukiza kiganja cha 1. changanya malighafi ulizonazo kwa
mkono mpaka usawa wa kiwiko na ukione uwiano ulioanishwa;
1. UTANGULIZI kwa uhafifu. Kiganja kikionekana waziwazi, 2. saga mchanganyiko huo hadi ilainike;
Chakula bora cha samaki ni hitaji muhimu ni kiashirio kuwa mbolea haitoshi au
katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya kinyume chake.
vi. Rekodi kiwango kilicholiwa kwa siku kwa 40487 Dodoma
ajili ya kumbukumbu. Simu: +255 (0)769220212
Nukushi: +255 (0)2861908
5. Muda na jinsi ya kulisha samaki E-mail: daq@uvuvi.go.tz
i. lisha samaki wako asubuhi kati ya saa
3.00 hadi saa 4.00 na jioni kati ya saa
10:00 hadi saa 11:00 kwa kuwa ni muda
ambao bwawa lina joto na mwanga wa
3. unaweza kuweka chakula cha samaki wastani;
kwenye mfumo wa punje (pellets) kwa ii. tumia eneo moja la bwawa kuwalisha
kutumia mashine ya kusaga nyama au ya samaki kila siku ili kuwazoesha na
kutengenezea tambi; kuwafanya wale chakula kingi.
4. anika chakula kwenye jua la wastani;
baada ya kukauka, vunja vunja punje za ZINGATIA: Uchaguzi mzuri wa chakula
chakula vipande vidogo vidogo kwa bora cha samaki, uhifadhi na ulishaji kwa
kuzingatia umri wa samaki; kuzingatia kanuni huchangia kwa kiasi
5. hifadhi chakula kikavu kwenye mifuko safi kikubwa kuleta mafanikio.
na salama, weka juu ya chanja kuepusha
kuvunda kutokana unyevunyevu
unaosababisha kuvu (fungus).

Kwa maelezo zaidi kuhusu chakula cha


samaki, wasiliana kupitia:
4. Ulishaji wa samaki
i. chunguza ubora wa maji na tabia ya
KATIBU MKUU (UVUVI),
samaki iwapo wamechangamka;
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI,
ii. chunguza dalili za uwepo wa magonjwa;
S.L.P 2847,
iii. iwapo joto la maji limeshuka isivyo
40487 DODOMA
kawaida au kuna dalili za ugonjwa
Simu: +255 26 2322612
punguza kiasi cha kulisha kwa kuwa
Nukushi: +255 (0)2861908
watakula kiasi kidogo;
E-mail: ps@uvuvi.go.tz
iv. iwapo kiasi cha ulaji wa samaki
umepungua, usiwalishe siku inayofiata;
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kupitia:
v. Kama wanakula kwa kugombania,
ongeza chakula mpaka watakapo acha
Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji,
kugombea.
Wizara ya Mifugo na Uvuvi,
S.L.P 2847,

You might also like