Professional Documents
Culture Documents
Ratiba Ya Chakula
Ratiba Ya Chakula
SIKU ASUBUHI (12:00 - 2:00 Asubuhi) MCHANA (6:30-7:30 Mchana) JIONI (12:30-12:00 Jioni)
MILK TEA + MKATE + BOILED UGALI MAHARAGE + MBOGA ZA PLAIN WALI + MAHARAGE +
JUMATATU
EGG MAJANI MBOGA ZA MAJANI
MILK TEA +
JUMANNE CHIPS YAI NDIZI MSHALE + UTUMBO
MZUZU/VIAZI/MIHOGO
MILK TEA + CHAPATI ZA MAJI + UGALI + SAMAKI + MBOGA ZA MASHED POTATOES + MEAT
ALHAMISI
SAUSAGE MAJANI STEW
· ICE CREAM
· FRESH JUICE
· MATUNDA KULINGANA NA MSIMU
· FROZEN SAMOSA
KIDS SPECIAL: OATS + COCONUT PORRIDGE + NUTS PORRIDGE
RATIBA YA USAFI - 2023
SIKU MAHALI AINA YA USAFI
1. Kufua neti
2. Kuanika Magodoro
3. Kutoa Buibui
JUMATATU Usafi wa vyumbani kote 4. Kupangusa kila mahali mpaka uvunguni mwa vitanda
5. Kupangilia vyema nguo
6. Kufuta vumbi viatu na kuvipangilia
JUMANNE Usafi wa madirisha 1. Kusafisha nje na ndani
1. Kupangusa makabati ya vyombo nje na ndani
JUMATANO 2. Kuosha Jiko ndani na nje na uvunguni
Usafi wa Jikoni 3. Kusafisha na kupanga Fridge
4. Kusafisha Microwave na Mashine zingine vyema
5. Kukagua na kunoa visu butu
1. Kutoa Buibui vibarazani
2. Kupangusa vumbi milangoni
ALHAMISI Usafi wa Mazingira ya Nje 3. Kutoa chuma la geti na kusafisha chini
4. Kukagua maua na kufyeka majani nje ya Geti
5. Kusafisha vema Library na Home Office
1. Kutoa Buibui
IJUMAA Usafi wa Sitting room na Dinning room 2. Kufuta vumbi Feni na sofa
3. Kuanika zulia
4. Kusafisha sofa Once In 2 months
JUMAMOSI Usafi wa vyooni 1. Safisha ukuta wote
2. Toa Buibui
3. Sugua Malapa, Brush na ndoo na makopo ya Bafuni
JUMAPILI Mapumziko na Ibada
UTARATIBU WA MATUMIZI YA MUDA KWA SIKU - WATOTO
MUDA TUKIO
Kuamka + Kusali + Kutandika Kitanda + Kujiandaa + Kunywa chai + Kuomba pamoja + Kujisomea wakati
11:00 - 12:00 wa kusubiria school Bus
12:00asb-
10:00jioni Shuleni
10:00 -12:00 jioni Kubadilisha Nguo + Kupata Bites + Kufanya Homework + Kucheza
saa 12:00-1:50 Kujisomea na mama + Kula + Kuoga + Kusali
saa 2:00 Usiku Kulala
JUMAMOSI, JUMAPILI NA PUBLIC HOLIDAYS
Ratiba wanatofautiana
TV - Kuangalia siku nzima Jumapili
Kucheza Jumamosi Baada ya Jumuiya + Kufua + Kujisomea
WENGINE
11:00 - 12:00
Asb Kuwaandaa watoto na Chai Mama
Kuokota uchafu Garden + Kufanya usafi nje + Kumwagilia maua + Usafi mkubwa na wa kawaida ndani +
12:00-5:00 Asb kufua
5:00 - 6:00
Mchana Kuandaa chakula cha Mchana na kupata lunch
6:00 - 9:00
Mchana Kupumzika
9:00 - 12:00 Jioni Kuandaa chakula cha usiku
12:00 - 2:00 Kusimamia watoto waoge + Kula + Kusafisha Jikoni na pengine na kupapangilia kila kitu kikae mahali pake +
Usiku kuomba
Kulala