Professional Documents
Culture Documents
Matokeomwanzooktoba 2022
Matokeomwanzooktoba 2022
Matokeo ya Mwanzo ya
Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022
na
Oktoba 2022
YALIYOMO
DIBAJI............................................................................................................ ii
SHUKRANI ................................................................................................... iv
MUHTASARI WA Viashiria Muhimu kwa Tanzania, Tanzania Bara na
Tanzania Zanzibar ..................................................................................................vi
UtanguliZi ...................................................................................................... 1
Mgawanyo wa Watu ....................................................................................... 3
SENSA YA Majengo .................................................................................... 13
ANWANI ZA MAKAZI ............................................................................... 18
Huduma za Jamii ......................................................................................... 21
MGAWANYO WA IDADI YA WATU, IDADI YA MAJENGO, NA IDADI
YA HUDUMA ZA KIJAMII KWA MKOA .................................................. 27
KIAMBATISHO A: DODOSO LA SENSA ……………………………….…...90
i|
DIBAJI
ii |
mpaka 2022 umeainishwa. Chapisho hili litatoa pia jumla ya majengo yote nchini,
aina ya majengo na majengo yenye anwani za makazi na huduma za jamii.
Nitumie nafasi hii pia kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mheshimiwa Dkt. Philip
Isdor Mpango - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.) - Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa
ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Mheshimiwa Othman Masoud Othman -
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, pamoja na Mheshimiwa Hemed Suleiman
Abdulla (MBW) - Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti mwenza wa
Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa uongozi na
usimamizi madhubuti wa mchakato mzima wa utekelezaji wa zoezi la Sensa pamoja
na majukumu mengine ya kitaifa.
iii |
SHUKRANI
Nawashukuru pia wajumbe wote wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, Kamati ya Taifa
ya Ushauri ya Sensa, Kamati ya Ushauri wa Kiufundi, Wabunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar. Kwa
upande mwingine natoa shukrani za dhati kwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya,
Madiwani, Waratibu wa Sensa Taifa, Waratibu wa Sensa wa mikoa na wilaya,
viongozi wa kata/shehia, mitaa na vitongoji, wasimamizi, makarani wa Sensa na
wakuu wa kaya kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo na kufanikisha zoezi la Sensa
katika maeneo yao ya utawala.
iv |
Sensa Zanzibar; Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Dkt. Amina Msengwa; na Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu, Zanzibar Mheshimiwa
Balozi Amina Salum Ali kwa uongozi na maelekezo sahihi katika kipindi chote cha
utekelezaji wa zoezi la Sensa. Shukrani za pekee kwa menejimenti na watumishi wote
wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiongozwa na Dkt. Albina Chuwa; Ofisi ya
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar (OCGS) Bw. Salum Kasim Ali; watumishi
wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Wizara ya Habari,
Mawasiliano na Teknolojia ya Habari; na watumishi wengine wa Serikali kwa
kufanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na bila kuchoka katika kuhakikisha Sensa ya
Watu na Makazi ya Mwaka 2022 inafanikiwa kwa mafanikio makubwa.
v|
MUHTASARI WA VIASHIRIA MUHIMU KWA TANZANIA,
TANZANIA BARA NA TANZANIA ZANZIBAR
Tanzania
Tanzania Tanzania Bara
Zanzibar
Viashiria Idadi % Idadi % Idadi %
IDADI YA WATU
Jumla 61,741,120 100.0 59,851,347 100.0 1,889,773 100.0
Wanaume 30,053,130 48.7 29,137,638 48.7 915,492 48.4
Wanawake 31,687,990 51.3 30,713,709 51.3 974,281 51.6
Uwiano Kijinsi 95 95 94
Kasi ya Ongezeko la
3.2 3.2 3.7
Watu (2012 - 2022)
MAJENGO
Jumla 14,348,372 100.0 13,907,951 100.0 440,421 100.0
Majengo ya Ghorofa 68,724 0.5 61,258 0.4 7,466 1.7
Yasiyo ya Ghorofa 13,540,363 94.4 13,152,298 94.6 388,065 88.1
Yanayoendelea na
739,285 5.1 694,395 5.0 44,890 10.2
ujenzi
ANWANI ZA MAKAZI
Majengo yenye
10,751,123 74.9 10,406,722 74.8 344,401 78.2
Anwani za Makazi
Majengo yasiyo na
3,597,249 25.1 3,501,229 25.2 96,020 21.8
Anwani za Makazi
VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Zahanati 7,965 78.8 7,680 78.6 285 85.1
Vituo vya Afya 1,466 14.5 1,430 14.6 36 10.7
Hospitali 676 6.7 662 6.8 14 4.2
HUDUMA ZA ELIMU
Shule za Msingi 19,769 77.1 19,266 77.5 503 65.5
Shule za Sekondari 5,857 22.9 5,592 22.5 265 34.5
vi |
UTANGULIZI
Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchakata, kuchambua,
kutathmini, kuchapisha, kusambaza na kutunza takwimu za kidemografia, kiuchumi
na mazingira wanayoishi katika nchi kwa kipindi maalum. Utaratibu huu huwezesha
kupatikana kwa taarifa za msingi za kitakwimu kama idadi ya watu wote kwenye
nchi kwa umri, jinsi, hali ya ulemavu, hali ya elimu, shughuli za kiuchumi, hali ya
makazi, vizazi, vifo na nyingine kama zilivyoainishwa katika Dodoso la Sensa
(Angalia Kiambatisho A).
1|
ufanisi na kuipunguzia Serikali gharama ya kufanya mazoezi matatu makubwa katika
vipindi tofauti. Taarifa za majengo na anwani za makazi ni kielelezo muhimu sana
kwa Taifa na kwa mwananchi mmoja mmoja kwa ajili ya makazi na shughuli
nyingine muhimu za maendeleo. Sensa ya Majengo na Anwani za Makazi ni zoezi
ambalo limefanyika kwa mara ya kwanza Nchini tangu kuasisiwa kwa muungano wa
Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964. Taarifa za majengo zilikuwa zinakusanywa
katika tafiti za kitaifa zilizokuwa zinafanyika kila baada ya miaka mitano kwa ajili
ya kuboresha sera ya mipango Nchi.
2|
MGAWANYO WA WATU
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa, idadi ya
watu nchini imeongezeka kutoka 44,928,923 waliohesabiwa mwaka 2012 hadi
kufikia watu 61,741,120 kwa mwaka 2022, sawa na wastani wa ongezeko la idadi ya
watu kwa mwaka (the annual intercensal population growth rate) la asilimia 3.2. Kwa
Tanzania Bara, idadi ya watu imeongezeka kutoka 43,625,354 mwaka 2012 hadi
watu 59,851,347 mwaka 2022 wakati kwa Tanzania Zanzibar idadi ya watu
imeongezeka kutoka 1,303,569 mwaka 2012 hadi watu 1,889,773 mwaka 2022
(Angalia Kielelezo Na. 1)
70.0
61.7 59.8 Katika kipindi cha
60.0 miaka kumi iliyopita
yaani kuanzia mwaka
50.0 44.9 43.6 2012 hadi 2022, kuna
40.0 ongezeko la watu
16,812,197 Nchini
30.0
20.0
10.0
1.3 1.9
0.0
Tanzania Tanzania Bara Tanzania Zanzibar
Sensa 2012 Sensa 2022
3|
Kielelezo Na. 2: Idadi ya Watu kwa Jinsi: Tanzania, Tanzania Bara na Tanzania
Zanzibar
70.0
61.7 59.8
60.0
50.0
40.0
30.0 31.7 29.1 30.7
30.0
20.0
10.0
1.9 0.9 1.0
0.0
Tanzania Tanzania Bara Tanzania Zanzibar
49% Wanaume
51% Wanawake
4|
MWENENDO WA ONGEZEKO LA IDADI YA WATU TANZANIA,
KUANZIA MWAKA 1967 HADI 2022
23.1
17.5
12.3
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiutawala ina jumla ya mikoa 31. Mikoa 26 iko
Tanzania Bara na mikoa mitano iko Tanzania Zanzibar. Matokeo yanaonesha kuwa
mkoa wenye watu wengi zaidi ya mikoa mingine ni Dar es Salaam, ukiwa na idadi
ya watu 5,383,728 ambayo ni sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini. Mikoa
ambayo ina watu zaidi ya milioni tatu ni pamoja na Mwanza (3,699,872), Tabora
(3,391,679), Morogoro (3,197,104) na Dodoma (3,085,625).
