Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 14

W I ZA R A YA U T AMAD U N I, SA N AA N A MIC H E ZO

Toleo la Mtandaoni: 04 | 06 Agosti, 2022 - TABORA | www.michezo.go.tz

FAINALI ZA MABINGWA
UMITASHUMTA 2022 ZAKARIBIA
MICHEZO UMITASHUMTA YAELEKEA
KWENYE MICHUANO YA
FAINALI ZA MABINGWA

06 Agosti, 2022
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Mtwara, Njombe Zatinga Fainali ya


Soka Umitashumta kwa Wenye
Ulemavu

Na Bryson Mshana – TABORA

Timu za Mpira wa Miguu nusu fainali iliyochezwa leo kwa sare ya 0 – 0.


kwa wanafunzi wenye Agusti 06, 2022 kwenye
ulemavu wa kusikia na kuon- viwanja B na C vya Shule ya Goli pekee la timu ya mkoa
gea kutoka Mikoa ya sekondari wavulana Tabora, wa Mtwara lilifungwa dakika
Mtwara na Njombe, zime- timu ya Mtwara imepata ya 52 na mchezaji wake
fanikiwa kuingia fainali ya ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya tegemezi Raymond Ndaka,
mashindano ya michezo Iringa, huku Njombe ikiin- ambalo lilidumu hadi dakika
kwa shule za msingi (UMI- doa mashindanoni Dar es ya mwisho ya mchezo huo
TASHUMTA) yanayoendelea salaam kwa mikuwaju ya na kuipa Mtwara tiketi ya
kitaifa Mkoani Tabora. penati 2 – 1 baada ya kumal- kuingia hatua ya fainali
iza muda wa kawaida ambapo itakutana na ma-
Katika michezo miwili ya wakiwa wametosha nguvu bingwa wa tetezi Njombe.

01
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Kocha wa kikosi cha Mtwara di Joseph amesema wa fainali dhidi ya Mtwara


Shazili Nangulukuta, amese- michezo wao dhidi ya Dar es kuwa utakuwa wa kusisimua
ma amefurahi vijana wake Salaam ulikuwa wa ushin- kwani wanafahamiana vizuri.
kufika hatua ya fainali, na dani mkubwa ndio maana
sasa wanaangalia mchezo ulienda hadi hatu ya matuta. Mtwara na Njombe zilikuwa
huo utakaopigwa jumatatu kwenye kundi D katika
tarehe 08, 2022. “Ulikuwa mchezo mgumu, hatua za awali za mashinda-
Dar es Salaam wana timu no ya mwaka huu, na wali-
“Awali tulikuwa na malengo nzuri lakini wachezaji wangu pokutana kwenye mchezo
ya kufika robo na nusu faina- wamepambana na tumesh- wao kwenye ngazi ya
li, tuliweza kupambana na inda japo kwa matuta lakini makundi mtwara ilishinda 3
kufanikiwa, sasa tumeingia ushindi ni ushindi na sasa – 2, hivyo mchezo wa fainali
hatua kubwa zaidi ya fainali tunajipanga kwa fainali unatarajiwa kuwa mgumu
ambayo ni ngumu pia, dhidi ya timu ngumu ya na kusisimua.
naamini tutafanya vizuri na Mtwara” amesema Mwak-
kubeba ubingwa” ameeleza abidi. Njombe ni Bingwa mtetezi
Kocha Nangulukuta. wa mchezo wa soka kwa
Kapteni wa timu ya mkoa wa wavulana wenye ulemavu
Naye Kocha wa Timu ya Njombe Isack Sanga, wa kusikia na kuongea kwa
Mkoa wa Njombe Mwakabi- wameuelezea mchezo wao UMITASHUMTA 2021.
02
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Wanafunzi Makundi Maalum


Waiunga Mkono SensaBika

Na Shamim Nyaki – WUSM

Wanafunzi wenye mahitaji kumaliza mechi ya Nusu uelewa mzuri kuhusu Sensa
maalum ambao wanashiriki fainali, kwa upande wa Soka na wamehamasika vya kuto-
michezo ya shule za Msingi la Wavulana wa kundi hilo, sha na kupitia nafasi waliy-
(UMITASHUMTA) mwaka wameeleza kuwa wame- opata kuonesha vipaji vyao
2022, mkoani Tabora, hamasika sana na Kampeni ni jambo kubwa na wameli-
wameelezea kuwa wako ya SensaBika na wapo tayari furahia.
tayari kuhesabiwa katika kuhamasisha wenzao
Sensa ya Watu na Makazi wengine kushiriki zoezi hilo. Michezo ya UMITASHUM-
inayotarajiwa kufanyika TA mwaka huu, inaenda
Agosti 23, 2022. Naye Kocha wa Mkoa wa sambamba na Kampeni
Njombe katika kundi hilo, maarufu ya kuhamasisha
Wakizungumza katika Bw. Mwakibibi Joseph Sensa inayojulikana kama
wakati tofauti baada ya amesema vijana wana SensaBika.

