SWA Microloans Fact Sheet Aug 2019 1

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

Farm Service Agency

MAELEZO YA
Mikopo Midogo UKWELI
Agosti 2019

Muhtasari Mchakato Uliorahisishwa wa Kutuma


Farm Service Agency (Wakala wa Huduma ya Shamba) Ombi
iliunda mpango wa mikopo midogo ili kuhudumia vyema
zaidi mahitaji ya kipekee ya kifedha ya uendeshaji wa Mchakato wa kutuma ombi la mkopo mdogo ni rahisi,
shughuli mpya, mahususi na ndogo hadi zenye ukubwa wa unahitaji hati chache ili kukamilika, kwa njia inayolingana na
kati za kilimo cha familia. kiasi kidogo cha mkopo. Mahitaji ya uzoefu wa usimamizi na
usalama wa mkopo yamebadilishwa ili kuwahusisha askari
Mikopo midogo hutoa ufikiaji rahisi zaidi wa mkopo na wastaafu, shughuli ndogo za kilimo na wakulima wanaoanza.
kutumika kama njia mbadala nzuri ya mkopo kwa
shughuli ndogo za kilimo, kama wazalishaji wa mazao • Waombaji wa mikopo midogo kwa mikopo ya uendeshaji
maalum na waendeshaji wa kilimo kinachofadhiliwa na watahitaji kuwa na uzoefu fulani wa kilimo; hata hivyo,
jamii (CSA) Mashamba haya madogo, ikiwa ni pamoja na FSA itazingatia uzoefu wa biashara ndogo wa mwombaji,
shughuli zisizo za kawaida za kilimo, mara nyingi pamoja na uzoefu wowote wa mafunzo ya kiufundi,
hukabiliana na machaguo machache ya ufadhili. kama njia ya kukidhi mahitaji ya usimamizi wa shamba.
Hili litawasaidia waombaji ambao wana ujuzi mdogo wa
kilimo kwa kuwapatia fursa ya kupata uzoefu wa
Aina za Mikopo Midogo usimamizi wa kilimo huku wakishirikiana na mshauri
Aina mbili za mikopo midogo zinapatikana: Mikopo ya wakati wa mzunguko wa kwanza wa uzalishaji na mauzo.
Uendeshaji wa Mashamba na Mikopo ya Umiliki wa • Waombaji wa mikopo midogo kwa mikopo ya umiliki
Mashamba. Mikopo midogo hutolewa kwa mwombaji moja wanahitaji kuwa na uzoefu wa kilimo wa miaka mitatu
kwa moja kutoka kwa FSA. kati ya 10 iliyopita kabla ya tarehe ya kutuma ombi.
Mmoja kati ya miaka hiyo unaweza kubadilishwa na
• Mikopo midogo ya uendeshaji inaweza kutumika kwa uzoefu wowote kati ya ufuatao:
gharama zote za uendeshaji zilizoidhinishwa na Mpango
wa Mkopo wa Uendeshaji wa FSA (OL), ikijumuisha, - Elimu ya baada ya sekondari, ambayo ni angalau
lakini sio tu: gharama za mwanzo za kuanzisha; gharama saa 16 za muhula katika biashara ya kilimo, kilimo
za kila mwaka kama vile mbegu, mbolea, huduma, kodi cha bustani, sayansi ya wanyama, agronomia, au
za ardhi; gharama za uuzaji na usambazaji; gharama za nyanja zingine zinazohusiana na kilimo
kujikimu za familia; ununuzi wa mifugo, vifaa na nyenzo
nyingine muhimu kwa shughuli za kilimo; uboreshaji
mdogo wa shamba kama vile visima na vipozaji; nyumba
za kuhifadhi mazao ili kurefusha msimu wa kupanda,
zana muhimu; umwagiliaji wa maji; na magari ya
kuwasilisha bidhaa.
• Mikopo midogo ya umiliki inaweza kutumika kwa
gharama zote zilizoidhinishwa na Mpango wa Mkopo wa
Umiliki wa Shamba wa FSA (FO), kama vile kununua
shamba au ardhi ya kilimo, kupanua shamba lililopo,
kujenga majengo mapya ya shambani, kuboresha
majengo ya shambani yaliyopo, kulipa gharama za
kufunga, na kutekeleza mbinu za kuhifadhi na kulinda
udongo na maji.

