Professional Documents
Culture Documents
Katiba Ya Zanzibar
Katiba Ya Zanzibar
Tab Number: 46
Toleo la 1995
Toleo la 1995
Zanzihar na Watu
Sehemu ya Kwanza
.Zanzibar
I. ~-AUlzihaf. .' .
2. Enco la Zanzihar na mipaka ya Mikml. Wilaya n.k.
~. Muhuri wa Sl:likali.
4. Kaliha ya 7..anzihar.
5. Zanzihar kufuata mfumo wa vymna vingi
Sehemu ya Pili
Watu
6. Mzanzihari.
7. lIaki ya kupiga kura.
SURA Y A PILI
Malengu na Maamuru muhimu ya Sera ya Serikali ya
Mapindu1.i ya Zanzihar:
SURA YA TATU
Kinga ya "aki 1.3 Lazimo oa Uhuru wa Mtu ninar.~i~,
SURA VA NNE
S~ .. ikali
S~h~mu ya Kwanza
Rais
26. onsi ya Rais na sira za kuehaguliwa kuwa Rais.
27. Udwguzi wa Rais.
28. Muua wa kuende1ea na lIrais.
29. Kuongczwa kwa kipinui ella miaka 5.
30. Kutofaa kuwa R,ris.
31. Kiapo eha Rills.
32. Kuachishwa lIrais kwa ugonjwa.
33. Nafa~i katika kiti eha Urais.
34. Mpango wa uehaguzi iwapo kiti eha Rais kiwazi.
35. Mshahara na malipo menginc ya Rais.
36. Rais hal~L~ht:tkiwa akiwa k:lzini.
37. I3araza la Wawakilishi lawcza kumshlaki Rais
38. Hadhi ya Rais alicpita.
S~h~mu ya Pili
/
Waziri Kinngozi .
St!ht!mu ya Nnt!
Madaraka ya ~rikali:
SlJKA YA TA1'OO
Hanna la \Vawakili . . hi
S~hcmu ya K wanZ8.
l\luundo wa Hanl1.a la \\'awakilishi:
S~h~mu pi Tatu
Kuiti.... ha Ila Kuvunja naruza la \Vawakilishi:
SURA YASITA
Sheria
Sehemu ya Kwanza
Mahkama Kuu
Sehemu ya Pili
Mahkama }'a Rufaa
Sehemu ya Tatu
Mahkama NyenAinezu
Sehemu ya Nne
Ularatihu wa Kupeleka "ati na Kutekeleza 1\1aagizo
Yaliyomo Katika Hati Zilizotolewa na Mahkama:
Sehemu ya Tanu
Tume ya Kuajiri ya Mahkama
Sehemu ya Kwanza
Fedha
Masharti ya Fedha Yahusuyo Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzihar:
Sehemu ya Pili
Masharti ya Fedha Yahusuyo Mambo ya Muungano:
SURA YANANE
Tume ya Utumishi Serikalini:
SURA YA TIS A
Turne ya Ucha~uzi
SURA YA KUMI
Idara Maalurn
121. Idara Maalum.
122. Tume ya uajiri ya hlaca maalum.
123. lIwezo wa Rais katika Id:u-a M,.i1l11n.
Sehemu ya l'iIi
Serikali za Mitaa
128. Serikali za mitaa.
viii
129. Kujiuzulu.
130. Uteuzi mpya na kuarifiwa kwa kuachishwa kazi.
131. Maelezo kuhusu utaratihu wa kukahidhrmadaraka ya
kazi katika Utumishi wa Serikali.
132. Sheria za MUllngano.
133. Masharti ya kutoa kodi.
134. Ufnfanuzi.
135 . .Tina la Katiha na tarche ya kllanza klltumika.
KATIRA YA ZANZIRAR
Utangulizi
Sthemu ya Kwanza
Zanzihar.
