Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

JE WEWE NI PHOTOGRAPHY MPYA?

(BEGINER
PHOTOGRAPHY)
Imeandaliwa na Arony Semwenda (semwendasemwenda@gmail.com) whatsapp: 0657 163 720 twitter:semwenda23

Photography ni nini ? huu ni ujuzi wa kuchuchukua na kuhalili picha.zipo aina nyingi za


photography lakini kwa leo sihitaji kuziongelea kwani ninahitaji kufikia lenngo la kutoa msaada
zaidi kuliko kukurudisha kwenye Geography form 4 O-level

Kutokana na tafiti zilizofanyika mwaka 2021 zilibainisha baadhi za ujuzi wenye nguvu
(powerfull skills/best paid skills) zilikuwa skills kuu 5 ikiwemo coding na photography mana
yake nikuwa photography ni ujuzi wenye nguvu na ukiwa serias utaweza kubadilisha maisha
yako

Baada ya huu utangulizi sasa tuone ni namna gani kwa wewe unayeanza kazi hii ya photography
unavyoweza kushindana na soko hili ……..

Ili uweze kuwa bora ni lazima ujikite na ujue katika mambo yafuatayo:

1.ujuzi wa kupiga picha (ujuzi huu unakuhitaji kuzua zaidi namna ya kuseti na kutumia camera
yako
2.lighting ujuzi wa kuseti mwanga
3.retouching (huu naweza kuuita ujuzi mkuu hasa kwenye picha yako)

Ujumbe amba mara ya mwisho niliupata kwenye inbox yangu ya whatsappni huu
‘kaka habari mimi kila ikijaribu kufanya retourching napata matokeo nisiyo yafurahia,muda
mwingine nachukua hata raw za watu lakini bado sifurahii matokeo…………

Kaka mimi kila nikiretourch picha inakuwa haina detail zozote zile hali hii inanikera mno na
sijui nfanyeje…………….

Hawa ni sampuli tu ya mamia wenye shida kama hii ila wameamua kutoa woga ili kusaidika
wengine ………

Hizi ni baadhi ya jumbe ambazo ndizo zilizizo nisikuma mimi kuweza kuandaa hii koz kwenye
upande mmoja tu wa retourching kwani najua huu ndio upande muhimu unawashinda watu
wengi mno kufanya picha zao kushindwa kufikia kwenye ubora waliokusudia

Sasa nimekundalia kozi ya video kwa Kiswahili rahisi ambayo itazungumzia mamb yafuatayo:
 Frequence separation
 Lassor tool retourching
 Namna ya kutumia RP.MUA,BR
 Kuijuia na kuweza kufanya dodge and Burn
 Namna ya kuweza kutumia capture one katika kufanya skin tone
 Jinsi ya kutumia Lut na preset
Faida ya kupata koz hii ni ipi
i. Kozi hii inatolewa kwa video ambazo zipo kwa lugha ya Kiswahili tu tena Kiswahili
chepesi si unajua kazi zetu hizi zinamaterial ya lugha ya wazungu.
ii. Kuna tool zote muhimu zinazotumika katika retoching
iii. Kuna RAW za kuweza kujifunzia
iv. Kozi hii pia inaonesha makosa makubwa ambayo hufanyika kipindi cha kuretourch
v. Setting muhimu zinazotakiwa kufanywa kwenye brush
vi. Lut na present muhuimu zinazotumika hapa nafikiri ushawahi kuona picha ukatamani
Rangi yake au unajisemea kuwa rangi hii nimeipenda zote zipo (orange & teal,red lut
cinemantic colour,wedding colour)
vii. Action muhimu kama za frequence seperation
viii. Shortcut zinazotumika
ix. Kila mwisho wa video kuna maswali muhimu utakayoulizwa
x. Utaongeza uwezo wako kutoka kuwa beginner had kuwa level ya juu kama
utazingatia kila hatua itakayoelekezwa na kufanya kwa vitendo si unajua vitemdo
hufanya mtu kuwa mkamilifu……..

Natumaini baada ya kupata kozi hiyo basi ishu ya kuretourch kwako itakuwa hadithi , kozi
hiyo ina ukubwa wa GB 1 pamoja na tool zake muhimu

Kozi hii inatolewa kwa kuweza kuchangia bundle tu hivyo kama utahitaji basi utafata
mpango huo

You might also like