Professional Documents
Culture Documents
Mfungo
Mfungo
Mathayo 6: 16-18
"Tena mfungapo" maneno haya yanaonyesha kuwa
Wakristo wanapaswa kufunga. Mfungo si hiari ingawa
lazima ufanyike katika namna ya kuwa na Nia sahihi ili
kupata matokeo Bora.
Mambo matatu ya kuangalia.
1. Mfungo wenye kusudi
Mathayo 6:16a; 2 Mambo ya Nyakati 20:1-4; Nehemia
1:2-4; Esta4: 1-3, 16.
2. Mwonekano wa Mfungo usiyo sahihi
Luka 18:11,12. Isaya 58:1-7. Zekaria 7: 4-6
3. Nguvu itokanayo na mtazamo sahihi katika Mfungo.
Mathayo 6: 17,18; 17:19-21; Yona 3:5-10; matendo 13:
1-5, 6-12.