Professional Documents
Culture Documents
Kazi Ya Makundi Mmu Jan Hadi April 2022
Kazi Ya Makundi Mmu Jan Hadi April 2022
KAZI YA MAKUNDI
S1. Wewe ni mwanahabari katika kituo cha runinga cha KTN, umepewa jukumu la
kumhoji Gavana wa Bungoma kwa muda wa dakika 30, kufuatia tuhuma za matumizi
mabaya ya pesa katika kaunti yake. Andaa maswali yatakayokuelekeza katika mahojiano
S2. Mkuu wa kitengo cha filamu katika runinga ya Citizen amekupa jukumu la kuandaa
mswada mfupi wa filamu inayoonyesha changamoto za mtoto wa kiume. Andaa mswada
kwa kutumia maneno yasiyozidi 350.
S3. Ajali mbaya imetokea katika barabara kuu ya Mombasa jijini Nairobi. Wewe ni
mwanahabari katika kituo cha runinga cha K24, kwa maneno yasiyozidi 250, andika ripoti
ya ajali hiyo.