Professional Documents
Culture Documents
MKATABA
MKATABA
MKATABA
Na
Ndugu FARAJI HAMIS WAPANDE wa S.L.P ………...., Dar Es Salaam (ambaye ni MNUNUZI kwa
upande mwingine).
KWA KUWA Muuzaji ndiye mmiliki pekee wa ardhi iliyotajwa hapo juu
NA KWA KUWA Muuzaji huyu kwa ridhaa yake mwenyewe akiwa na akili timamu bila
kulazimishwa na mtu yeyote yuko tayari kumuuzia mnunuzi ardhi husika;
NA KWA KUWA Mnunuzi yupo tayari kuinunua ardhi husika kutoka kwa Muuzaji chini ya
masharti na makubaliano yaliyoko kwenye mkataba huu;
1. Muuzaji atauza na Mununuzi atanunua ardhi iliyotajwa hapo juu kwa bei jumla ya Tshs
6,500,000/= (Milioni sita na laki tano) tu ikiwa ndio bei ya mauzo.
2. Fedha hizo Tshs. 6,500,000/= zimelipwa zote.
3. Mipaka yake ni kama ifuatavyo;
Kaskazini…………………………………………………… Kusini …………….………………………………………….
Magharibi…………………………………………………. Mashariki ………………………………………………….
4. Baada ya kukamilisha malipo hayo ya Tshs. 6,500,000/= Muuzaji amemkabidhi Mnunuzi
eneo husika.
5. Makubaliano haya yana nguvu zote za kisheria na upande wowote utakao kiuka
utawajibika kisheria
6. Muuzaji amethibitisha kuwa kiwanja hicho ni mali yake binafsi na hakuna madai yoyote.
7. Muuzaji hajafanya jambo lolote lenye kuathiri uhamishaji wa miliki kwa Mnunuzi.
MASHAHIDI WA MUUZAJI
JINA SAINI TAREHE
1. ………………………………………………… …………………………… …………..………………
2. ………………………………………………… …………………………… …………..………………
MASHAHIDI WA MNUNUZI
JINA SAINI TAREHE
1. ………………………………………………… …………………………… …………..………………
2. ………………………………………………… …………………………… …………..………………
MKATABA HUU umeshuhudiwa nami hivi leo tarehe ………………………… kwa pande zote mbili
kusaini makubaliano haya mbele yangu.
Jina:
Saini:
Cheo: WAKILI
Tarehe: