Professional Documents
Culture Documents
Maazimio Ya Somo I 2023
Maazimio Ya Somo I 2023
Maazimio Ya Somo I 2023
M W VIPI
UMAHIRI UMAHIRI SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI W IK NDI
REJEA VIFAA/ZANA ZA ZANA ZA MAONI
MKUU MAHUSUSI EZ I UFUNDISHAJI UPIMAJI
Utambuzi wa Kutenganisha sauti za irabu zilizounda M 2 T.E.T 2015. Kadi za herufi na Maswali
KUSOMA sauti na maneno kwa kuzitamka. A 05
Mwongozo wa konsonanti na majibu
herufi Kuhusianisha sauti na konsonanti b, m, k, C mwalimu.
d, n na herufi kubwa na ndogo H kitabu cha
Kuhusianisha sauti na konsonanti l, t, p, s, I
2 05 kiada na Kadi za Maswali
f, j kiongozi cha konsonnti na majibu
Kuhusianisha sauti na konsonanti g,y, z, h, 3 10 mwalimu Kadi za haerufi Maswali
kwa kutumia kadi za herufi. 2018 na majibu
4 MITIHANI YA NUSU MUHULA WA KWANZA
MTIHANI WA NUSU MUHLA WA KWANZA (31 HADI 18, APRILI, 2023)
Kuhusianisha sauti za consonant v, r, w, ch A 2 T.E.T 2015. Kadi za herufi Maswali
P 10 Mwongozo wa na majibu
Kuunganisha na kutamka sauti sa R 3 10 mwalimu. Kadi za silabu Maswali
konsonant na irabu ili kuunda silabi. I kitabu cha na majibu
Kubainisha silabi zinazounda na irabu L 4 10 kiada na Kadi za silabi na Maswali
kiongozi cha irabu na majibu
Kuwaongoza kubaini majina ya wanafunzi J mwalimu Majina Maswali
yanayoanza na silabi za irabu katika darasa U 2018 yaliyoanda ikiwa na m
lake na kutenganisha silsbi kwa kutamka. N 1 05 yanayoonza na Maswali
Kutengenisha kwa kutambua sauti za I silabi, kadi za na majibu
konsonant na irabu zinaounda silabi. T.E.T 2015. herufi ajibu
Kuunganisha silabi zinazoundwa na herufi 1 05 Mwongozo wa Kadi za herufi Maswali
24 ili kuunda maneno na kuyatamka. mwalimu. na majibu
Kuunganisha kwa kutamka silabi moja 2 10 kitabu cha Kadi za herufi Maswali
moja zilizounda maneno yanayotokana na kiada na na majibu
herufi 24 kwa kutamka. kiongozi cha
Kuhusianisha herufi kubwa na ndogo zote kwa mwalimu
Kadi za herufi Maswali
kuzisoma katika maneno. 2018
3 10 kubwa na na majibu
M
Kuunda na kusoma sentensi zinazoundwa na ndogo. Sentensi
W
maneno yanayotokana na silsbi za consonant EZ
za kile kundi kwa kutumia kadi za maneno. W
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI IK
VIPI
UMAHIRI I VIFAA/ZANA ZA ZANA ZA
UMAHIRI NDI REJEA MAONI
MAHUSUSI UFUNDISHAJI UPIMAJI
MKUU
U
K
4
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA
LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA ( 31 MEI HADI JULAI 03, 2023)
M W VIPI
UMAHIRI UMAHIRI SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI W IK NDI
REJEA VIFAA/ZANA ZA ZANA ZA MAONI
MKUU MAHUSUSI EZ I UFUNDISHAJI UPIMAJI
Kusoma kwa Kusoma kifungu cha habari kwa ufasaha 1 10 T.E.T 2015. Habari, vitabu Maswali
ufasaha matamshi sahihi ya maneno. Mwongozo wa vya hadithi na majibu
Kusoma kifungi linganifu cha habari kwa O mwalimu. Vitabu vya Maswali
kasi inayostahili kuwaongoza kusoma C 2 10 kitabu cha hadithi ngazi na majibu
kifungu linganifu cha habri kwa kufuata T kiada na simbuzi
vituo na sauti ya hisia, nukta, mkato, O kiongozi cha
alama ya kuuliza mshangao B mwalimu
Ufahamu wa Kuwaongoza kutafsiri na kueleza picha A 3 10 2018 Chati za picha Maswali
kusoma na kwa kutumia chati za picha. na majibu
kusikiliza Kuwaongoza kusikiliza kifungu linganifu 4 10 Chati za picha Maswali
KUSOMA
AZIMIO LA KAZI
UMAHIRI MKUU : KUSOMA
MUHULA: I & II
MWAKA: 2023
UMAHIRI MKUU
1. Lugha ya mazungumzo
2. Utambuzi wa sauti.
6. Matumizi ya msamiati.
2
&
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA
3
LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA (31 MEI HADI JULY 03, 2023)
Matumizi ya Kuwaongoza wanafunzi kufanya mazoezi J 1 T.E.T. 2015, Visoda , mawe. Maswali
matendo ya kutoa namba isiyozidi 99 U & 16 mwongozo na majibu,
katika namba L 2 wa mazoezi
Kuwaongoza kufanya mazoezi ya kutoa A mwalimu, Visoda, mawe, Maswali
3
namba ya kati ya 1 hadi 99 I 8 kitabu cha vijiti, na majibu,
kiada na mazoezi
kiongozi cha
mwalimu
M
UMAHIRI SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI W WI VIPI VIFAA/ZANA ZA ZANA ZA
MKUU EZ KI NDI
UFUNDISHAJI UPIMAJI
i
UMAHIRI REJEA MAONI
MAHUSUSI
Kutambua Kuwaongoza wanafunzi kufanya mazoezi 4 8 Vitu halisi, Maswali
KUHESABU uhusiano wa kuhusianisha idadi ya vitu halisi na namba machungwa, na majibu,
vitu na hadi 10 kujenga dhana ya idadi ya J T.E.T. 2015, karatasi, michoro, mazoezi
namba maudhui na namba. U mwongozo na matunda
Kuwaongoza wanafunzi kutumia vitu L 1 4 wa Vitu halisi, mazoezi
vizima kutambua ½ A mwalimu, machungwa
Kutumia vitu vizima kutambua ¼ I 4 kitabu cha Kadi za robo ¼ mazoezi
Kutumia mafungu ya vitu kutambua nusu & 2 4 kiada na Kadi za nusu ½ mazoezi
½ A kiongozi cha
Kutumia mafungu ya vitu kutambua robo G 4 mwalimu Kadi za robo ¼ mazoezi
¼ O
Kutumia mazoezi ya kuandika ½ S 4 Michoro ya ½ mazoezi
Kutumia kadi za ½ kuainisha michoro T 2 Kadi za nusu ½ mazoezi
mingine I 3
Kutumia kadi zenye picha za sarafu/noti 2 Sarafu na noti za mazoezi
kutambua sarafu na noti za Tanzania kitamania
1 MITIHANI YA NUSU MUHULA WA PILI.