GodianNewton Kanaani

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

Do you want to log in to or join Facebook?

Join

or

Log In

Gordian Newton Friends Who Like Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry)

23 hrs ·

"USIWAOGOPE WENYEJI WA MJI "KAANANI YAKO" UNAOINGIA ULIYOPEWA NA MUNGU ILI UKAE"
Hesabu 14:9 Lakini msimwasi BWANA, wala msiwaogope wale wenyeji wa nchi, maana wao ni chakula
kwetu; uvuli uliokuwa juu yao umeondolewa, naye BWANA yu pamoja nasi; msiwaogope.
Shalom kanisa la Bwana!!
Mungu anapokuweka mahali..anapokupeleka mahali ili ukae hapo kwa kusudi lake usiogope wenyeji
utakao wakuta ..usiogope waliokutangulia hapo yamkini muda wao wa kukaa hapo umeisha na Mungu
amekuweka wewe majira haya ili UTIMIZE KUSUDI LAKE ..
KWAHIYO USIAWAANGALIE WENYEJI WA MJI BALI MWANGALIE YEYE ALIYEKUWEKA
HAPO...USITUMIE MUDA MWINGI KUWAFIKIRIA HAO WENYEJI WA MJI BALI TAFAKARI KUSUDI LA
MUNGU KUKUWEKA HAPO KUHUSU HAO WENYEJI WA MJI MUNGU ANAJUA NAMNA YA
KUSHUGHULIKA NAO.
Mungu aliwapeleka Wana wa Israel kaanani NCHI ya ASALI na MAZIWA ..hii nchi haikuwa tupu kulikuwa
na watu wanakaa nchi hii ilikuwa na wenyeji kabisa wa nchi lakini Mungu aliwachagua Israel waende
wakakae hapo japo kuwa ina wenyeji..
MUNGU ANAWEZA KUKUPELEKA MAHALI HATA KAMA KUNA MTU/WATU HILO ENEO ANATAKA WEWE
UKAKAE HAPO KWA KUSUDI LAKE SASA WEWE SIYO KAZI YAKO KUJUA HAO WENYEJI WA MJI
WATAENDA WAPI?
Nataka kusema hivi Kuna wakati Mungu anaweza kukupeleka mahali ..mfano kazini na kwenye hiyo
nafasi yupo MTU au watu waliokutangulia Tena wazoefu kuliko wewe walikutangulia kuajiriwa sawa
walitangulia kusoma sawa..walitangulia kuolewa huo ukoo sawa...walitangulia kuanza biashara Hilo
eneo sawa ..walitangulia kujenga hapo sawa ... HIYO ISIKUTISHE UKAWAOGOPA UKAJIONA DHAIFU
UKASHINDWA KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU KWA SABABU YAO AISEEEE WEWE SONGA MBELE
Inawezekana umepelekwa mahali kufanya huduma Ni kweli Kuna waliokutangulia...wanaimba kuliko
wewe sawa wanafundisha kuliko wewe sawa hiyo isiwe sababu ya wewe kuogopa kusimama kwa zamu
yako kwa majira ambayo Mungu amekuweka ..
WATU WENGI WAKIWEKWA MAHALI WAKIWAKUTA WENYEJI WA MJI "WAZOEFU" HUOGOPA SANA NA
KUJIKUTA WANASHINDWA KUFANIKIWA KWA SABABU YA HOFU YA HAO WENYEJI WA MJI KAMA NI
SAA YAKO KAMA NI MAJIRA YAKO NA MUNGU NDIYE ALIYEKUWEKA HUTAKIWI KUOGOPA SIMAMA NA
MUNGU ALIYEKUWEKA
WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KWA SABABU YA HOFU ..KUWAOGOPA
WALIOWATANGULIA...UNARUHUSIWA KUWAHESHIMU WALIOKUTANGULIA LAKINI USIWAOGOPE
UKASHINDWA KUFANYA KUSUDI LA MUNGU ...UNAWEZA KUONDOLEWA WEWE WAKAENDELEA
KUBAKI WAO WAKATI WEWE NDIYE MUNGU AMEKUSUDIA KWA MAJIRA HAYA UKAE KWENYE HIYO
NAFASI
Kwenye nchi ya kaanani Ni kweli kulikuwa na MAJITU sawa..kulikuwa na wenyeji wenye nguvu Sana
sawa lakini hii haikuwa sababu ya Israel kuogopa kwenda ndiyo maana Yoshua na Kalebu wanawambia
Wana wa Israel MSIWAOGOPE WENYEJI WA MJI MUNGU AMETUPA NCHI HII IWE YETU MAANA
BWANA AMETUFURAHIA..
Do you want to log in to or join Facebook?
Ugomvi wa Mungu na wenyeji wa mji haukuhusu..wewe kaaa kwenye hiyo nafasi ..usiogope vitisho vyao
KAMA MUNGU AMEKUFURAHIA NA AMEKUWEKAJoin WEWE HAPO BASI UJUE KUWA UVULI WA BWANA
UMEONDOLEWA KWAO UPO JUU YAKO SASA NI ZAMU YAKO KUMILIKI NA KUTAWALA...
or
Kinachotuponza wengi NI kuwaogopa wenyeji wa mji Au kuwaonea huruma watajisikiaje Mimi nikaa
Log Inwa mji huishia kuwa miba....kuwa misumari wanaishia
kwenye nafasi yao na matokeo yake wenyeji
kutuumiza kumbe saa hii NI zamu yetu kwahiyo tunayo MAMLAKA hatutakiwi kuwaogopa na kama ikibidi
kuwatoa tutawatoa tu watupishe maana NI saa Mungu ametaka siyo sisi tumetaka Ni majira yameamua
...
Hesabu 33:55 Lakini kama hamtaki kuwafukuza wenyeji wa nchi watoke mbele yenu; ndipo hao ambao
mtakaowasaza watakuwa kama sindano machoni mwenu, na kama miiba ubavuni mwenu, nao
watawasumbua katika hiyo nchi ambayo mwakaa.
Ukisoma hiyo utagundua kuwa kumbe kuna madhara ya kuwaacha wenyeji wa mji kukaa nao na
kuwaonea huruma wanaweza kuja kukugeuka baadaye ..kwahiyo kama saa yao ya kuondolewa imefika
USIWAOGOPE ...
USIWAOGOPE ..UVULI WA BWANA UMEONDOLEWA JUU YAO.....
Nawatakia jioni njema
Na Mwl Gordian Newton

Like Share

You might also like