1
MIKOPO MIDOGO - AGOSTI 2019

- Usimamizi muhimu wa biashara, ambao ni angalau Viwango na Muda


mwaka mmoja wa uzoefu wa usimamizi katika
nyanja isiyohusiana Waombaji wanaweza kutuma maombi ya mikopo
na kilimo ambapo majukumu ya kila siku ya midogo ya jumla ya juu zaidi ya $100,000: Hadi
mwombaji yalijumuisha uzoefu wa moja kwa moja $50,000 kwa mkopo wa umiliki wa shamba na hadi
wa usimamizi, kama vile maamuzi kuhusu $50,000 kwa mkopo wa uendeshaji.
wafanyakazi, malipo na kupanga orodha; hata
hivyo, sio mtu ambaye ni meneja kwa cheo tu Kwa mikopo midogo ya uendeshaji, waombaji
- Uongozi wa kijeshi au usimamizi yaani, kwa wanaostahiki wanaweza kupata hadi $50,000. Muda
kawaida, afisa yeyote au E5 au zaidi atakuwa wa kulipa unaweza kutofautiana na hautazidi miaka
amekamilisha kozi ya uongozi wa kijeshi saba. Mikopo ya uendeshaji ya kila mwaka hulipwa
inayokubalika. ndani ya miezi 12 au baada ya bidhaa za kilimo
- Ikiwa mwombaji amelipa mkopo wa FSA wa zilizozalishwa kuuzwa. Viwango vya riba vinatokana
vijana kwa ufanisi, uzoefu huo unaweza kukidhi na viwango vya kawaida vya mkopo wa uendeshaji
sehemu fulani ya mahitaji ya uzoefu kwa mkopo vya FSA ambavyo vinatumika wakati wa uidhinishaji
wa umiliki wa shamba. wa mkopo mdogo au kufungwa kwa mkopo mdogo,
vyovyote ambavyo ni vichache.
Mahitaji ya Usalama
Kwa mikopo midogo ya umiliki, waombaji
Mikopo midogo ya uendeshaji ya gharama za wanaostahiki wanaweza kupata mkopo mdogo wa
uendeshaji za kila mwaka ni lazima ilindwe kwa dai la hadi $50,000. Muda wa kulipa unaweza kutofautiana
kwa kwanza la kumiliki mali ya shamba au bidhaa za na hautazidi miaka 25. Viwango vya riba ni viwango
kilimo zenye thamani ya usalama ya angalau asilimia vya kawaida vya mkopo wa umiliki wa shamba vya
100 ya kiasi cha mkopo mdogo, na hadi asilimia 150, FSA ambavyo vinatumika wakati wa uidhinishaji au
zinapopatikana. Mikopo midogo ya uendeshaji kufungwa kwa mkopo.
inayotolewa kwa madhumuni mengine kando na
gharama za uendeshaji za kila mwaka ni lazima
ilindwe kwa dai la kwanza la kumiliki mali ya shamba
Jinsi ya kutuma ombi
au bidhaa za kilimo zilizonunuliwa kwa fedha za Fomu za maombi ya mkopo mdogo za FSA zinaweza
mkopo na zilizo na thamani ya usalama ya angalau kupatikana katika ofisi ya FSA ya eneo husika au
asilimia 100 ya kiasi cha mkopo mdogo. zinaweza kupakuliwa na kuchapishwa kutoka kwa
tovuti ya USDA katika fsa.usda.gov/microloans.
Mikopo midogo ya umiliki hulindwa na mali Waombaji wanaokumbana na matatizo kuhusu
isiyohamishika inayonunuliwa au kuboreshwa. kukusanya maelezo au kujaza fomu wanapaswa
Thamani ya kuwasiliana na ofisi ya FSA ya eneo lao ili kupata
mali hiyo isiyohamishika ni lazima iwe angalau usaidizi. Baada ya kukamilisha hati zinazohitajika,
asilimia 100 ya kiasi cha mkopo. mwombaji anapaswa kuwasilisha ombi la mkopo wa
kilimo kwa ofisi ya FSA ya eneo lake. Ili kupata ofisi
ya FSA ya eneo lako, tembelea farmers.gov.

2
MIKOPO MIDOGO - AGOSTI 2019

Nini Hufanyika Baada ya Nani Anastahiki?


Ombi la Mkopo Ili kustahiki kupata usaidizi, mwombaji ni lazima
Kuwasilishwa? asiwe mkubwa kuliko mkulima wa ukubwa wa
familia, awe na historia ya kuridhisha ya kutimiza
Baada ya ombi la mkopo kuwasilishwa, FSA hukagua majukumu ya mkopo, asiweze kupata mkopo mahali
ombi hilo na kubainisha ikiwa mwombaji anastahiki pengine kwa viwango na masharti yanayokubalika na
kupokea mkopo ulioombwa. Mwombaji atapokea kutimiza masharti mengine yote ya ustahiki wa
taarifa iliyoandikwa kwa kila hatua ya mchakato huo, mkopo.
kama vile ombi linapopokewa, uamuzi unapofanywa
na uamuzi wa mwisho unapofanywa. Ikiwa ombi hilo
litaidhinishwa, FSA huandaa mkopo na fedha hizo Maelezo Zaidi
kusambazwa zinavyohitajika. Ikiwa ombi litakataliwa, Kwa maelezo zaidi, tembelea
mwombaji huarifiwa kwa maandishi kuhusu sababu fsa.usda.gov/farmloans au .farmers.gov Pata
mahususi za kukataliwa huko na kupewa haki za Kituo cha Huduma cha USDA cha eneo lako katika
ukaguzi mpya na kukata rufaa. .farmers.gov/service-locator

3 USDA ni mtoaji wa fursa sawa kwa wote, mwajiri na mkopeshaji.

You might also like