2.-( I) Ellen In Zanzibar ni cneo lote la Yisiwa vya Unguja na Pemba Eneo I.
na visiwa viuogo viuogo vilivyovizunguka na hah.:'lfi yake amhayo kahla Zanzibar DB
va
.
MUIIIl!.!an{)
~
ikiilwa .lamhuri )'a Walu wa I.. anzihar. Mipaka
Mikoa
ya
Wilaya D.k.
(2) Kwa ajili ya ulckclezaji bora wa shughuli za Serikali. Rills wa
lamhuri ya Muungano akishauriana na Rais aweza kuigawa Zanzibar
kalika Mikoa, Wilaya na macnco mcngincyo kwa kufuaL-'l utaratibu
uliowckwa.
St:ht:mu ya l'i1i
Watu
SURA VA PILI
(5) Katika kutekeleza sia'WI biyo. tuhakiki.<ha kwamba kila raia Mllengo
atakuwa Ilahaki sawa. majukumu nafursasawa kwa mujihu washeria. utu ya jamii.
wa mlu u~lhesbimiwa oa besbima ya mIU itaenziwa na kucndelezwa na
kwamba uhwu. IaJlOpendelea na uaminifu wa Mahkama pamoja na
kupata fursa twa urabisi ya kwenda kalika Mahkama hizo kUl3patikana
no kuhesbimiwa.
(6) ltalenga sIasa yake katika kubakikisha kwamba zipo hudwna za MaJeago ya
kUlosha zakiafyakwa wahl wote. zipofursasawana za kUloshaza kielimu kiafya,
katika madaraka yote na kwamba utamadun; wa Zanzibar unalindwa. kielimu na
utanllldurU.
unairnarisbwa na UJIIIeIllleJezwa.
SVRA YATATV
13.-( I) Kila mtu anayo haki ya kuwa na hifadhi ya maisha yake. Haki ya
kuwa hai.
(2) KiL1 mtu anayo haki ya kuishi. na kupata kutoka kwa jamii
hifadhi ya maisha yake kwa mujihu wa sheria.
14.-( I) Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu hurn. Halei ya
uhuru wa
mtu biDafsi.
(2) K wa madhumulli ya kuhiti,dhi haki ya mtu kuwa huru na
kuishi kwa uhurn, itakuwa ni marufuku kwa mlu ye yote kukamatwa.
kufullgwa. kufungiwa. kuwckwa kizuizini. kuhmnishwa kwa nguvu au
kunyang' anywa uhuru wake vinrincvyo isipokuwa IU:-
15.-( I) Kila mtu ana,~1hili kuhe,himiwa na kUpala hifadhi kwa nafsi Haiti ya
yake: maisha yake hinafsi na ya nyumhani kwake, na pia heshima na faraglla ya
mlu DB
hifadhi ya ma",kani Yake na mawasilimu) yake. usaJama
wake.
(2) Kwa madhumuni ya kuhiradhi haki ya mtu kwa mujibu wa
kifungu hiki. Mamlaka ya Nehi itaweka utaratibu wa sheria kuhusu hali.
namna ya kiasi ambaeho haki yamlu na faraghana usalama wa nafsi yake.
mali yake na maskani yake. yaweza kuingiliwa bila ya kuathiri kifungu
hiki eha Katiba hii.
Uhwuwa 18.-(1) Bila ya kuathiri shetia za nchi. kila mtu yuleo huru kuwa na
maooi. maoni yoyote na kutoa njc mawazo yake, na kutafuta kupokea na kutoa
babari na dhana kupitia chomho cho chote, hila ya kujali mipaka ya nchi,
na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kUloingiliwa kati
(2) Kila raia anayo hald ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu
matukio mbali mbali nchini na duniani kme arnbayo ni muhitnu kwa
maisba na sbughuli za wananchi. na pia juu ya masuala muhitnu kwa
jamii.
