Professional Documents
Culture Documents
Work Kiswahili
Work Kiswahili
Work Kiswahili
SUBJECT KISWAHILI
CLASS BTEC 1
Deadline 15/6/2022
JARIBIO LA KISWAHILI
HABARI
Saa, majira au msimu na uelekeo wa dunia ni mambo matatu muhimu sana katika maisha
yetu. Saa ni muda unaochukua dakika sitini ama ni sehemu moja ya ishirini na nne
zinazokamilisha siku. Hali kadhalika, saa ni chombo cha kupima wakati. Lakini kipindi ni
muda mrefu ambapo jambo Fulani hutokea. Nao uelekeo wa dunia wa dunia ni pande za
dunia. Pande hizo zaweza kuwa nne, nane, kumi na sita, thelathini nambili, sitini na nne na
kadhalika. Hata hivyo asili ya pande hizo ni moja tu.
Tayari sasa unaweza kutaja ni saa ngapi kwa kuingilia tu saa yenyewe. Lakini litakuwa jukumu
lako kuifunza hiyo saa kwa wanafunzi wako wasioielewa. Nayo hiyo ndiyo kazi kwa sababu
saa ya Kiswahili ina asili ya mpangilio wa kizungu. Mathalani, unaposema, “Sasa ni saa moja”,
ile kumi na saba na mbili huwa hazina maana katika Kiswahili. Hivyo basi, ni lazima uisome ile
saa na halafu uitafsiri kwa Kiswahili.
Hata hivyo, yapo maneno kadhaa yanayohusu Kiswahili. Maneno hayo ni kama vile kasoro,
kasorobo, robo, dakika, nukta, nusu, tia funguo, akrabu, uso, rekebisha. Saa moja ina dakika
sitini nayo dakika moja ina nukta sitini. Nazo saa ishirini na nne huwa ni siku moja.
Robo ya saa ni dakika kumi na tano na kasoro ni “baki dakika” fufani. Hivyo unaweza
kusema, “sasa ni saa mbili kasoro dakika mbili.” Lakini kasorobo ni baki dakika kumi na
tano.
Nako kutia funguo saa ni tofauti na kuirekebisha saa hiyo. Ukitia funguo huwa unaiongezea
nguvu za kuenda lakini ukiirekebisha huwa unasawazisha. Vivi hivi, akrabu ni tofauti na uso
wa saa. Akrabu ni mikono ya saa. Kuna akrabu fupi na akrabu ndefu. Nazo nambari
huandikwa kwenye uso wa saa.
Kwa upande mwingine, majira yako tofauti kidogo. Ipo misimu mikuu mitatu mine hapa
petu. Kwanza kabisa, upo msimu wa masika. Wakati huu huwa wa mvua nyingi. Mnamo
wakati wa msimu huu huwepo kipupwe. Kipupwe ni msimu wa baridi. Hiki kipupwe hapa
petu huwepo mnamo miezi ya Juni, Julai na hata Agosti.
Baada ya msimu wa masika, hufika ule wa kiangazi. Huu nao ni wakati wa jua kali lenye joto
jingi. Hali hii hutokea kwa kuwa hapana mvua inyeshayo.
Kati ya misimu hii miwili, huweza kuwepo msimu wa vuli. Wakati huu huwa wa kati kwa kati,
yaani, huweza kuwepo mvua kidogo na jua kiasi.
Mbali na misimu hii, upo uelekeo wa dunia. Huu uelekeo wa dunia pia waweza kuitwa pande
za dunia. Kiasili upo upande mmoja tu wa dunia, yaani Kaskazini. Kutokana na asili hii
zinaweza kupatikana nyingine chungu nzima. Pande hizi zote zina lengo la kutuwezesha kujua
tuliko na pia ziliko sehemu nyinginezo. Unaweza kupata pande kumi na sita peke yake.
Unaweza kuendelea na ukapata pande thelathini na mbili, sitini na nne na kadhalika.
Kumbuka hapa kuwa pande hizi hufunzwa julingana na uwezo wa kufahamu walio nao
wanafunzi wanaofunzwa. Kwa mfano, huwezi kufunza pande thelathini na mbili katika
darasa la nne, la. Maongezi zaidi kuhusu jambo hili huweza kupatikana katika silibasi
ihusikanayo.
A) saa:… ……………………………………………………………………………………
b) uelekeo: …….………………………………………………………………………………
MATUMIZI YA LUGHA
c) Laki moja……100,000…………………
e) robo tatu……3/4……………………
b) machungwa: …machungwa………………
c) maziwa: …nyeupe…………………………………………
d) makaa: …nyeusi…………………
e) majani: ……kijani……………………………
mwanafunzi Wanafunzi
kitabu vitabu
mwanaume Wanaume
kidole Bidole
fisi fisi
11. Geuza kwa wingi maneno yakiyopigiwa msitari kasha ukosoe makosa. Maksi 5
… Mbuzi amekinjwa…………………
4 | P a g e