5|
Kwa Tanzania Bara mkoa wenye idadi ya watu chini ya milioni moja ni Njombe,
ambao una watu 889,946. Aidha, mikoa yote ya Tanzania Zanzibar ina watu chini ya
milioni moja, (Angalia Ramani Na. 1).
Ramani Na. 1: Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Mkoa
6|
Kielelezo Na. 5: Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Mkoa (katika Milioni) kwa
Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 na 2022
7|
Jedwali Na. 1: Idadi ya Watu kwa Mikoa na Jinsi
Eneo Jumla Wanaume Wanawake
Tanzania 61,741,120 30,053,130 31,687,990
8|
UWIANO WA KIJINSI
Uwiano wa idadi ya watu kijinsi kwa Tanzania na Tanzania Bara ni wanaume 95 kwa
kila wanawake 100, wakati kwa upande wa Tanzania Zanzibar ni wanaume 94 kwa
kila wanawake 100. Mkoa wa Manyara una idadi kubwa ya wanaume kuliko
wanawake ukilinganisha na mikoa mingine ambapo kwa kila wanawake 100, kuna
wanaume 102. Mkoa wa Njombe umeonekana kuwa na uwiano mdogo zaidi wa
kijinsi wa wanaume 90 kwa kila wanawake 100 ukilinganishwa na mikoa mingine
(Angalia Kielelezo Na. 6).
9|
Kielelezo Na. 6: Uwiano wa Watu Kijinsi kwa Mkoa
Manyara 102
Kusini Unguja 101
Singida 98
Katavi 98
Morogoro 98
Pwani 97
Shinyanga 97
Geita 97
Kaskazini Unguja 96
Dodoma 96
Tabora 96
Kagera 95
Wastani wa Kitaifa 95
Ruvuma 95
Tanga 95
Lindi 95
Kilimanjaro 95
Mwanza 95
Kusini Pemba 94
Simiyu 94
Kaskazini Pemba 94 Mikoa ya Manyara
Dar es Salaam 93 na Kusini Unguja
Rukwa 93 wanaume ni wengi
Iringa 93 zaidi kuliko
Mara 92 wanawake
Kigoma 92
Mbeya 92
Mjini Magharibi 92
Songwe 92
Arusha 91
Mtwara 91
Njombe 90
80 85 90 95 100 105
10 |
WASTANI WA KASI YA ONGEZEKO LA IDADI YA WATU KWA
MWAKA
4.0 3.7
3.5 3.2 3.2 3.1
2.9 2.9 2.8
3.0 2.7 2.7
2.5
2.0
1.5
1.0
0.5
0.0
Tanzania Tanzania Bara Tanzania Zanzibar
11 |
Kielelezo Na. 8: Kasi ya Ongezeko la Idadi ya Watu kwa Mkoa
12 |
SENSA YA MAJENGO
IDADI YA MAJENGO
Matokeo ya Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa, idadi ya majengo
yote nchini ni 14,348,372, ambapo majengo 13,907,951 yapo Tanzania Bara na
Majengo 440,421 yapo Tanzania Zanzibar.
AINA ZA MAJENGO
Aina ya Jengo
Eneo Jumla
Yasiyo ya Yanayoendelea na
Ghorofa
Ghorofa ujenzi
Tanzania 14,348,372 68,724 13,540,363 739,285
Tanzania Bara 13,907,951 61,258 13,152,298 694,395
Tanzania
440,421 7,466 388,065 44,890
Zanzibar
13 |
IDADI YA MAJENGO KWA AINA NA MIKOA
14 |
Yasiyo ya Yanaendelea
Eneo Jumla Ghorofa
Ghorofa na ujenzi
15 |
Kielelezo Na. 9: Idadi ya Majengo kwa Mkoa (“00,000”)
0.0 1.0 2.0 3.0 4.0 5.0 6.0 7.0 8.0 9.0 10.0
16 |
Ramani Na. 2: Idadi ya Majengo kwa Mikoa
17 |
ANWANI ZA MAKAZI
MAJENGO YENYE ANWANI ZA MAKAZI
Matokeo ya Sensa yanaonesha kuwa mkoa ambao majengo yake mengi yana anwani
za makazi ni Kaskazini Pemba (asilimia 89.9) na mikoa mingine ambayo majengo
yake zaidi ya asilimia 80 yana anwani za makazi ni Mtwara (asilimia 88.2), Njombe
(asilimia 87.7), Kusini Pemba (asilimia 84.5), Kagera (asilimia 83.5), Geita (asilimia
83.3), Ruvuma (asilimia 82.7), Simiyu (asilimia 81.9) na Lindi (asilimia 80.7). Mkoa
wenye asilimia ndogo zaidi ya majengo yenye anwani za makazi ni Dodoma (asilimia
63.5) ikifuatiwa na Rukwa (asilimia 65.6) (Angalia Jedwali Na. 5).
18 |
Jedwali Na. 5: Idadi na Asilimia ya Majengo yenye Anwani za Makazi
Idadi ya Anwani za Makazi
Eneo Yasiyo na
Yenye Anwani
Jumla Anwani za Asilimia
za makazi
Makazi
Tanzania 14,348,372 10,751,123 3,597,249 74.9
19 |
Ramani Namba 3: Idadi ya Majengo yenye Anwani za Makazi kwa Mikoa
20 |
HUDUMA ZA JAMII
Siku mbili kabla ya kuanza kazi ya kuhesabu watu, makarani wa Sensa walihoji
dodoso la jamii ili kupata Taarifa za huduma mbalimbali za jamii zilizopo kwenye
Shehia, Mitaa na Vitongoji.
HUDUMA ZA AFYA
Matokeo yanaonesha kuwa Tanzania ina jumla ya hospitali 676, vituo vya afya 1,466
na zahanati 7,965. Kwa Tanzania Bara ina hospitali 662, vituo vya afya 1,430 na
zahanati 7,680. Kwa upande wa Tanzania Zanzibar, matokeo ya Sensa ya Watu na
Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa kuna hospitali 14, vituo vya afya 36 na
zahanati 285.
21 |
Jedwali Na. 6: Idadi ya Vituo vya Kutolea Huduma za Afya
Mkoa Jumla Zahanati Vituo vya Afya Hospitali
Tanzania 10,107 7,965 1,466 676
22 |
HUDUMA ZA ELIMU
Jedwali Na. 7 linaonesha idadi ya shule na kama ni ya msingi au sekondari. Matokeo
yanaonesha kuwa Tanzania kuna shule za msingi 19,769 kati ya hizo, shule za msingi
19,266 ziko Tanzania Bara na 503 ziko Tanzania Zanzibar. Aidha matokeo
yanaonesha zaidi kuwa kuna shule za sekondari 5,857, kati ya hizo shule 5,592 ziko
Tanzania Bara na shule 265 ziko Tanzania Zanzibar.
Kwa upande wa Tanzania Bara matokeo yanaonesha kuwa, mikoa yenye shule nyingi
za sekondari ni Dar es Salaam (350), Kilimanjaro (349) na Mwanza (330) na mkoa
wenye shule za sekondari chache zaidi ni Katavi (62) ukifuatiwa na Rukwa (97) na
Songwe (130). Kwa upande wa Tanzania Zanzibar, mkoa wenye shule nyingi zaidi
za sekondari ni Mjini Magharibi (84) na mkoa wenye shule za sekondari chache zaidi
ni Kaskazini Unguja (39). Shule nyingi za msingi ziko mkoa wa Tanga (1,083),
Mwanza (1,038) na Kagera (1,026) kwa Tanzania Bara wakati mikoa yenye shule za
msingi chache zaidi ni Katavi (266), Rukwa (394) na Songwe (496). Kwa Tanzania
Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi una shule nyingi zaidi za msingi ikilinganishwa
na mikoa mingine (Angalia Jedwali Na. 7).
