Kama Bwana Ukikumbuka

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

KAMA BWANA UKIKUMBUKA

T.B. Pg 161 S 4 (ub)


Harm. : Félix MAFO

Sop.

 4                  
Alto

K/ Ka ma Bwa na u ki ku mbu ka za mbi ze tu zo


Kwe li na ni a nge si ma ma twa o mba hu ru

Tenor 4         
   
  
         
Bass

1. 2.
S.
A.
4              
te ; E e kwe li 1. To ka chi ni twa ku li li a,

T.       ma
      
  
  
B.

S.
A.
8            
ee Bwa na Mwo ko zi we tu , U si ki e

T.
  
     
           
B.
      
11
        
S.
A.     
sa u ti ye tu , ya li a hu ru ma . A ka ma

T.
  
     
           
B.

2. Ewe Bwana, usikilize sauti ya maombi yetu,


Ukikumbuka zambi zetu nani angeokoka ?

3. Lakini kwako kuna msamaha wa zambi zetu nyingi mno;


Ili utumikiwe Bwana, kwa mapendo ya kweli.

4. Twatumaini, Bwana wetu, Neno lako takatifu,


Litukuze roho zetu, kwa njia ya mbinguni.

5. Roho zetu zinamngoja Bwana, kuliko hata wakesha,


Wangojeao asubui, iwapatie mwanga.

6. Kuliko wakesha wangoja, Eklezya yamngoja Bwana,


Maana kwake kuna huruma, na uokovu mwingi.

7. Yeye ataokoa Eklezya, katika maovu yote.


Raha ya kweli utupatie, na mwanga wa milele.

(Zab. 129)

You might also like