03
Kapteni wa timu ya mkoa wa Njombe mpira wa miguu kundi maalum Isack Sanga akiSensaBika.
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Mtwara, Njombe Kukutana Fainali


UMITASHUMTA Makundi Maalum

Na Shamim Nyaki – WUSM

Mpira wa Soka Wavulana lililofungwa na Raymond Kwa matokeo hayo sasa


kwa Makundi Maalum katika Ndaka dakika ya 52 ambalo Njombe ambao ni mabing-
mashindano ya Michezo limewapa nafasi ya kuingia wa watetezi watakutana na
kwa Shule za Msingi (UMI- fainali. Mtwara katika fainali
TASHUMTA) mwaka 2022 itakayochezwa Agosti 08,
umefika hatua ya fainali Mkoa wa Njombe 2022.
ambao utawakutanisha ulichoshana nguvu na Mkoa
Mtwara na Njombe. wa Dar es Salaam katika Makocha wa pande mbili
dakika zote za mchezo na pamoja na Manahodha wa
Katika mechi iliyochezwa kulazimika kuingia katika timu wameonesha kuridhika
Agosti 06, 2022 kwenye matuta, ambapo Njombe na matokeo huku wakii-
uwanja wa Sekondari ya iliibuka kidedea kwa penati shukuru Serikali kwa kutoa
Wavulana Tabora, Mtwara 2 dhidi ya 1. nafasi kwa kundi hilo
waliifunga Iringa goli moja kuonesha vipaji vyao.

05
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Mwanza Yatamba Riadha Mita 800


Wasichana

Na Bryson Mshana – TABORA

Mkoa wa Mwanza umeibuka akiwa nafasi ya pili akikimbia hawakufua dafu.


kidedea katika mchezo wa kwa dakika 2:25:15, akifuati-
riadha baada ya kuibuka na wa na Matrida Yohana Salome Eliasi kutoka
ushindi katika mbio za mita kutoka Shinyanga aliyeshika Mwanza aliongoza kwa
800 upande wa wasichana nafasi ya tatu akitumia kukimbia dakika 4:24:18
kwenye mashindano ya dakika 2:26:22. akifuyatiwa na Grace
UMITASHUMTA yanayoen- Charles waTabora aliye-
delea Mjini Tabora. Kwa upande wa wavulana tumia 4:28:94 na nafasi ya
Mita 800, Abdulamir Mkia tatu ikienda Manyara kwa
Katika fainali za riandha kutoka mkoa wa Pwani Selina Ngahe aliyetumia
ambazo zimefanyika leo aliibuka mshindi kwa kukim- muda wa dakika 4:36:00
Agust 06, 2022 kwenye bia dakika 2:05:44, akifuati-
uwanja wa shule ya sekond- wa na Nyerere Laneth aliye- Mita 800 wavulana
ari wavulana Tabora, Sara tumia dakika 2:06:57 na ilishuhudia Mkoa wa singida
Masalu kutoka Mkoani nafasi ya tatu kwenda ukiongoza baada ya Peter
Mwanza ametumia muda mkoani Manyara ambapo Machimbula kukimbia
wa dakika 2:24:06 katika Lemalikwa Nguyaki alitumia dakiaka 3:52:31, akifuatiwa
mbio za wasichana mita dakika 2:6:62 na kuhitimisha na Yohana Thomas kutoka
800, hivyo kuupa mkoa huo mbio hizo. Mara aliyeshika nafasi ya pili
medali ya dhahabu katika baada ya kutumia dakia
riadha UMITASHUMTA Katika mbio za kupokezana 3:52:84 na Manyara ikishika
2022. vijiti mita 400 wasichana, nafasi ya tatu kupitia Paulo
mikoa ya Mwanza, Tabora Kidale aliyetumia dakiaka
Mkoa uliofuatia ni Singida na Manyara iliibuka vinara 3:53:34.
ambao mkimbiaji wake na kuwaacha wenzao wa
Hamida Paulo alimaliza Rukwa na Singida ambao
06
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Fainali Fani za Ndani UMITASHUMTA