23 |
Mkoa Jumla Shule za Msingi Shule za Sekondari
Mtwara 857 692 165
Ruvuma 1,046 829 217
Iringa 735 544 191
Mbeya 1,073 807 266
Singida 797 630 167
Tabora 1,087 875 212
Rukwa 491 394 97
Kigoma 920 701 219
Shinyanga 843 671 172
Kagera 1,313 1,026 287
Mwanza 1,368 1,038 330
Mara 1,174 908 266
Manyara 875 692 183
Njombe 683 544 139
Katavi 328 266 62
Simiyu 759 592 167
Geita 932 742 190
Songwe 626 496 130
24 |
MAPENDEKEZO YA SERA
Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 imefanyika sambamba na Sensa ya
Majengo na Anwani za Makazi zoezi la kitaifa ambalo limefanyika kwa mara ya
kwanza Nchini tangu kuasisiwa kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka
1964.
Wastani wa kasi ya ongezeko la idadi ya watu kutoka mwaka 2012 hadi 2022 ni
asilimia 3.2, sawa na idadi ya watu 61,741,120 mwaka 2022, Tanzania Bara ikiwa na
watu 59,851,347 na Tanzania Zanzibar 1,889,773. Kwa upande wa Sensa ya Majengo
matokeo yamebainisha kuwa Tanzania ina majengo 14,348,372, kati ya hayo,
asilimia 74.9 (10,751,123) yana anwani za makazi. Kwa upande wa huduma za afya,
matokeo yameonesha Tanzania kuna vituo vya huduma za afya 10,107 na vituo vya
huduma ya elimu 25,626 katika maeneo mbali mbali ya nchi.
Ujumbe wa Kisera
Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 imeonesha kuongezeka kwa wastani wa
kasi ya ongezeko la idadi ya watu kutoka asilimia 2.7 mwaka 2012 hadi asilimia 3.2
mwaka 2022. Kuongezeka kwa wastani wa kasi ya ongezeko la watu kutaathiri
maeneo yafuatayo ya kisera:
a. Uhitaji wa kuendelea kuongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma za afya ili
iendane na ongezeko la idadi ya watu kwa lengo la kuwa na jamii yenye afya
njema inayoweza kushiriki katika shughuli za kiuchumi na kijamii kwa ufanisi;
b. Uhitaji wa kuendelea kuongezeka idadi ya shule katika ngazi zote za kutolea
huduma ya elimu kwa lengo la kujenga jamii iliyoelimika na ambayo itaweza
kuajiriwa kwa urahisi ndani na nje ya nchi;
c. Uhitaji wa kuendelea kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na mazao, mifugo
na mazao ya biashara wenye tija kwa lengo la kukidhi mahitaji ya chakula kwa
wananchi wote na ziada ya kuuza nje ya nchi kwa ajili ya kujipatia fedha za kigeni;
d. Uhitaji wa kujenga viwanda vya bidhaa mbalimbali ili kuziongezea thamani
bidhaa zinazozalisha hapa nchini kwa ajili ya soko la ndani na nje ya nchi;
e. Uhitaji wa kuendelea kujenga viwanda vya uzalishaji dawa na vifaa tiba ndani ya
nchi kwa lengo la kupunguza matumizi ya fedha za kigeni katika uagizaji wa
dawa na vifaa tiba;
f. Uhitaji wa kuendelea kujenga viwanda vya uzalishaji wa bidhaa za ujenzi hapa
nchini kwa lengo la kupunguza gharama za ujenzi wa makazi bora kwa wananchi;
na
25 |
g. Uhitaji wa kuendelea kupanga mipango bora kwa ajili ya maeneo ya mijini na
vijijini ili kuhakikisha kuwa watu wote wanaishi katika mazingira bora na salama.
26 |
MGAWANYO WA IDADI YA WATU, IDADI YA MAJENGO,
NA IDADI YA HUDUMA ZA KIJAMII KWA MKOA
27 |
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA DODOMA
51%
Vituo vya
kutolea 49%
Huduma za
Afya
Idadi ya
Shule
Ukurasa | 28
1,060
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA DODOMA
Majengo ya Ghorofa
1,461
Majengo ya Kawaida
794,209
Majengo
836,909
Yanayoendelea na
Ujenzi
41,239
ANWANI ZA
Majengo Yenye
MAKAZI Anwani za Makazi
531,072
Ukurasa | 29
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA ARUSHA
Vituo vya
kutolea
Huduma za
Afya 52%
429
48%
Idadi ya Watu
2,356,255
Idadi ya
Shule
1,102 Ukurasa | 30
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA ARUSHA
Majengo ya Ghorofa
7,180
Majengo ya Kawaida
Majengo 515,560
553,702
Yanayoendelea na
Ujenzi
30,962
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 410,498
Ukurasa | 31
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KILIMANJARO
51%
49%
Vituo vya
kutolea
Huduma za
Afya
461
Idadi ya Watu
Idadi ya
1,861,934
Shule
Ukurasa | 32
1,348
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KILIMANJARO
Majengo ya Ghorofa
3,540
Majengo ya
Kawaida
486,916
Majengo Yanayoendelea na
515,091 Ujenzi
24,635
ANWANI ZA
Majengo Yenye
MAKAZI Anwani za Makazi
406,838
Ukurasa | 33
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA TANGA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Tanga Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 2,045,205 2,615,597
570,392 (Kati ya 2012
na 2022)
51%
Idadi ya
Shule
Ukurasa | 34
1,381
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA TANGA
Majengo ya Ghorofa
4,282
Majengo ya
Kawaida
Majengo
638,604
676,397
Yanayoendelea na
Ujenzi
33,511
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 482,127
Ukurasa | 35
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MOROGORO
51%
Vituo
vya Afya
49%
532
Majengo ya Ghorofa
1,331
Majengo ya
Kawaida
724,320
Yanayoendelea na
Majengo Ujenzi
762,454 36,803
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 536,095
Ukurasa | 37
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA PWANI
Katika mwongo
Idadi ya Idadi ya
mmoja uliopita, idadi
Watu 2012 Watu 2022
ya Watu katika Mkoa
Ilikuwa ni
wa Pwani
imeongezeka kwa 1,098,668 2,024,947
926,279 (Kati ya 2012
na 2022)
51%
444
Idadi ya Watu
2,024,947
Idadi ya
Shule
Ukurasa | 38
932
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA PWANI
Majengo ya Ghorofa
1,885
Majengo ya
Kawaida
468,005
Majengo Yanayoendelea na
504,979 Ujenzi
35,089
Majengo Yenye
ANWANI ZA Anwani za Makazi
352,391
MAKAZI
Ukurasa | 39
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA DAR ES SALAAM
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Dar es Salaam Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 4,364,541 5,383,728
1,019,187 (Kati ya
2012 na 2022)
52%
Vituo vya
kutolea
Huduma za 48%
Afya
Idadi ya
Shule
1,188 Ukurasa | 40
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA DAR ES SALAAM
Majengo ya Ghorofa
32,219
Majengo
913,707 Majengo ya
Kawaida
827,644
Yanayoendelea na
Ujenzi
53,844
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 638,673
Ukurasa | 41
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA LINDI
Katika mwongo
Idadi ya Idadi ya
mmoja uliopita, idadi
Watu 2012 Watu 2022
ya Watu katika Mkoa
Ilikuwa ni
wa Lindi
imeongezeka kwa 864,652 1,194,028
329,376 (Kati ya 2012
na 2022)
Idadi ya
Vituo vya Shule
kutolea
Huduma za 51% 663
Afya
303 49%
Idadi ya Watu
1,194,028
Ukurasa | 42
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA LINDI
Majengo ya Ghorofa
327
Majengo ya
Kawaida
Majengo
326,065
341,398
Yanayoendelea na
Ujenzi
15,006
MAKAZI 275,573
Ukurasa | 43
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MTWARA
Idadi ya Idadi ya
Katika mwongo
Watu 2012 Watu 2022
mmoja uliopita, idadi
Ilikuwa ni
ya Watu katika Mkoa
wa Mtwara 1,270,854 1,634,947
imeongezeka kwa
364,093 (Kati ya 2012
na 2022)
52%
48%
Idadi ya Watu
1,634,947
Vituo vya
kutolea
Huduma za
Afya
Idadi ya
Shule 312
857 Ukurasa | 44
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MTWARA
Majengo ya Ghorofa
