Professional Documents
Culture Documents
KISWAHILI STD 8 Term II Kiswahili Kwa Darasa
KISWAHILI STD 8 Term II Kiswahili Kwa Darasa
Nyenzo
Mchoro
4 SARUFI -kunyambua sentensi -kujadili nyenzo Kiswahili kwa
Kauli ya katika jinsi ya kutendesha -kutaja kauli wazikumbukazo darasa 8 uk.
kutendesha -kusoma maelezo vitabuni 105,109-110
-kufanya zoezi
Nyenzo
Michoro/ jedwali
5 KUANDIKA Kuandika kwa taheyia -kujadili nyenzo Kiswahili kwa
Imla sahihi -kusoma maelezo vitabuni darasa 8 uk. 105
-kufanya zoezi
Nyenzo
chati
2 1 KUSIKILIZA Kueleza jinsi ya -kujadili vifaa vya usafi Kiswahili kwa
NA kuimarisha usafi wake na -kuimba wimbo darasa 8 uk. 106
KUONGEA kujikwatua -kujadili usafi
-usafi Nyenzo
Mswaki, sabuni,
maji
2 KUSOMA Kusoma na kujibu -kujadili mchoro ulio vitabuni Kiswahili kwa
-moto maswali ya ufahamu -kusoma ufahamu darasa 8 uk. 107-
-kueleza maana ya maneno 109
mapya
-kufanya zoezi Nyenzo
Picha vitabuni
3 KUANDIKA Kuandika insha ya -kujadili maana ya mjadala Kiswahili kwa
-insha ya mjadala -jutoa vidokezi vya insha ya darasa 8 uk. 110
mjadala mjadala
Kuandika insha
kusahihisha
4 KUSIKILIZA Kutega na kutegua -kutega vitendawili vichache Kiswahili kwa
NA vitendawili wavijuavyo darasa 8 uk. 111
KUONGEA -kujadili nyenzo
-Vitendawili -kutegua vitendawili vilivyo Nyenzo
vitabuni Mchoro
-kushindana katika makundi
5 KUSOMA -kueleza kimhtasari yale -kuchagua makala ya kusoma Kiswahili kwa
-maktaba aliyoyasoma -kusoma makala kwa kuzingatia darasa 8 uk. 112
desturi nzuri
-kueleza kimhtasari Nyenzo
waliyoyasoma Makala
mbalimbali
3 1 SARUFI Kufikia mwisho wa funzo -kutaja udogo na ukubwa wa Kiswahili kwa
-wastani, mwanafunzi aweze:- maneno ya wastani darasa 8 uk. 112-
udogo na -kuandika nomino kwa -kusoma maneno katika chati 113
ukubwa wa wastani, udogo na ukubwa -Kutunga sentensi kati hali zote
nomino -kufanya zoezi Nyenzo
Chati
2 KUANDIKA Kutaja mimea na matunda -kutaja majina ya mimea na Kiswahili kwa
-matunda na mbalimbali matunda darasa 8 uk. 113-
mimea -kujadili nyenzo 114
-kusoma kifungu vitabuni
-kufanya zoezi Nyenzo
Picha vitabuni
3 KUSOMA Kufurahia kusoma shairi -kueleza shairi Kiswahili kwa
Dawa hizi na kujibu maswali -kulisoma shairi darasa 8 uk. 116-
dawa gani -kupitia ujumbe katika kila 118
ubeti
-kutaja maudhui ya mshairi Nyenzo
-kufanya zoezi Shairi
4 SARUFI Kuandika usemi katika -kueleza maelezo kuhusu usemi Kiswahili kwa
-usemi halisi usemi halisi na usemi halisi na usemi wa taarifa darasa 8 uk. 118-
na usemi wa taarifa -kupitia mfano vitabuni 119
taarifa -kueleza zaidi tofauti kati ya 141-143
usemi halisi na usemi taarifa
-kufanya zoezi Nyenzo
Chati
5 KUANDIKA Kusoma na kuchambua -kueleza shairi ni nini Kiswahili kwa
Kanuni za mashairi -kueleza kanuni mbalimbali za darasa 8 uk. 120-
ushairi ushairi 121
Kusoma ngojera
-kufanya zoezi
4 1 KUANDIKA -kuyajibu maswali kwa -kuandika mazoezi Kiswahili kwa
-mazoezi ya ustadi -kurekebisha makosa darasa 8 uk. 122-
marudio yaliyojitokeza 129