Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
Simu ya Upepo "SEKRETARIETl" Sekretarieti ya Ajira katika
Simu: 255 (026) 2963652 Utumishiwa Umma,
Tovuti: www.aiira.qo.tz Jengo la Utumishi (UDOM) na
Barua : Pepe: kati bu@aiira.qo.tz Eneo la Dkt. Asha Rose Migiro,
s. L. P. 2320,
DODOMA.

Unapojibu taja:
Kumb. Na. BC.1 3514031011N63 17 Mei, 2021

Rajabu Athumani Nyawili,


s. L. P. 177 ,

KIBAHA,
PWANI.

KUPANGTWA KITUO CHA KAZI (PLACEMENT)


Tafadhali rejea maombi yako ya kazi ya Technician ll (Mechanical)
katika Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na usaili uliofanyika
tarehe 27 Januari,2021. Ninayo furaha kukufahamisha kuwa ulifaulu usaili
ll
na umepangiwa kufanya kazi ya Technician (Mechanical) katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

2. Hivyo, upatapo barua hii unatakiwa kwenda kuripoti katika kituo chako
chakazr katika muda wa siku kumi na nne (14) kuanziatarehe ya kupokea
barua hii. Ukishindwa kufanya hivyo katika muda uliowekwa, nafasi yako
itajazwa na mwombaji mwingine ambaye alifanya usaili na kufaulu lakini
hakupangiwa kituo cha kazi kutokana na uchache wa nafasi.

3. Mwajiri wako Mkurugenzi Mtendaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili


(MNH) ataendelea na taratibu nyingine za ajira yako kwa mujibu wa Sheria
ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, ikisomwa kwa pamoja na
Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 na Taratibu za Uendeshaji
wa Utumishi wa Umma za mwaka 2003.
4. Aidha, unatakiwa kwenda na vyeti vyako halisi (Original Certificates) ili
viweze kuhakikiwa kabla hujapewa barua ya ajira iliyotajwa hapo juu.

Nakutakia kila la kheri katika utumishi wako.

Nakala: Katibu Mkuu,


Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mji wa Kiserikali Mtumba,
Mtaa wa Utumishi.
s.L.P.670,
DODOMA.

Katibu,
Tume ya Utumishi wa Umma,
6 Mtaa wa Albert Luthuli,
Ploti Namba. 10,
Ghorofa ya 3,
s. L. P.9143,
DAR ES SALAAM.

Mkurugenzi Mtendaji,
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).,
s. L. P. 65000,
DAR ES SALAAM. - (Tafadhali mpokee na
kukamilisha taratibu za Ajira
yake).

\2\1+
\-

You might also like