ANWANI ZA 507
MAKAZI
Majengo ya
Kawaida
488,078
Yanayoendelea na
Ujenzi
Majengo Yenye
Anwani za Makazi 22,751
451,095
Majengo
511,336
Ukurasa | 45
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA RUVUMA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Ruvuma Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 1,376,891 1,848,794
471,903 (Kati ya 2012
na 2022)
Vituo vya
kutolea
Huduma za
Idadi ya Afya
Shule
382
1,046
51%
49%
Idadi ya Watu
1,848,794
Ukurasa | 46
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA RUVUMA
Majengo ya Ghorofa
408
Majengo ya
Kawaida
434,989
Yanayoendelea na
Ujenzi
12,931
Majengo
448,328
MAKAZI 370,620
Ukurasa | 47
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA IRINGA
52%
Vituo vya
kutolea 48%
Huduma za
Afya
Idadi ya Watu
349 1,192,728
Idadi ya
Shule
735 Ukurasa | 48
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA IRINGA
Majengo ya Ghorofa
529
Majengo ya
Majengo Kawaida
357,777 339,561
Yanayoendelea na
Ujenzi
17,687
MAKAZI 286,161
Ukurasa | 49
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MBEYA
Katika mwongo
Idadi ya Idadi ya
mmoja uliopita, idadi
Watu 2012 Watu 2022
ya Watu katika Mkoa
Ilikuwa ni
wa Mbeya
imeongezeka kwa 1,708,548 2,343,754
635,206 (Kati ya 2012
na 2022)
52%
Idadi ya
Shule
1,073 Ukurasa | 50
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MBEYA
Majengo ya Ghorofa
1,073
Majengo
623,054 Majengo ya
Kawaida
592,896
Yanayoendelea na
Ujenzi
29,085
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 466,058
Ukurasa | 51
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SINGIDA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Singida Ilikuwa ni
imeongezeka kwa
1,370,637 2,008,058
637,421 (Kati ya 2012
na 2022)
50%
Vituo vya
kutolea 50%
Huduma za
Afya
282
Idadi ya Watu
Idadi ya
2,008,058
Shule
Ukurasa | 52
797
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SINGIDA
Majengo ya Ghorofa
290
Majengo Majengo ya
463,353 Kawaida
440,541
Yanayoendelea na
Ujenzi
22,522
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 332,499
Ukurasa | 53
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA TABORA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Tabora Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 2,291,623 3,391,679
1,100,056 (Kati ya
2012 na 2022)
Vituo vya
kutolea
51% Huduma za
Afya
49% 401
1,087
Ukurasa | 54
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA TABORA
Majengo ya Ghorofa
400
Majengo ya
Kawaida
Majengo
680,103 648,178
Yanayoendelea na
Ujenzi
31,525
ANWANI ZA
Majengo Yenye
MAKAZI Anwani za Makazi
482,033
Ukurasa | 55
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA RUKWA
Katika mwongo
Idadi ya Idadi ya
mmoja uliopita, idadi
Watu 2012 Watu 2022
ya Watu katika Mkoa
Ilikuwa ni
wa Rukwa
imeongezeka kwa 1,004,539 1,540,519
535,980 (Kati ya 2012
na 2022)
Vituo vya
kutolea
Huduma za
52% Afya
276
48%
Idadi ya Watu
Idadi ya 1,540,519
Shule
491 Ukurasa | 56
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA RUKWA
Majengo ya Ghorofa
173
Majengo ya
Kawaida
Majengo
290,707
302,368
Yanayoendelea na
Ujenzi
11,488
MAKAZI 198,424
Ukurasa | 57
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KIGOMA
52%
Vituo vya
kutolea
48% Huduma za
Afya
Idadi ya
Shule
920
Ukurasa | 58
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KIGOMA
Majengo ya Ghorofa
318
Majengo
458,567 Majengo ya
Kawaida
444,481
Yanayoendelea na
Ujenzi
13,768
MAKAZI 353,519
Ukurasa | 59
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SHINYANGA
Katika mwongo
Idadi ya Idadi ya
mmoja uliopita, idadi
Watu 2012 Watu 2022
ya Watu katika Mkoa
Ilikuwa ni
wa Shinyanga
imeongezeka kwa 1,534,808 2,241,299
706,491 (Kati ya 2012
na 2022)
51%
49%
Idadi ya Watu
2,241,299
Vituo vya
Idadi ya kutolea
Shule Huduma za
Afya
843 311 Ukurasa | 60
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SHINYANGA
Majengo
421,743
Majengo ya Ghorofa
358
Majengo ya Kawaida
398,581
Yanayoendelea na Ujenzi
22,804
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 283,042
Ukurasa | 61
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KAGERA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Kagera Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 2,458,023 2,989,299
531,276 (Kati ya 2012
na 2022)
51%
Idadi ya 49%
Shule
1,313
Vituo vya
Idadi ya Watu kutolea
2,989,299 Huduma za
Afya
381
Ukurasa | 62
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KAGERA
Majengo ya Ghorofa
701
Majengo
716,458 Majengo ya
Kawaida
684,987
Yanayoendelea na
Ujenzi
30,770
MAKAZI 598,332
Ukurasa | 63
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MWANZA
Vituo vya
51% kutolea
Huduma za
Afya
49%
520
Idadi ya Watu
3,699,872
Idadi ya
Shule
1,368
Ukurasa | 64
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MWANZA
Majengo ya Ghorofa
2,481
Majengo
868,430 Majengo ya
Kawaida
801,826
Yanayoendelea na
Ujenzi
64,123
MAKAZI 637,231
Ukurasa | 65
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MARA
Vituo vya
kutolea
Huduma za
Afya
52% 368
48%
Majengo ya
Kawaida
595,721
Yanayoendelea na
Ujenzi
39,954
MAKAZI 490,774
Ukurasa | 67
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MANYARA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Manyara Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 1,425,131 1,892,502
467,371 (Kati ya 2012
na 2022)
50%
50%
Idadi ya Watu
1,892,502
Vituo vya
kutolea Idadi ya
Huduma za Shule
Afya
875
290
Ukurasa | 68
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MANYARA
Majengo
430,323
Majengo ya Ghorofa
318
Majengo ya
Kawaida
406,054
Yanayoendelea na
Ujenzi
23,951
ANWANI ZA
Majengo Yenye
MAKAZI Anwani za Makazi
324,647
Ukurasa | 69
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA NJOMBE
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi
ya Watu katika Mkoa Idadi ya Idadi ya
wa Njombe Watu 2012 Watu 2022
imeongezeka kwa Ilikuwa ni
187,849 (Kati ya 2012 702,097 889,946
na 2022)
53%
47%
Ukurasa | 70
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA NJOMBE
Majengo
279,349 Majengo ya Ghorofa
322
Majengo ya
Kawaida
270,529
Yanayoendelea na
Ujenzi
8,498
MAKAZI 244,920
Ukurasa | 71
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KATAVI
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Katavi Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 564,604 1,152,958
588,354 (Kati ya 2012
na 2022)
Vituo vya
kutolea
Huduma za
51% Afya
Idadi ya 134
Shule
49%
328
Idadi ya Watu
1,152,958
Ukurasa | 72
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KATAVI
Majengo ya Ghorofa
70
Majengo ya
Majengo Kawaida
189,349 180,146
Yanayoendelea na
Ujenzi
9,133
MAKAZI 141,988
Ukurasa | 73
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SIMIYU
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Simiyu Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 1,584,157 2,140,497
556,340 (Kati ya 2012
na 2022)
Vituo vya
kutolea
Huduma za
52% Afya
289
48%
Idadi ya Watu
2,140,497
Idadi ya
Shule
759
Ukurasa | 74
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SIMIYU
Majengo ya Ghorofa
138
Majengo ya
Kawaida
Majengo
414,145
430,378
Yanayoendelea na
Ujenzi
16,095
MAKAZI 352,371
Ukurasa | 75
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA GEITA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Geita Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 1,739,530 2,977,608
1,238,078 (Kati ya
2012 na 2022)
Vituo vya
kutolea
Huduma za
51% Afya
290
49%
Idadi ya Watu
2,977,608
Idadi ya
Shule
932
Ukurasa | 76
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA GEITA
Majengo ya Ghorofa
263
Majengo ya
Kawaida
Majengo
587,719
624,100
Yanayoendelea na
Ujenzi
36,118
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 520,154
Ukurasa | 77
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SONGWE
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi
ya Watu katika Mkoa Idadi ya Idadi ya
wa Songwe Watu 2012 Watu 2022
imeongezeka kwa Ilikuwa ni
345,825 (Kati ya 2012 998,862 1,344,687
na 2022)
52%
Vituo vya
48% kutolea
Huduma za
Afya
Idadi ya 247
Shule
Ukurasa | 78
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA SONGWE
Majengo ya Ghorofa
174
Majengo ya
Kawaida
351,836
Majengo Yanayoendelea na
362,113 Ujenzi
10,103
MAKAZI 239,587
Ukurasa | 79
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Kaskazini Unguja Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 187,455 257,290
69,835 (Kati ya 2012
na 2022)
51%
Vituo vya
Idadi ya
Shule
49% kutolea
Huduma za
Afya
106
47
Idadi ya Watu
257,290
Ukurasa | 80
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Majengo ya Ghorofa
466
Majengo ya
Kawaida
66,676
Majengo
74,764 Yanayoendelea na
Ujenzi
7,622
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 56,943
Ukurasa | 81
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KUSINI UNGUJA
Katika mwongo
mmoja uliopita, idadi Idadi ya Idadi ya
ya Watu katika Mkoa Watu 2012 Watu 2022
wa Kusini Unguja Ilikuwa ni
imeongezeka kwa 115,588 195,873
80,285 (Kati ya 2012
na 2022)
50%
57
Idadi ya Watu
195,873
Idadi ya
Shule
117 Ukurasa | 82
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KUSINI UNGUJA
Majengo ya Ghorofa
850
Majengo ya
Majengo Kawaida
64,453 54,117
Yanayoendelea na
Ujenzi
9,486
ANWANI ZA
Majengo Yenye
Anwani za Makazi
MAKAZI 49,243
Ukurasa | 83
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
52%
Vituo vya
kutolea
48%
Huduma za
Afya
135
Idadi ya Watu
893,169
Idadi ya
Shule
310 Ukurasa | 84
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Majengo ya Ghorofa
5,453
Majengo ya
Kawaida
Majengo 154,249
177,450
Yanayoendelea na
Ujenzi
17,748
MAKAZI 130,218
Ukurasa | 85
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KASKAZINI PEMBA
Vituo vya
kutolea 52%
Huduma za
Afya
48%
47
Idadi ya Watu
272,091
Idadi ya
Shule
113 Ukurasa | 86
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KASKAZINI PEMBA
Majengo ya Ghorofa
222
Majengo ya
Kawaida
Majengo
58,280
63,490
Yanayoendelea na
Ujenzi
4,988
MAKAZI 57,058
Ukurasa | 87
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KUSINI PEMBA
Vituo vya
kutolea
Huduma za
52% Afya
49
48%
Idadi ya Watu
271,350
Idadi ya
Shule
122
Ukurasa | 88
SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022
MKOA WA KUSINI PEMBA
Majengo ya Ghorofa
475
Majengo ya
Kawaida
54,743
Majengo
60,264
Yanayoendelea na
Ujenzi
5,046
MAKAZI 50,939
Ukurasa | 89
KIAMBATISHO A: DODOSO LA SENSA YA WATU NA
MAKAZI YA MWAKA 2022
28 |
90
Jamhuri ya
DODOSO LA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 Sensa ya Sita Tangu
Uhuru
Muungano wa
Tanzania Tunza siri
Sensa hii inafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a) || Taarifa zote zitakazokusanywa katika Sensa hii zitalindwa kwa sheria hii
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la Kuhesabia
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Watu (EA) SIRI
A01 Tafadhali nitajie idadi ya watu wote waliolala katika kaya hii usiku wa kuamkia siku ya Sensa
B01 B02 WANAKAYA B03 UHUSIANO NA MKUU WA KAYA B04 JINSI B05 UMRI B06 HALI YA NDOA (KUANZIA MIAKA 10+) B07NAMBA YA SIMU (MIAKA 15+)
Na. Tafadhali nitajie majina ya watu wote waliolala Je, [JINA] una/ana uhusiano gani na Je, [JINA] ni Je, [JINA] una/ana Ni ipi hali ya ndoa ya [JINA] kwa hivi sasa? Tafadhali nitajie namba ya simu
katika kaya hii usiku wa kuamkia siku ya Sensa, Mkuu wa Kaya? mwanamme au umri wa miaka hajaoa/hajaolewa, ameoa/ameolewa, wanaishi ya mkononi ya [JINA]
yaani usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne ya mwanamke? mingapi? pamoja, ameachana, ametengana, amefiwa na
tarehe 23 Agosti, 2022, ukianzia na jina la Mkuu wa mke/mume? JAZA NAMBA YA SIMU YA KILA
Kaya. JAZA UMRI KATIKA MWANAKAYA MWENYE UMRI
Mtoto wa Kiume/Kike
Hajaoa/Hajaolewa
Ameoa/Ameolewa
Wanaishi Pamoja
USISAHAU KUWAJUMUISHA WATOTO WACHANGA, KWA ALIYE CHINI YA
Ndugu Mwingine
Mkuu wa Kaya
WATU WALIOLALA KWENYE MSIBA WA JIRANI NA Mtu Mwingine MWAKA MMOJA JAZA
Ametengana
Ameachana
Amefiwa na
Mwanaume
WANAOFANYA KAZI ZA ZAMU ZA USIKU MFANO
Mwanamke
"00", IKIWA NI MIAKA
Mume/Mke
Mke/Mume
Asiyetaja
WAUGUZI, MADAKTARI, POLISI, WALINZI, N.K. 97 AU ZAIDI JAZA "97"
Mjukuu
0 1 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 2 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 3 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 4 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 5 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 6 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 7 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
0 8 1 2 3 4 5 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 6 7 7
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Na. Je [JINA] ni Je, [JINA] una/ana matatizo ya Je, [JINA] una/ana matatizo ya kusikia Je, [JINA] una/ana matatizo ya Je, [JINA] una/ana matatizo ya Je, [JINA] una/ana matatizo ya
mtu mwenye kuona hata ukiwa/akiwa hata kama unatumia/anatumia kutembea au kupanda ngazi? kukumbuka au kufanya kitu kwa kujihudumia kama vile kuoga au
ualbino? umevaa/amevaa miwani? shimesikio? umakini? kuvaa nguo?
Tatizo sana
Tatizo sana
Tatizo sana
Tatizo sana
Hana tatizo
Hana tatizo
Hana tatizo
Hana tatizo
Hana tatizo
Tatizo kiasi
Tatizo kiasi
Tatizo kiasi
Tatizo kiasi
Tatizo kiasi
Hahusiki
Hahusiki
Hahusiki
Hahusiki
Hahusiki
Hapana
Ndiyo
1 2 1 2 3 4 5 1 2 3 4 5 1 2 3 4 5 1 2 3 4 5 1 2 3 4 5
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la Namba ya
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA) Kaya
SIRI
Na. KWA KUTUMIA LUGHA YA Je, [JINA] una/ana aina nyingine ya ulemavu kati ya hizi zifuatazo? SWALI HILI LIULIZWE KWA KILA AINA YA SWALI HILI LITAULIZWA ENDAPO SWALI LA C01 NI GERESHO 1 AU KWA
KAWAIDA: Je, [JINA] una/ana ULEMAVU KUANZIA SWALI LA C02 HADI SWALI LOLOTE KUANZIA C02 HADI C07 GERESHO NI 3 AU 4 AU SWALI
matatizo ya Kuwasiliana kwa MSOMEE AINA ZOTE ZA ULEMAVU KAMA ZILIVYOORODHESHWA C07 IKIWA GERESHO NI 3 AU 4. C08 JIBU NI 1 KWENYE B,C NA D
kutumia lugha ya kawaida?;kwa HAPA CHINI
mfano kuelewa au kueleweka?
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 | Hajui = 9
Je, ni nini chanzo cha ulemavu Je, [JINA] una/ana kifaa saidizi kwa tatizo/ulemavu ulionao/alionao?
ulionao/alionao [JINA]?
Matumizi ya mihadarati
Mtu mwenye kibiongo
Msongo wa mawazo
Hawezi kuwasiliana
Ulemavu mwingine
Kifafa/Kukakamaa
Ulemavu wa akili
Kichwa kikubwa
Usonji (Autism)
Kuzaliwa nao
Mgongo wazi
Tatizo sana
Hana tatizo
Tatizo kiasi
Ugonjwa
Kupigwa
Hahusiki
Ukoma
ngozi)
Uzee
Ajali
1 2 3 4 5 A B C D E F G H I J K L M X A B C D E F G H I
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Kitongoji/Eneo la
Jimbo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Kuhesabia Watu Namba ya Kaya
Uchaguzi
(EA) SIRI
KAMA NI MTANZANIA, JAZA JAZA MAGERESHO YA NCHI HUSIKA JAZA GERESHO LA NCHI, MKOA NA JAZA GERESHO LA NCHI, MKOA NA JAZA GERESHO LA NCHI, MKOA NA
GERESHO 001 WILAYA IKIWA ANAISHI TANZANIA AU WILAYA IKIWA ANASHINDA TANZANIA WILAYA IKIWA AMEZALIWA
JAZA GERESHO LA NCHI KAMA NI NJE AU JAZA GERESHO LA NCHI KAMA NI TANZANIA AU JAZA GERESHO LA
YA TANZANIA NA KISHA NENDA SWALI NJE YA TANZANIA NA KISHA NENDA NCHI HUSIKA KAMA NI NJE YA
KAMA SI MTANZANIA JAZA JIBU ZAIDI YA MOJA LINAKUBALIKA LINALOFUATA SWALI LINALOFUATA TANZANIA
GERESHO LA NCHI HUSIKA, KWA
WENYE URAIA WA NCHI MBILI IKIWA NCHI ALIYOZALIWA
ANDIKA "888" MAGERESHO YA KISANDUKU CHA 8 HAIJULIKANI ANDIKA "999"
Kijijini = 1
Makao Makuu ya Mkoa/Wilaya = 2 ►IKIWA MHOJIWA AMEZALIWA
►IWAPO JIBU NI GERESHO LA Miji Mingine = 3 KWENYE MKOA AMBAO MAHOJIANO
NCHI HUSIKA NENDA SWALI LA YANAFANYIKA NENDA SWALI LA D10
D03
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Familia imehama/Kuungana na
Kutembelea ndugu/jamaa/rafiki
Kutafuta kazi/maslahi mazuri
Migogoro ya ndoa/familia
Kuhamia makazi mapya
► SWALI HILI WAULIZWE
Kufanya kazi ya malipo
Gharama za maisha
Uhamisho wa Kikazi
Masomo/mafunzo
MIAKA 11 AU ZAIDI
shughuli za uvuvi
Kulelewa
Ndoa
MM YYYY
01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11 12 13 14 15 16 17
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Na. Je, [JINA] una/ana vitambulisho vifuatavyo? Je, [JINA] una/ana nyaraka zifuatazo za kitaifa? ► IWAPO D01 SIYO MTANZANIA Je, baba mzazi wa [JINA] yuko hai?
ASIULIZWE SWALI HILI Je mama mzazi wa [JINA] yuko hai?
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 | Hajui = 9
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 | Hajui = 9 Je, [JINA] una/ana kitambulisho cha
► IWAPO D01 SIYO MTANZANIA ASIULIZWE C, E NA F mjasiriamali? Ndiyo = 1 | Hapana = 2 | Hajui = 9
SWALI LA E01F LIULIZWE KWA WATU WENYE UMRI WA
MIAKA 60 AU ZAIDI E02A1: IKIWA JIBU LA GERESHO LA A au B NI 1, ULIZA, Tafadhali nitajie Ndiyo = 1 | Hapana = 2 | Hajui = 9
namba ya kitambulisho cha NIDA cha [JINA]?
IKIWA GERESHO 2 AU 9 NENDA E03
E02C1: IKIWA JIBU LA GERESHO LA C NI 1, ULIZA, Tafadhali nitajie namba ya
kitambulisho cha Mzanzibar mkaazi cha [JINA]? E02F1: IKIWA JIBU LA GERESHO 1, ULIZA,
Tafadhali nitajie namba ya kitambulisho cha
Mjasiriamali cha [JINA]
Leseni ya udereva
Hati ya kusafiria
Mam
A B C D E F A B C D E JAZA NAMBA YA KITAMBULISHO JAZA NAMBA YA KITAMBULISHO Baba
a
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Kufanya/kutafuta kazi
nidhamu/Kufukuzwa
za kila siku?
Sababu za kifedha
magumu/hatarishi
Maradhi/Ugonjwa
Hajaanza shule
mgonjwa/mtoto
Utoro/Kukataa
Kuoa/kuolewa
Miundo mbinu
Kiswahili = 1 Anasoma =1 JAZA GERESHO LINALOHUSIKA
Kuhudumia
Kiingereza = 2 Ndiyo = 1 Aliachia =2
Mazingira
Utovu wa
Ulemavu
Ujauzito
Kiswahili na Kiingereza = 3 Hapana = 2 Amemaliza =3
Lugha Nyingine= 4 Hajawahi =4
Hajui kusoma na
kuandika= 5 01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11 12 13
►IWAPO JIBU NI GERESHO 1
AU 3 NENDA F04
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
Elimu ya Awali 00 Kiwango cha Elimu Geresho Kiwango cha Elimu Geresho
Darasa la Kwanza 01 Masomo ya Awali ya Sekondari 18 Chuo Kikuu na Vyuo Vingine Vinavyolingana (U) 15
Darasa la Pili 02 Kidato cha Kwanza 09 Mafunzo Baada ya Shule ya Msingi (M) 16
Darasa la Tatu 03 Kidato cha Pili 10 Mafunzo Baada ya Shule ya Sekondari (K) 17
Kitengo (Watu wenye ulemavu wa akili/ulemavu
Darasa la Nne 04 Kidato cha Tatu 11 19
wa afya ya akili)
• BIASHARA/KILIMO:KUTOKUWEPO KWENYE
BIASHARA/KILIMO
ulisaidia/alisaidia shughuli za
chakula/vinywaji; Ulijenga au
Ulifanya/alifanya shughuli ya
kutunza mifugo au uvuvi?
shughuli ya biashara yoyote
BIASHARA/KILIMO IKIENDELEA
Ulifanya/alifanya au
isiyohusisha kilimo?
Hapana
Hapana
Ndiyo
Ndiyo
malipo?
Ndiyo........1
1 2 1 2
Hapana.......2
1 2 3 4 5
►KAMA GERESHO 1 MPAKA 4 NENDA G05 ► KAMA JIBU NI GERESHO 1 NENDA G05 ► KWA JIBU LOLOTE NENDA G08
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Kitongoji/Eneo la Kuhesabia
Mkoa Wilaya Halmashauri Jimbo la Uchaguzi Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Watu (EA)
SIRI
B01 G05 AINA YA KAZI G06 MMLIKI WA KAZI/SHUGHULI G07 SHUGHULI KUU YA KIUCHUMI G08 WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NA MCHANGA G09 HALI YA AJIRA
Na. KARANI: MASWALI YAFUATAYO YANAHUSU Je, shughuli kuu unayofanya/anayofanya [JINA] inamilikiwa na nani? Je, ni ipi shughuli kuu ya kiuchumi katika Je, [JINA] katika kipindi cha miezi 12 iliyopita yaani kuanzia Je katika kazi hii ya uchimbaji wa
KAZI/SHUGHULI AMBAYO MHOJIWA ALITUMIA MUDA biashara au mahali [JINA] Agosti 2021 mpaka usiku wa kuamkia siku ya Sensa, mchanga au madini [JINA]
WAKE MWINGI KUIFANYA IKIJUMUISHA WALE unapofanyia/anapofanyia kazi ? ulifanya/alifanya kazi kama mchimbaji mdogo wa mchanga uliifanya/aliifanya kama nani?
AMBAO HAWAKUWEPO KAZINI KWA MUDA au madini yafuatayo?
ANDIKA SHUGHULI KWA KIREFU ANGALAU ► KAMA GERESHO Z NENDA SWALI LA G10
Katika shughuli kuu, Je, [JINA] ulikuwa/alikuwa/huwa KWA MANENO MAWILI
unajishughulisha/anajishuhulisha na nini? MSOMEE MAJIBU
Shirika la Umma
Ubia au Ushirika
Mwajiriwa wa kulipwa
Serikali Kuu
Mawe/kokoto
Tanzanite
Mchanga
Dhahabu
Kibarua
Almasi
01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11
GERESHO LA GERESHO LA
MAELEZO MAELEZO A B C D E F G Z 1 2 3 4 5
TASCO ISIC
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Na. Je, [JINA] katika mwaka wa kilimo wa 2021/22 umefanya/amefanya Je, ni aina gani ya Mazao? (Jaza mazao yasiyozidi mawili) Je, [JINA] una/ana haki gani ya umiliki wa ardhi uliyolima/aliyolima Je, ni aina gani ya Mifugo? (Jaza aina za Je, ni aina gani ya Shughuli za Uvuvi, Je, ni aina gani ya shughuli za
shughuli za kilimo zifuatazo? katika mwaka wa kilimo wa 2021/22? mifugo zisizozidi mbili) ukuzaji wa Viumbe Maji au kilimo cha Misitu/Miti? (Jaza shughuli zisizozidi mbili)
mwani? (Jaza shughuli zisizozidi mbili)
Mikataba ya mauziano
Shughuli za Misitu/Miti
Inamilikiwa vinginevyo
Hakujishughulisha na
Imekodiwa/kuazimwa
majongoo, kilimo cha
Ufugaji wa Mifugo
Kilimo cha Mazao
shughuli za kilimo
Umiliki wa kimila
mwani nk)
Hamiliki
Hajui
ZAO LA KWANZA ZAO LA PILI SHUGHULI YA 01 SHUGHULI YA 02 SHUGHULI YA 01 SHUGHULI YA 02
A B C D Z A B C D E F G Z MFUGO WA KWANZA MFUGO WA PILI
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Msaada/mkopo kutoka
rasmi/machinga? ANGALAU KWA MANENO MAWILI ndogo za ujasiriamali Machinga
Millioni 1 - 9,999,999
200,000 - 499,999
500,000 - 999,999
SACCOS/VICOBA
Mkopo kutoka kwa
Millioni 10 au zaidi
zaidi? Tanzania
10,000 - 49,999
50,000 - 99,999
Chini ya elfu 10
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 (SHIUMA)?
Vyanzo binafsi
Mkopo kutoka
kwa mfadhili
Machinga
► IKIWA JIBU NI GERESHO
kwa rafiki
pensheni
ushirika
mwajiri
mwajiri
2, NENDA SWALI H01 Ndiyo = 1
Hapana = 2
GERESHO
MAELEZO
LA ISIC 1 2 3 4 5 6 7 8 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
► KAMA GERESHO 4 AU 9 NENDA Ndiyo=1 | Hapana=2 | Hajui=9 Ndiyo=1 | Hapana=2 | Hajui=9 MSOMEE AINA YA MATUMIZI
H03
► KAMA GERESHO 2 na/au 9
KWA YOTE NENDA I01
Kompyuta mpakato
janja/Kishikwambi
mezani (Desktop)
Kompyuta ya mezani
Kufanya biashara za
Simu ya kawaida
Kompyuta mpakato
Hapana hamiliki
michezo/Burudani
Binafsi na kwa
Binafsi na kwa
Kompyuta ya
Simu ya kawaida
Kwa pamoja
Kwa pamoja
Kuwasiliana
mtandaoni
Kujifunzia
(Desktop)
pamoja
pamoja
Kucheza
Binafsi
Binafsi
Hajui
Hajui
Simu
1 2 3 4 9 1 2 3 4 9 A B C D A B C D A B C D E F
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
ME KE ME KE ME KE ME KE
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Jimbo la Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Uchaguzi Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
TAFADHALI JAZA TAARIFA ZA VIFO VILIVYOTOKEA KATIKA KAYA KWA KIPINDI CHA MIEZI 12 ILIYOPITA. BILA KUSAHAU VIFO VYA WATOTO
J01 Je, kuna kifo chochote kilichotokea katika kaya hii katika kipindi cha miezi 12 iliyopita? J02 Je, ni watu wangapi walifariki katika kipindi cha miezi 12 iliyopita?
(TAREHE 22 AGOSTI 2022 KURUDI NYUMA HADI 23 AGOSTI 2021)
J03 JINSI NA UMRI WA ALIYEFARIKI NA SABABU YA KIFO IWAPO ALIYEFARIKI NI MWANAMKE MWENYE MIAKA 10 HADI 49
J04 JINSI YA ALIYEFARIKI J05 UMRI ALIPOFARIKI J06 SABABU YA KIFO J07 WAKATI WA UJAUZITO J08 WAKATI WA KUJIFUNGUA J09 KIPINDI CHA WIKI SITA J10 MAHALI KIFO KILIPOTOKEA
Je, aliyefariki alikuwa Alifariki akiwa na umri Je, ni nini ilikuwa sababu kuu ya kifo? Je, kifo kilitokea wakati wa Je, alifariki wakati wa Je, alifariki ndani ya kipindi SWALI HILI LITAULIZWA
mwanaume au wa miaka mingapi? ujauzito? kujifungua? cha wiki 6 baada ya ukomo IWAPO SWALI LA J07 AU
mwanamke? wa mimba, bila kujali J08 AU J09 JIBU NI
Namba ya Kifo
zisizoainishwa
Ajali nyingine
Nyumbani = 1
Aliuwawa
Sababu
Uzazi
afya = 2
Njiani = 3
1 2 3 4 5 6 7 8
0 1
0 2
0 3
0 4
0 5
0 6
0 7
0 8
K06
kulala?
KULALA
kaya hii?
1
Inamilikiwa na kaya
SWALI LA K03
Mkoa
2
Kuishi bila kulipa kodi
3
Imepangishwa binafsi
4
Imepangishwa na mwajiri
5
nafuu
6
Inamilikiwa na mwajiri -Bila malipo
Wilaya
7
malipo nafuu
► IKIWA JIBU NI GERESHO 2 AU ZAIDI NENDA
K07
Halmashauri
1
Hati ya umiliki/warka (Title deed)
Maji ya bomba/mfereji ndani ya
01
2
makazi Leseni ya makazi
Barua ya toleo (Ofa)/Ushuhuda wa
3
Maji ya bomba/mfereji kwenye
02
eneo la nyumba malipo
MAJI YA KUNYWA
Umiliki wa kimila
Jimbo la
Uchaguzi
Bomba/mfereji wa jumuiya
5
Mikataba
Bomba/mfereji wa jirani
6
Kadi ya Usajili wa Ardhi (Zanzibar)
Kisima kirefu cha pampu
K02 HAKI YA KISHERIA JUU YA UMILIKI
7
Nyaraka ya Serikali ya Mtaa/Kijiji/Shehia
Kisima kilichofunikwa
8
Hana hati ya kisheria
Kisima kisichofunikwa
wa ardhi ulipojenga/alipojenga nyumba hii?
Tarafa/Wadi
Chemchem iliyojengewa
Je, una/ana haki gani ya kisheria juu ya umiliki
Chemchem isiyojengewa
Maji ya mvua
Maji ya chupa
03 04 05 06 07 08 09 10 11
1
Je, ni nini chanzo kikuu cha maji ya kunywa katika kaya hii?
Mabati
Maji yanayosambazwa kwa
12
2
mkokoteni/baiskeli/pikipiki Vigae
Kata/Shehia
13 14
K03 VIFAA VYA KUEZEKEA
Nyasi/Makuti
6
na kaya hii imeezekwa na nini?
Udongo na majani
7
Plastiki/Madebe
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Kijiji/Mtaa
Hema (Tent)/Kontena
nini?
Saruji/Simenti
K08 NISHATI YA KUPIKIA
2
02
4
Tarazo
Umeme wa jenereta/chanzo
03
5
binafsi
K04 VIFAA VYA KUSAKAFIA
Mkaa
04 05 06 07 08 09
1
nini?
Kuni Mawe
10
2
Matofali ya saruji/Simenti/Mawe
Mabaki ya mbao/pumba/mabua
3
Mbao
Haihusiki
11 12 13 99
6
Mbao na Mabati
SIRI
Mianzi/Miti na Udongo/udongo
K05 VIFAA VYA KUJENGEA KUTA
Nyasi/Makuti/Mabua
9
Vioo/Aluminiamu
inayotumiwa na kaya hii imejengwa na
Hema/Kontena
10
Je, sehemu kubwa ya kuta za nyumba kuu
1
Wakandarasi Umeme (TANESCO/ZECO)
01
2
Vikundi vya uzoaji taka Umeme wa mionzi ya jua (Solar)
02
Mkoa
3
Halmashauri Umeme wa jenereta/chanzo binafsi
03
kwa kuangazia?
4
na mamlaka ipi?
Watu/mtu binafsi Umeme wa gesi ya viwandani
04
`
yako zinakusanywa
Biogas
05
Umeme wa upepo
06
Wilaya
07
Mafuta ya taa (Kandili/Chemli)
08
Mafuta ya taa (Kibatari)
09
Mshumaa
10
Ndiyo = 1 | Hapana = 2
Kuni
taka za kielektroniki?
11
Tochi/Taa ya kuchaji
12
Halmashauri
K12 Je, taka kwenye kaya K13 Je, kaya yako ina utaratibu wa
Umeme unaotokana na mabaki ya miwa, katani, n.k
13
K09 Je, ni nini chanzo kikuu cha nishati kinachotumiwa na kaya hii
1
Zinachanganywa na taka nyingine
Choo cha kuvuta/Flush kwenda katika bomba la
01
2
Zinakusanywa na serikali maji machafu
3
Zinakusanywa na kampuni binafsi Choo cha kuvuta/Flush kwenda katika tenki la maji
02
machafu (septic tank)
4
Zinatupwa ndani ya eneo la kaya/mtaani
Choo cha kuvuta/Flush kwenda katika shimo
Tarafa/Wadi
03
5
Zinatupwa pembezoni mwa barabara lililofunikwa
6
Zinachomwa sehemu ya wazi
Choo cha kuvuta/Flush kwenda sehemu nyingine
04
7
Zinafukiwa chini
Choo cha shimo cha kisasa (VIP)
05
8
Zinauzwa/kugawa
9
Zinakusanywa na mtu binafsi Choo cha shimo kilichosakafiwa na saruji chenye
06
K10 Je, kaya yako inatumia choo cha aina gani?
mfuniko
K14 Je, ni njia gani kuu inayotumiwa na kaya
Haihusiki
99
Choo cha shimo kilichosakafiwa na saruji kisicho na
Kata/Shehia
07
mfuniko
A
Redio
Choo cha shimo kilichosakafiwa na udongo chenye
08
B
Simu ya mezani mfuniko
C
Simu ya kiganjani
09
na mfuniko
SEHEMU A: UTAMBULISHO
D
Baiskeli
Ndoo
10
Ndiyo = 1 | Hapana = 2
E
Gari
Hakuna choo/porini/shambani/ziwani/baharini
11
F
Pikipiki/Vespa
Kijiji/Mtaa
G
(Guta)
K15 UMILIKI WA VIFAA/RASILIMALI
H
(Bajaji)
I
Runinga (TV)
Je, kaya yako inamiliki vifaa/rasilimali zifuatazo?
J
Pasi ya umeme
K Pasi ya mkaa
Watu (EA)
Jiko la umeme/gesi
M
ngumu?
isipokuwa simu
Zinatupwa pembezoni mwa barabara/ mtaroni
04
Plau
Zinafukiwa/kutupwa kwenye shimo
05
Jembe la mkono
Namba ya Kaya
Toroli/Mkokoteni/Baro
Zinatupwa shambani/Kutengenezea mbolea
08
Maksai
Zinatupwa porini/korongo
09
Punda/Ngamia wa kazi
► IWAPO JIBU NI 3 HADI 9 NENDA SWALI LA K13
Nyumba
SIRI
Ardhi/Shamba
W
KWA JIBU LA "NDIYO", VIFAA HIVI LAZIMA VIWE VINAFANYA KAZI. WEKA JIBU LILILO SAHIHI KWA KILA KIFAA
Trekta
K11 Je, ni njia gani kuu inayotumiwa na kaya yako kutupa taka
Hamiliki
SEHEMU A: UTAMBULISHO
Kitongoji/Eneo la
Mkoa Wilaya Halmashauri Jimbo la Uchaguzi Tarafa/Wadi Kata/Shehia Kijiji/Mtaa Namba ya Kaya
Kuhesabia Watu (EA)
SIRI
Je, kaya hii ilitumia ardhi kwa uzalishaji Je, kaya hii ilipanda/ililima mazao yapi kati ya Je, kaya hii ilifuga au ilitunza Tafadhali, nitajie idadi ya ng'ombe, mbuzi, Je, kaya hii inatumia aina gani kuu ya ufugaji?
wa mazao katika mwaka wa kilimo yafuatayo katika mwaka wa kilimo 2021/22? ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kondoo, nguruwe, punda au kuku, kama
2021/22? punda au kuku kwa mwaka wa ilivyokuwa katika usiku wa kuamkia siku ya Sensa
kilimo 2021/22? Huria = 1
JIBU ZAIDI YA MOJA LINAKUBALIKA Ufugaji wa ndani (Shadidi) = 2
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 Ranchi = 3
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 Ufugaji wa kuhamahama=4
Ndiyo = 1 | Hapana = 2 IKIWA HAKUNA MIFUGO JAZA "00000"
► KAMA JIBU NI 2 NENDA L03
KAMA JIBU NI "1", Je, eneo la ardhi ► KAMA GERESHO NI 2 NENDA
lililotumika kwa kilimo lina ukubwa wa L06 SWALI HILI LIULIZWE KWA KILA AINA YA
ekari ngapi? MFUGO ULIOTAJWA KWENYE SWALI LA L04
Mbuzi Mbuzi
ENEO LA ARDHI ILI LIITWE SHAMBA NI Kondoo Kondoo
LAZIMA LIWE NA UKUBWA WA
Mpunga
Mahindi
Nguruwe Nguruwe
Mihogo
Punda Punda
A B C D E F G Kuku Kuku
L06 UVUVI/KILIMO CHA MWANI L07 UMILIKI WA SHAMBA LA MITI L08 UFUGAJI WA NYUKI
Je, kaya hii ilijihusisha na shughuli zifuatazo katika Katika kipindi cha mwaka wa kilimo 2021/22, Je, kaya hii ilijishughulisha na kilimo Je, kuna mwanakaya yeyote katika kaya hii anajishughulisha na ufugaji wa nyuki?
kipindi cha mwaka wa kilimo 2021/22? cha miti ya kupanda?
SHAMBA LA MITI NI KUANZIA NUSU EKARI AU ZAIDI Ndiyo, binafsi = 1 | Ndiyo, katika kikundi = 2 I Hapana= 3
JIBU ZAIDI YA MOJA LINAKUBALIKA
Ndiyo = 1 | Hapana = 2
Ndiyo = 1 | Hapana = 2
A Uvuvi
Ufugaji samaki/majongoo ya
B
pwani/kaa
Wanaume
Wanawake
Jumla
Tarehe ya Mahojiano D D M M Y Y Y Y
Mageresho Mapya ya Sensa ya Watu ya Mwaka 2022
Ngazi Geresho
Mkoa 2
Wilaya 2
Halmashauri 2
Namba/Orodha 1
Hadhi 1
Wilaya 1
Mji 2
Manispaa 3
Jiji 4
Jimbo la Uchaguzi 1
Tarafa/Wadi 1
Kata/Shehia 3
Kijiji/Mtaa 2
Kitongoji/Eneo la Kuhesabia (EA) 3
16
29 |