Warsha ya mafunzo ya stadi na mbinu za ufundishaji wa Ili kujiandikisha Bofya kiunga
Wawezeshaji CONSULTANCY BUREAU lugha na utamaduni wa Kiswahili kwa wageni ni warsha ambayo imeandaliwa kwa lengo la kukuza na kujenga i. hiki Wahadhiri wabobevu na wazoefu katika uwezo wa maarifa, ujuzi, na stadi za nadharia na mbinu za ufundishaji wa Kiswahili na utamaduni kwa wageni kitaifa na kimataifa. ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kwa wageni. Kwa ii. https://goo.gl/forms/24kQby Wataalamu wa TEHAMA na ufundishaji lugha kwa kutambua kwamba soko na fursa za ajira ya walimu wa njia ya elimu masafa. Kiswahili zimeendelea kupanuka si tu kwenye mabara ya Mpz3imEj3L2 Amerika, Ulaya, na Asia, bali kwa sasa Afrika, hii ni fursa kwa walimu wa Kiswahili na wasio wa Kiswahili wanaotaka kujiimarisha katika eneo hili la ufundishaji wa lugha kwa Muda wa Kozi: wageni. Kozi hii inalenga kuwasaidia watu, hususani vijana A. Wiki 2: Tar. 4-1 8 April 2020 (Kwa wanaotaka kujiajiri au kuajiriwa kupitia ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni. Kozi hii pia inalenga kuongeza ajira na walimu wa Kiswahili ngazi zote). kukuza uchumi wa vijana kupitia lugha, utamaduni na utalii. B. Miezi 3: Tar. 4 April - 4 July 2020 ( Matokeo ya Mafunzo mtu yeyote anayetaka kupata Baada ya mafunzo haya, mshiriki ataweza: stadi na maarifa) Kuwa mwalimu bora mwenye weledi, maarifa, na stadi za kufundisha Kiswahili na utamaduni kwa wageni. Vituo: Kutumia nadharia na mbinu za kisasa katika kufundisha WARSHA YA STADI NA MBINU ZA lugha ya pili kwa wageni. Dar es Salaam HQ (Kwa sasa) KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI Kutumia mbinu za ufundishaji wa lugha kwa kutumia Mbeya, Arusha, Mtwara, Lindi NA UTAMADUNI KWA WAGENI teknlojia ya ufundishaji na ujifunzaji kwa elimu masafa Kujiajiri kupitia ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kwa Mwanza, Geita, Dodoma na Iringa wageni (Utaratibu utapangwa) Kutumia lugha na utamaduni wa Kiswahili kama bidhaa ya utalii LUGHA YAKO, MTAJI WAKO: JIAJIRI Ada ya ushiriki SASA KATIKA TANZANIA YA Walengwa Kundi A: 100,000TSH Wataalamu wa Kiswahili VIWANDA Wahitimu wa Kiswahili katika ngazi zote za elimu Kundi B: 200,000 TSH kwa mwezi yaani: astashahada, stashahada, na shahada Malipo yote yafanyike kupitia: Mawasiliano Wanafunzi wanaosoma nje ya nchi katika ngazi zote za elimu Benki: National Bank of Commerce Dkt. Hadija Jilala (PhD) Wanafunzi wa vyuo vikuu katika nyuga Jina la Akaunti: Open University Baruapepe: Hadija.Jilala@out.ac.tz au mbalimbali Consultancy Bureau Walimu wanaofundisha katika shule za msingi dijaah@yahoo.com sekondari, na vyuo TSH: AC No: 011103033713 Simu: Learning outcome: +255712569555 Mtu yeyote anayetaka kutumia fursa ya kujiajiri USD: AC No: 011105015143 kupitia lugha ya Kiswahili Dkt. Emmanuel Mallya (PhD) “Cheti Kitatolewa” Barua pepe: Emmanuel.mallya@out.ac.tz Simu: 0784 447697