Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

MRADI WA MILANGO YA MBAO

TECHNIQUES (OBSERVATION AND INTERVIEW)

Swali

Mbao gani zinatumika kutengeneza milango?

Jibu

1. Mkongo
2. Mkongo-Rose
3. Mninga

Swali

Mbao zinapatikana wapi?

Jibu

 Kutokana na baadhi ya maelezo kutoka kwa mdau/mjasiriamali wa


Tegeta_Kibo; Mbao zake anatoa nje ya Tanzania, mfano: Congo

Swali

Ili mlango utimie unahitaji vitu vingapi?

Jibu

1. Top
a. Full: Front and Back
b. One side: Full
2. Frame
3. Kitasa
4. Bawaba
5. Screws

Swali

Ni gharama kiasi gani kukamilika kwa mlango?

Jibu

1. Frame
a. Inch 5: 200,000/=Tshs to 250,000/=Tshs
b. Inch 8: 320,000/=Tshs to 370,000/=Tshs
c. Inch 10: 400,000/Tshs to 450,000/=Tshs

1
2. Top
a. Full (Front & Back): 570,000/=Tshs to 600,000/=Tshs
b. One side (Full): 420,000/=Tshs to 450,000/=Tshs

Swali

Ni vitasa vya aina gani vina uimara?

Jibu

 Kampuni ya Union inatengeneza na kuuza vitasa imara

Swali

Je! Ni sababu zipi zinapelekea bei ya milango kutofautiana?

Jibu

1. Ubunifu (Design & Decoration)


2. Mbao iliyotumika muda mrefu
3. Top
a. Full (Front & Back)
b. One side (Full)
4. Kitasa

MENGINEYO

 Mbao amabzo zinahitaji kibali kutoka Serikalini


1. Mkongo
2. Mkongo-Rose
3. Mninga
 Kunakuwa na punguzo katika ununuaji wa milango kwa kuanzia ununuzi wa
seti za milango 20 na kuendelea, kwa gharama ya Shilingi 30,000/=
 Kwenye utengenezaji wa Frame, Mkongo ndiyo mbao imara zaidi katika
matumizi.
 Mlango uliokamilika ukiichukua ‘Top’ na ‘Frame’; unatumia mbao ngapi???!!!
 Kwa maeneo ya Tanzania, mbao aina za Mkongo, Mkongo-Rose na Mninga
zinapatikana au kulimwa wapi???!!!

You might also like