20.-( I) Isipokuwa kwa hiari yakc, hakulla mlu alrtkayczuiwa kufurahia Kinga kwa
uhuru wa
uhuru wake wa kuchanganyika au kujiunga, yaani haki yake ya
kujikwanya
kuchanganyika na kujihusisha atakavyo na watu wenginc na hasa kuunda na kujiunga.
au kuwa mwanacluuna wa vyama vya wafcinyakazi au vymna vyengine
kwa faida yakc na mnhClvy() vimekuhaliwa kishcria.
(4) Kila mtll. hila ya kuwal'o uhaguzi wa aina yo YOle. anayo haki
ya kupata uj ira unaolingana na kazi yake na watu wote wafanyao kazi
kulingana na uwezo wan watapata malipo kulingana na kiasi ya sifa ia
kazi wcUlay()if,mya.
Wajlhu wa 22.-(1) Kazi pekee ndiyo huzaa utajiri wa mali katika jamii. ndilo
Im"hiriki chimhuko la ustawi wa wananchi na kipimocha utll, kila mtll anao wajibu
kaZJlli.
wa :-
Wa,phu wa 23.-( I) Kila mlu 'lila wajibu wa kufuatana kutii Katibahii na sheriaza
\Wl II !lheria Zanzihar. kuchukua halua 1.3 kisheria kama ljlivyowekwa, kuhakikisha
1-a neh.i, hifmlhi ya Kalina na sheria Z3 nehi.
!.:ulmd .. mall
ya lJIIUlIa nil
ullfll.i wa (2) Kita mill ana wajihu wa kulincJa maliasili ya Zanzibar, mali
T.• lf:l, ya Nchi na mali yute inayomilikiwa kw~ pamoja oa wananchi. na pia
kuihcshimll Illali ya mtu mwingioe.
(3) MIU ye yote anayedai kuwa sharti lolote katika sehemu bit ya
Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au wajibu wake
limevunjwa, linavujwa au inae1ekea lilllvunjwa na mlu yeyote zanzibar,
anaweza kufungua shauri katika Mahkama Kuu.
(5) Mhali lIa rnasharti ya kifungu eha 24(2) ella Kaliba hii sheria
yo yote iliyolullgwa na llarazil la Wawakilishi hakilakuwa hatili kwa
sababu tu kWillnha inawczcsha hatua kuchukuliwa wakati wa hali ya
hawri, au wakati wa hali ya kawaida kwa watu wanoaminika kuwa
wanafanya vitcndo vin<lvyohal:lrisha au kudhuru usaJama wa Zanzibar
amhavyo vinakiukflll1asharti ya kifungu eha 13 ntl J4 eha Katiba hii:
Haki za (amnn 25. IIivyokuwa kila IIllu wa I'.anziharanawajihika kupala haki zake za
na uhuru wa
hinaf~l.
lazima na uhuru wa kihinafsi hila ya kujaJi kahila, pahaJi aliJX)toka au
mask,mi au mahusiano mcnginc yo yote yaJc, mtazmno wa kisiasa
alionan. rangi. dini :I11,jinsLlakini mrmJi iwe uhuru wake unaheshimu haki
na uhum wa wcnginc lIa iwc kwa laid... ya jamii, hasi arakuwa na hald
kupata kwa kila kimoja kwa V)'OIC vya hivi vifuawvyo;-
SURA YA NNE
Serikali
Sehemu ya Kwanla
Rai....
26.-0) Kut.:'lkuwa na Rais wa i'. anzihar amhayc lH..liyc alakackuwa Ofisi ya Rais
Kiongozi wa Zrulzihar na Mwcnyckiti wa E3araza la Mapinduzi. na sifa za
kuchaguli wa
kuwa Rais.
(2) Mill yeyote ,Ulawcza kufaa kuchaguliwa kuwa Rais ikiwa:.
Muda wa 28.-(1) Kufuatana na Katiba hii mtu ataendelea kuwa Rais mpaka:-
kuendelea na
Urais.
