nasi toka mwanzo, hatuna cha kuwalipa zaidi tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu tuendeleze upendo huu milele na milele
Asanteni sana 3 APRIL, 1947 - 8 SEPTEMBER, 2022
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU Mama Mchungaji Lois Meshack Shimba
JUMATATU 12.09.2022
MUDA TUKIO MHUSIKA
02:00 - 03:00 Kuwasili kwa Kamati ya Asubuhi waombolezaji Mapokezi
03:00 - 05:15 Chakula Wote/MC
Asubuhi
05:15 - 07:00 Kuaga/Salamu za mwisho Praise team/MC
kuelekea Kanisani Watoto Yatima Mchana
07:00 - 07:30 IBADA TAKATIFU Mchungaji/MC
Mchana
07:30 - 08:00 Salamu na Wasifu wa MC/Mjukuu/
Mchana Marehemu Wahusika Warumi 14:8 08:00 - 08:45 Makaburini/Kuzika MC/Mchungaji/ Kwa maana, kama tukiishi, tuishi kwa Mchana Wote Bwana au Tukifa twafa kwa Bwana. 08:45 - 09:15 Shukrani Familia/Kanisa Basi kama tukifa au tuishi Alasiri Jirani Tu Mali ya Bwana 09:15 - 09:30 Mwisho/Kuondoka MC/Wote Alasiri #Pumzika kwa Amani#