Professional Documents
Culture Documents
MFUMO Wa MadeniMIS
MFUMO Wa MadeniMIS
UTANGULIZI
Mfumo wa madeniMIS unamuhitaji mtumiaji kuingia kwa kutumia
username(check no na password ambayo unajitengenezea wewe mtumiaji
wakati wa kiujisajili.
Baada ya kuona jina mwalimu utabonyeza alama kufuri iliyopo kwenye jina au
kama walimu wapo wengi utamsearch(1) kisha utaona detail zake(2) na alama ya
kufuri utabonyeza kufuri(3)
Baada ya kubonyeza alama ya kufuri utaona dialog ya panga upya neno la siri
kisha utabonyeza ndiyo panga upya neno la siri utapata meseji ya umefanikiwa
kupanga upya neno la siri ndipo utamwelekeza mwalimu akaingie na default
password ileile ya Secret@123 nayeye pia itamletea dialog ya kuingiza neno la siri
la zamani na mpya mara mbili kama mkuu anavyoingiza baada ya IT kum-reset
Prepared by
Dickson J. Mbilinyi
IT – MWANGA DC