(a) Rais anayefuata ale kiapo eha kuwa Rais;
(b) afariki wakati akiwa Rais:
(e) hapo atapojiuzulu na kukuhalika:
(d) iwapo amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa TanZc:1.nia;
(el pale Baraza la Wawakilishi linapovunjwa; au
Kuongezwa 29. Ikiwa Tanzania iroo katika vil<1 mnharxl Zanzibar pia inahusika oa
kwa kipindi ikiwa Rais anaona kuwa ni muhimu kuzuia uchaguzi. Baraza la
eha miaka~.
Wawakilishi, lin.aweza kwa kupitisha azimio, kuzidisha muda wa miaka
mitano uliotajwa kwenye kijifungu (2) eha kifungu eha 28 katika kipindi
hadi kipindi lakini hakuta kuwa oa kipinoi kitakachozidi miezi sita
mfululizo.
15
30.-(1) Mlu halofaa kuehaguliwa kuwa Rais ikiwa:- KutoCaa
tuwa Rais.
(a) amefanya kilendo ehochole; au hitilafu yoyole ambapo
kama angekuwa ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
kungemfanya asite kuwa Mjumbe wa Baraza hilo;
(2) Kalika muda wake wi! Urais, Rais halashika madaraka yo yote
mengine yenye mapalo isipokuwa yale ya Urais.
31.-( I) MIU anayechukujl madaraka ya Urais, kabla ya kuanza wadbifa Kiopo dill
huo, atakula kiapo eha uaminifu nakiapo eha kazi kama kitavyowekwa na Rm.
Baraza la Wawakilishi lakini kwa hali yoyote itabidi ashike madaraka
hayo kabla ya kupita siku saba baada ya kuehaguliwa.
32.-( I) Suala 10 10le la kwamba Rais au mlu ye YOle anayefanya lrnzi ~w.
au kutakakufanya kazi za Rais, hawezi kwa sababu ya maradhi yakimwiJi Urail kwa
USOOjWL
au kiakili, imamuliwa kwa mujibu wa kifungu hiki.
(2) Iwapo suala ni kwamba Rais hawezi kufanya kazi zake kwa
maradbi ya kimwili au kiakiJi na ikiwa Jaji Mkuu ameombwa na Baraza
la Mapinduzi, kushughulikia suala hilo, hapo:-
Safa.q kalJka 33.-( I) Iwapo kili eha I Jmis na Mwenyekili wa B:mll.a la Mapinduzi
1..11 •• h.1 I""u"
kiwazi:-
(:::!) I .i I( Il\l:ap() j:lIllh() 1I,1i< HI: Iiii I( )laj w: I kat ik: I Ka liha na k ul:r/.i III u Sheri:!
IIl'ha~IIZi wa Rais kU!:lIlyika. kila chama rha siasa kinadlOpt:nlia kushiriki :\alll.9)0.
kalika lIl'ha~lI/.i wa R,lis kil:tW<lSilisha kwa ·rllmc.: ya llchaguzi ya
Z:lIvihar. kwa Iflujihu \\'a Shc.:ria. jina la lIl\vantlch:una wake mlJH~ia
kinayctaka asilOarnc kama mg(lIllhc3. kalika IIchagllzi wa Rais waZanzihar.
37.-(1) Bila yatujali masharti ya kifungu cha 36cha Kaliba bii, Baraza aaraza la
Wawakilsihi
laWawakilisbilinawezatupitishaazimiolakumuondoaRaismadaratani
Jaweza
eudapo iIaIolewa boja ya kumshtak.i Rais na ikapitisbwa kwa lIIujibu wa kumshtak.i
ma.sharti ya tifungu biti. his.
(8) Enuap<l Rais aweh" kushika kiti cha Rais kUlnka na mashlaka
dhiui yakc kuOlihilika, hasi.
3M. lIakuwa IIi jukuITIlI la SClikali kulinda hadhi ya IIltll yeyole Iladh.i ya
atakaewacha kili ella tJrais kwa sahahu ya kUlochagllliwa lena. muda Rai.~
Seht'nlU ya Pili
\"aziri Kiongozi
(4) Waziri Kiongozi hatoanza kazi zake mpaka ale kiapo eha
muninifu na kiapo ehenginc katika utenuaji wa kazi zakc kama
kitakavyowekwa na Baraza la Wawakilishi.
Kuwa wazi
40.-( I) Emlapo nafasi ya Waziri Kiongo7.i iwazi:-
kwa ofi~i ya
Waziri
(a) kwa sabahu ya kufariki au kujiuzulu: Kiongozi.
(h) ikiwa Rais mneamuru hivyo:
22
(c) ikiwa mshika wadhifa hun runcacha kuwa ni mjumbe wa
Daraza 101 Wawakilishi kwa sahahu nycnginc zaidi ya
kuvunjwa kwa Baraza hilo;
Hoja ya kura 41..(1) Bila ya kujali masharli ya Kaliha hii, BanlZa la Wawakilishi
ya kt.llokuwa
na illlani linaweza kupitisha azimio la kUfa ya kUlokuwa na imani na Waziri
Kiongnzi endapo itatolcwa hoja kupcnuekcza lla ikapitishwa kwa mujibu
wa mashani ya kifungu hiki.
Sehemu ya Tatu
47. Rais anaweza kwa kushawiana na Waziri Kiollgozi kuteua Naibu Naibu
Mawaziri kutoka miongoni mwa Wajumbe wa Baraza la WawakiIishi iIi Mawuiri.
kumsaidia Rais, Waziri Kiongozi na Mawaziri katika ulekeIezaji wa kazi
zao na hawatoanza kazi zao mpaka kwanza wale kiapo eha uaminifu na
kiapo ella utekelezaji wa kazi zao kruna vitavyowekwa na Baraza la
Wawakilishi.
Sehernu ya Nne
Madaraka ya Serikali
SX.-( I) Rais anawcza kUliltClI:I mill yo ),olC kama IIi Mshauri wake \\'asllaun
~ballllll iii klllllsaidia kalika lItcndaji wa kazi zakc. ~a.alulll
Baraza Ia WawakiUst,l
Sebemu ya Kwanza
Muundo wa BarBza la Wawakilishl
,\
32
(2) Kila mtu ambaye amejiandikisba katikajimbo la ucbaguzi kama
iii mpigalcura wakumchagua mjumbe, isipokuwa awe amewekwa kizuizini
kwa njia y'abalali au bafai kutokana na sheria kupiga kura katika ucbaguzi
buo kwa njia ambayo amekutikana na kosa lenye kuhusiana na ucbaguzi ,
au kwa njia ambayo imeripotiwa kuwa amepatikana na kosa hilo katika
mahkama au kujaribu kubatilisha uchaguzi, ata,tahiki kupiga kura katika
jimbo la ucbaguzi hila kwa mujibu wa sheria iliyowekwa. •
(3) Uandikishaji wa kupiga kura wa wajumbe wa kuchaguliwa na
uendesbaji wa ucbaguzi huo utaongozwa na kusim¥"iwa na Tume,ya
Ucbaguzi.
(2)MlDbawezikugombeakuwaMjumbewaBarazalaWawakilishi
ikiwa wakati huo yeye oi Mweoyekitiwa Baraza la Mapioduzi.
Sehemu ya Pili
Slu. .-i .. na Taratihu Katika Raraza la Wawakilishi
78.-(1) Nglll'u t.a kUlunga sheria kwa mambo yOle ya,iyokuwa ya ~guvu za
Muungano kalika Zallzihar yatakuwa mikononi mwa Baraza la KUlunga
.~h~rla.
Wawakilishi.
80.-(1) Kwa ma... harti ya kifungu hiki Daraz;II,1 Wawakilishi linawcza Kuhadili.~ha
kuhadilisha kifungu dHl chole kalika Kaliha hii. Kalina
(a) marcjco kUlika Kaliha hii IIi man.:jl:o kalika Kaliha kama
il.akavyorckchishwa mara kwa mara:
lIpigaji kura 83.-( I) Isipokuwa kama imeelezwa vingine katika Katiba hii suala
katika lolole au uamuzi katika Baraza la W~wakilishi litaarnuliwa kutokana na
Baraza 101
idadi kuhwa ya Wajumbe waliohudhuria kwenye kikao na kupiga kura.
Wawak.ilil'hL
Madaraka ya 84. Rai, atahu,ika kalika mamlaka ya 'hughuli zake kama Rais wa
Rai!> kali k.a Serikali ya Mapinduzi ya Zanzihar kuhulubia Baraza la Wawakilishi
Bara7.., 1;1
Wawakjlj.~lti
wakati atakoona unafaa kufanya hivyo.
Kuiti ...ll:l 119.·(1) Bila ya kualhiri kifungu hiki kiln kikao eha Baram kiiakutaua
Kibo ella
schcITIu yo Yiltc kalika Zanzihar na kitafanyika wakati w() wote afl\bapo
[LI! aZa 1;1
Wawakili~hj. R:lis ata,ulluru.
Kuitisha n<l 91.·( I) Rais wakali w()wolc anawcza kuitisha Baraz.'1la Wawakilishi
kuvunja
kuendclca na shughuli zake.
Bara7.<lla
Wawakilishi,
(2) Rais halakuwa na uwezo wakati wowote wa kulivunja Baraza
la Wawakilishi isipokuwa Ill:
SURA YASITA
Sheria
(5) Ik~wa J,!ii Wei Mahkama Kuu mllclculiwa kuwa Kaimu J~ii
Mkuu au kwa sahaou nycngine yoyotc 'ile hawczi kuf::Ulya kazi zake za
Uj~ii au ikiwa Jaji Mkuu atamshauri Rais kwamha kwa hali ilivyo
Mahkama Kuu inahitajia Jaji mwenginc. Rais akishaurhUla nn Tume ya
u~iiri yaMahkmna, anawczakumtcua mIll YCYOIC kllwa.l;~ii wa Mahkama
Kuu bila ya kujali nmri ulioclezewa kalika kifungu t)'i( I) ella Kaliha hii.
95 .. (1) Bila ya kuatlliri rnasharli ya kifungu hiki .laji wa Mahkmna Kuu Mud. wa
k\l<;hika
ataendelea kushika wadhif:a wake hatH kufikia lJlnri wa miaka sitini na madaraka ya
lano. Ujaji
"lapp k\\.1
l)(i. Jaji wa Mahk.:llna Kuu haloanl.a kal.i zakc mpaka kwanza alt
\lapllI \\..1
kiap<~dla u:uniniru lIa kiap() chcngilll'l'h() dUltl' kitHl'h()wl'kwa na Sherif
\bld'::III1,'
KUII. kwa ;~iili hiyo.
tn. ltakuwa ni marufuku kwa Jaji wa Mahkam:l KilL! (pamoja na Jaji !'anadl:llll,l
Mkuu). Mahakimu wa ngazi ZOIC. Mrajis. Kaimu Mraji~. l\:;liou Mrajis katika Vyal11a
\'ya Si;..~a
na Msaidizi Mrajis na Makadhi wotc (pmTIoja na Kadhi Mkuu ) kujiunga
11;, ('hmna chochotc ella Si,l,a isipokuwa tu kwmnoa alakuwa na haki ya
kllpiga kura iliyotajwa katika kifugu cha 7 cha Katiha hii.
Sehemu ya Pili
Sehemu ya Tatu
Mahkama Nyenginelo
Sehemu ya Nne
Sehemu ya Tano
SURA YASABA
Sehemu ya Kwanza
Fedha
Mfuko Mbm
104.-(1) KutakuwanaMfliko Mkuu wabazina yaSerikali yaMapinduzi
wa Harina na
fedha' ya Zanzibar ambao bila ya kuathiri sberia nyengine yoyote inayotumika,
nyengioe za zitawekwa fedba zote zitakazopatikana kutokana na njia mbali mbali kwa
Serikali ya ajili ya matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa:-
Mapind.w ya
Zanzibar.
