RAMANI NA VIPIMO Vya Uwanja Wa Mpira

You might also like

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 2

RAMANI NA VIPIMO VYA UWANJA WA SOKA!

Wengi tunaupenda mchezo wa soka lakini je sheria zenyewe zinazoongoza mchezo huu tunazifahamu?
blog yako inakuletea sheria za mchezo huu, hii ni kwa ajili ya kuwafanya wasomaji wetu nanyi mfahamu
sheria 17 za mchezo huu.

SHERIA YA 1:UWANJA WA MICHEZO

1: vipimo

Kiwanja cha michezo kina umbo la mstatili. Urefu wake

hautazidi yadi 130 na hautapungua yadi 110. Upana wake

hautazidi yadi 100 wala hautapungua yadi 50. Kiwanja cha michezo ya kitaifa urefu hautazidi yadi 80
wala kupungua yadi 110, na upana hautazidi yadi 80 wala kupungua yadi 110, na upana hautazidi yadi 80
wala kupungua yadi 70. Kwa vyovyote vile, marefu yatazidi mapana.

2: Alama

Mistari inayoonekana wazi, yenye unene usiozidi inchi 5

itachorwa kuonyesha mipaka ya kiwanja. Mistari ya urefu

itaitwa mistari ya pembeni na ile ya mapana, itaitwa mistari ya goli.

Bendera iliyootundikwa kwenye mti usiopungua futi 5 kwa urefu itasimikwa katika kila kona ya kiwanja.
Bendera ya aina hii yaweza kusimikwa sawa na mstari wa kati umbali usiopungua yadi moja kutoka
mstari wa pembeni. Mstari wa katikati utapita katikati ya kiwanja na alama itawekwa

kuonyesha katikati ya kiwanja na alama itawekwa kuonyesha katikati kabisa. Kutoka kwenye alama
hiyo,mnviringo wenye nusu kipenyo cha

yadi 10 utachorwa. Alama hiyo ya kati ndipo mahali pa kuanzia michezo.


3: Eneo la goli

Katika kila upannde wa goli mistari miwili itachorwa pembe mraba na mstari wa goli. Eneo lililomo ndani
ya mistari hii litajulikana kama eneo la goli.

4: Eneo la Adhabu

Katika kila upande wa goli mistari miwili itachorwa pembe

mraba na mstatiri wa goli umbali wa yadi 18 toka kila nguzo ya goli. Mistari hii itaingia uwanjani umbali
wa yadi 18 na itaungwa kwa mstari wa usawa na ule wa goli. Eneo hili litajulikana kama eneo la adhabu.
Alama itawekwa umbali wa yadi 12 kutoka katikati ya mstari wa goli, na hapo ndipo pa kupiga penalti.
Kutoka alama hiyo

mkato wenye nusu kipenyo cha yadi 10 utachorwa nje ya eneo la adhabu.

5: Eneo la kona

Robo ya mviringo yenye nusu kipenyo cha yadi itachorwa ndani ya kiwanja kutoka mahali ilipo bendera
ya kona. Eneo hili ndio eneo la kona.

6: Magoli

Nguzo za goli zitasimikwa katikati ya mistari ya goli, zikiacha urefu sawa toka kila kona. Umbali kati ya
nguzo na nguzo utakua yadi 8. Juu ya nguzo kutawekwa mwamba na urefu wa ndani ya gali toka chini
hadi hadi juu, mwamba huo hautazidi inchi 5.

Baraza la michezo la mataifa FIFA limeamua katika sheria katika sheri hii ya kwanza ya mchezo wa soka

kwamba;

1: Vipimo vya kiwanja cha mchezo wa kimataifa vitakuwa; si zaidi ya yadi 120 + 80 wala si chini ya yadi
100 + 70. (Wastani

m105 + m70)

You might also like