Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI


WAKALA WA UFUNDI NA UMEME TANZANIA
(TEMESA)

Unapojibu tafadhali taja:

Kumb.Na TMS/MV/KMK/GEN/10/125 Tarehe: 09 Januari, 2023

Mtendaji Mkuu
Mtaa wa NCC-Tambukareli
S.L.P 1075
DODOMA TANZANIA

YAH: HALI YA MATENGENEZO YA MV KILINDONI

Tafadhali rejea barua yako yenye kumb: Na. BA. 188/368/02A/64 ya tarehe
04 Januari, 2023 inayohusu somo tajwa hapo juu.

2. Napenda kukufahamisha kuwa, Ofisi ya kanda ya Mashariki na Kusini-TEMESA


inafuatilia na kusimamia kwa ukaribu matengenezo ya MV Kilindoni ambayo
yanafanywa na Mkandarasi SONGORO. Kwa barua yako, matengenezo yalifanyika
mpaka sasa ni kama ifuatavyo;
 Kivuko(Feri) imepandishwa “Dry docked and staged on shore
 Kivuko kimefanyiwa “sandblasting” eneo la “car deck” na “portside pamoja
“staboard side”
 “Steel fenders” zilizoharibika zimeshaondolewa na maandalizi ya kuchomea
mpya yameanza
 Rangi za awali (“Primer”) zimeshapakwa kwenye “car deck” na “portside na
“starboard side”
 “Propeller” mpya zimeshafika kwa ajili ya kubadili zilizopinda.

3. Hivyo Ofisi ya TEMESA Kanda ya Mashariki itazidi kutoa taarifa ya hali ya


matengenezo hayo na kuendelea kumsimamia Mkandarasi ili aweze kumaliza kazi
hiyo kwa wakati

4. Naomba kuwasilisha,

Mha. Lukombe M. King’ombe


Meneja Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini

TEMESA OFFICES , Barabara ya Nyerere, Eneo la Viwanda – Keko Mwanga, S.L.P 70704, Dar es Salaam.
Baruapepe: m.feszone@temesa.go.tz, Tovuti: www.temesa.go.tz

You might also like