(a) kulipwa Imtikamfuko wa Serikali (mbali na ule mfuko wa
Hazina) na arnbao utawekwa kwa_shugbuli maalum, au
(2) lnapolokea:-
SURA YANANE
Uteuzi na
117 .-(l)MtuhatowezakuwaMjumbewa TumeyaUtumishi Serikalini kwnaIizika
kiwa:- kwa
ujumbe'Wa
(a) IIi Waziri au IIi Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi; mjumbc.
(b) IIi Naihu Waziri; au
(e) ni Mjumhe wa Baraza la Wawakilishi
(d) ni mfanyakazi Serikalini.
zake, basi hadi hapo mlu atakacleuliwa kushika Ilj kuwa amesbaanza
kushika kazi za Mwenyekiti, au hadi hapo Mwenyekiti atapomudu
kufanyakazi zake kwa kadri ilavyokuwa, Naibu Mwenyekili, ~u ikiwakiti
eha Naibu Mwenyekiti kiwazi, au ikiwa Naibu Mwenyekiti kwa sababu
ZOZOle zile hawezi kUlckclc". kazi za Mwcnyekiti, Mjumbemwengine yo
yotc atayeteuliwa na ~lis; atashikilia madaraka ya Mwenyekiti. na Naibu
Mwenyekili au mjumbe mwcngine awendelea kushikilia madaraka hayo
bila ya kualhiri masharli ya vi.jifungu vya (2), (4) na (5), kwa kadri
iWvyokuwa, hadi hapn Mwcnyckili alapor~jea katika kazi zake hizo.
SURA VA TISA
Tume ya Uchaguzi
65
SURA YA KUMI
Idar. M.alum
lUlllc' Y;1 122. Kutakuwa na Tume ya lIajiri ya Idafa M::.t.alum ambayo uweZD
uaJlri )'01 Idara wake. nguvu zake, kazi zake na Kanuni za mwenendo wake zitakuwa
Ma.1IulIl.
kama zilavyoainishwa katika Sheria itakaYOIungwa na Baraza la
Wawnkilishi kwa ajili hiyo.
Sehemu ya Kwanza
Turno ya Mlpango
la Zanzibar.
Sehornu ya Piti
Serikali za Milaa
Illt'uzi mpya 130.-(1) (wapn mlu yc YOlc IIlwcllye dhamana ya kazi ye yOIe
u,a I.:uarifiwa iliyoanzishwa na Kaliha hii amcjiuzulll, ba"ii ikiwa anazo sifa zate
kwa
kuadUlll1vB zioazohitajika oa kwa kila hali anastahili, anaweza kutellliwa au
1-:;1/1 kuchaguliwa leila kushika madaraka ya kazi hiyokwa mujillu wamashani
ya Katiha hii.
(2) lwapo mtu ameachishwa kazi au amesimarnishwa kazi
itahidi chombo bicboau mtu buyo a1iemuachisha au a1iemsimarnishakazi
moueleze kwa maandishi kwamba amemuachisha au amemsimamisha
kazi.
(4) Kalika Katiha hii. il;1 iwarn maciezo yahitaji vinginc. kila
anap()I;ljw<I Inlu 1l1wcllye dhaln,tll,[ y:1 k;I';:i (ulani kwa kUI'lj'llnauaraka ya
kazi yakc. ifahamikc kuwa mlu allaychusika kuwa ni p:lI11oja na mlu ye
71
yOie ambaye ni Kaimu ao aJiyeteuliwa kwa njia ya halali kushikilia
dhamana ya kazi biyo.
(5) Iwapo Katiba inaloa uwezo au nguvu fu!;mi, basi uwew huo
au nguvu biro zinaweza kutekelezwa wakati wo wotc inapohitajika.