Professional Documents
Culture Documents
Huku Ukitolea M-WPS Office
Huku Ukitolea M-WPS Office
SUBMITTED BY:
VICTOR KIPNGETICH-
*KITAIFA NA KIMATAIFA*
Hoja zifuatazo zijadiliwe
Lazima lugha hiyo iweze kujitokeza kama lugha unganishi katika mambo yanayohusu ubadilishanaji wa
kiutamaduni baina ya jamii.Nao utamaduni unahusu mambo mengi kama vile vifaa vya ujenzi, vya
upishi, vya muziki na kadhalika.Utamaduni pia waweza kuwa wa kimazingira, kijamii, kidini, kisiasa, au
kiutawala.
Mtu anapozungumza lugha ya kiswahili hudhihirisha kua ni mzalendo kwani kiswahili kimefanya ku lugha
rasmi katika taifa mbalimbli
Ni lugha inayotumika kuendeshea mikutano na shughuli rasmi zakimataifa.Kiswahili ni moja kati ya lugha
zinazotumiwa kama lugha rasmi katika mikutano ya Umoja wa Afrika.
Kutokana na hadhi mpya, Kiswahili kinatarajiwa kuanza kutumiwa kufundishia masomo mengine katika
viwango mbalimbali vya elimu nchini. Maandalizi yatahusu utayarishaji wa mitalaa mipya ya elimu katika
viwango mbalimbali. Aidha, vitabu vitakavyohitajika ili kufundishia masomo katika viwango anuwai vya
elimu sharti viandikwe kwa Kiswahili. Mafunzo kwa walimu vyuoni yanatarajiwa kufanywa kwa Kiswahili
kama njia ya kuwaandaa wahusika kufundisha katika taasisi za elimu nchini.
Tunafurahi lugha hii ni ya ulimwengu mzima na itatusaidia katika kufanya biashara hapa kwetu barani
Afrika kwa kuwa watu wameitambua si tu kama lugha rasmi bali lugha ya kutumika katika
biashara.”Amesema lugha hii itasaidia pakubwa hasa kwenye ukuaji wa jumuiya na kuelewana kwa
mambo tofuati “wananchi wanaweza kuwasiliana baina ya nchi na nchi, wataweza kufanya biashara na
kukubaliana kwa kutumia lugha ya Kiswahili.”
(viii) Siasa
Katika ngazi ya kitaifa, lugha ya Kiswahili ilitumika kama lugha ya kuwaunganisha Wakenya katika
mchakato wa kupiga kura.Lugha ya Kiswahili ina mchango mkubwa katika kufanikisha sera, ajenda na
manifesto ya kisiasa nchini Kenya. Ingawa manifesto ya vyama vya kisiasa ziliandikwa kwa Kiingereza,
walitumia Kiswahili katika kusisitiza masuala yenye umuhimu ili kuwashawishi wapiga kura. Kwa mfano,
majina ya vyama miungano ya vyama ina majina kwa Kiswahili. Kwa mfano, Azimio la Umoja, Kenya
Kwanza, Agano.
(ix) Elimu
Kutokana na hadhi mpya, Kiswahili kinatarajiwa kuanza kutumiwa kufundishia masomo mengine katika
viwango mbalimbali vya elimu nchini. Maandalizi yatahusu utayarishaji wa mitalaa mipya ya elimu katika
viwango mbalimbali. Aidha, vitabu vitakavyohitajika ili kufundishia masomo katika viwango anuwai vya
elimu pia inayotumika kuendeshea mikutano na shughuli rasmi zakimataifa.
Kiswahili ni moja kati ya lugha zinazotumiwa kama lugha rasmi katika mikutano ya Umoja wa
Afrika.sharti viandikwe kwa Kiswahili. Mafunzo kwa walimu vyuoni yanatarajiwa kufanywa kwa Kiswahili
kama njia ya kuwaandaa wahusika kufundisha katika taasisi za elimu nchini. Maafisa wa elimu katika
ngazi tofautitofauti watahitajika kujifunza Kiswahili ili kujitayarisha kwa jukumu la kuelekeza mipango ya
elimu katika maeneo yao. Hali hii inatarajiwa kudhihirika katika taasisi za elimu ya juu kama vile vyuo
vikuu ambavyo vitatakiwa kuweka mikakati imara ya kuziwezesha kuimarisha mawasiliano kwa Kiswahili
miongoni mwa wataalamu wa masomo mbalimbali. Hii inamaanisha kuwa lugha ya Kiswahili
imestawishwa sambamba na Kiingereza kuitayarisha kukidhi mahitaji ya kufundishia masomo
mbalimbali.
x]Bunge
Katiba mpya inakitambua Kiswahili kama lugha rasmi sambamba na Kiingereza. Ni wazi kuwa hali hii
mpya itachangia pakubwa katika kutimizwa kwa ndoto ya wasomi wa Kiswahili na hata viongozi wa
kisiasa barani Afrika ambao wamekuwa wakipendekeza kuwa Kiswahili kiwe lugha inayotumiwa katika
shughuli rasmi kote barani Afrika.
. Sayansi na teknolojia huenezwa kwa lugha rasmi. Maendeleo katika uwanja huu ni muhimu kwa nchi
yoyote ulimwenguni. Maarifa katika sekta hiyo ni kichocheo kikuu cha ustawi wa jamii, hususani
kiuchumi. Ili lugha ya Kiswahili iweze kutumika katika shughuli za kisayansi na kiteknolojia, istilahi za
kurejelea masuala mbalimbali husika zitahitaji kubuniwa na kusanifishwa. Ni kupitia juhudi hizi ambapo
lugha hii itakuwa na uwezo wa kutumika katika sekta hii huku ikikumbukwa kuwa dhana husika ni ngeni
na zimekuwa zikirejelewa kwa Kiingereza kwa miaka
(xii)Sheria
Kiswahili Hutumika katika kutunga Sheria za nchi mifano ni nchini Tanzania kiswahili inatumika kutunga
sheria
Wanasiasa wanapotangaza sera zao hua wanatumia lugha ya kiswahili. Pia rais anapotangaza sera za
serikali hutumia lugha ya kiswahili
Kwa sasa Kiswahili ndiyo lugha rasmi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na imependekezwa kama lugha
mojawapo ya Muungano wa Afrika. Isitoshe, Kiswahili ni lingua franca katika eneo zima la Afrika
Mashariki na hata Kati. Hivyo, kuifahamu lugha hii kwa ufasaha utaleta manufaa si haba ikiwemo
ajira.Kama vile ualimu na utangazaji katika maredio
Kuwezesha uandishi wa vitabu, majarida, habari, utangazaji, magazeti, blogu na mengine mengi ya
kuleta mapato.
ha inayotumika kuendeshea mikutano na shughuli rasmi zakimataifa kiiswahili ni moja kati ya lugha
zinazotumiwa kama lugha rasmi katika mikutano ya Umoja wa Afrika.