Tangazo La Usaili Kwa Waombaji Wa Ajira Ya Jeshi La Polisi 2

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


JESHI LA POLISI TANZANIA

TANGAZO LA USAILI KWA WAOMBAJI WA AJIRA YA


POLISI KUPITIA MTANDAO (ONLINE)

Jeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye fani


maalum ambao walioomba kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania kupitia
Mtandao (online) usaili wao utafanyika tarehe 30/10/2021 saa 2.00
asubuhi Makao Makuu ya Polisi Dodoma. Orodha ya vijana
waliochaguliwa kufanya usaili Makao Makuu ya Polisi Dodoma
imeambatanishwa pamoja na tangazo hili.

Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
S.L.P 961
DODOMA

26/10/2021

You might also like