2022 Dodoma, Mwanza na Simiyu
Zang'ara

Na Shamim Nyaki – WUSM

Mashindano ya Michezo Katika Muziki wa kizazi kipya namba moja, nafasi ya pili
kwa Shule za Msingi (UMI- Dodoma imeibuka kidedea ikienda Geita huku nafasi ya
TASHUMTA) mwaka 2022 ikifuatiwa na Pwani nafasi ya tatu ilichukuliwa na
upande wa Sanaa za mao- tatu ikienda kwa Kagera. Mwanza.
nesho umihitimishwa Agosti
06, 2022 kwa Dodoma, Upande wa Ngoma za Asili, Katika mashindano hayo,
Mwanza na Simiyu kuibuka Mkoa wa Simiyu umeibuka Mikoa kumi na mbili ya Mo-
kidedea. bingwa ukifuatiwa na Mkoa rogoro, Mbeya, Singida,
wa Tanga ambapo nafasi ya Njombe, Mara, Kigoma,
Katika fainali hizo zilizoju- tatu imechukuliwa na Geita, Mwanza, Shinyanga,
muisha muziki wa kizazi Mwanza. Tanga, Dar es Salaam, Pwani
kipya, ngoma za asili na na Dodoma imeshiriki.
kwaya zimeshuhidiwa vipaji Aidha, katika Kwaya Mkoa
vya aina yake. wa Kigoma umekamata

07
08
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Mara, Tabora Mabingwa Kurusha


Sahani Wavulana

Na Bryson Mshana – TABORA

Kwa upande wa kurusha umbaliwa wa mita 29.39. Nassoro Ally kutoka kwa
Sahani upande wa wavula- wenyeji Tabora ailihakikishia
na, Mkoa wa Mara umeibu- Mkoa wa Mwanza ulishika ushindi mkoa wake baada
ka mshindi wa kwanza katika nafasi ya tatu baada ya tatu ya kurusha sahani kwa
fainali ya mchezo huo iliyo- baada ya Mabomo Juma umbali wa mita 22.89,
fanyika Agust 06, 2022 kurusha sahani kwa umali akifuatiwa na Martha
kwenye uwanya wa shule ya wa mita 28.28, hivyo kuhiti- Samuel mita 22.79.
sekindari wavulana Tabora. misha fainali ya mchezo huo
katika UMITASHUMTA 2022 Nyanzala Ndaki Ntandula
Mwita Mwenge Wambura ambapo timu zinge za Dar kutoka Tabora, alihakikisha
aliibuka mshindi baada ya es salaam, Manyara, Unguja kuwa mkoa wake unashika
kurusha sahani kwa umbali na Geita zilimaliza chini nafasi mbili za juu katika
wa mita 35.20, akifuatiwa na nafasi tatu za juu. mchezo huo, baada ya
Jackson Eliya kutoka mkoa kushika nafasi ya tatu kwa
wa Kigoma aliyerusha kwa Upande wa wasichana Shela kurusha mita 22.39.
09
10
WUSM UMISSETA x UMITASHUMTA 2022

Unguja Mabingwa Umitashumta


Mashindano ya Kuruka Chini

Na Bryson Mshana – TABORA

Visiwa vya Unguja vimeubu- Mkoa wa Arusha ulishika umbali wa mita 4.72 akifua-
ka mabingwa wa wa mchezo nafasi ya pili baada ya mu- tiwa na Asma Omary kutoka
wa kuruka chini wavulana wakilishi wake Shemeji Visiwani Pemba aliyeruka
katika mashindano ya ya 26 Rodrick kuruka umbali wa umbaliwa wamita 4.60 huku
ya UMITASHUMTA Taifa mita 5.74 akifuatiwa na Subira Jonas wa Kigoma
Tabora 2022, kwenye fainali Julius Simon kutoka mkoa akishika nafasi ya tatu kwa
iliyofanyia Agusti 06, 2022 wa Arusha ambaye pia aliru- kuruka mita 4.60.
katika uwanja wa shule ya ka kwa mita 5.74.
wavulana Tabora. Mashindano ya UMI-
Mikoa mingine iliyoingia TASHUMTA yanayoendelea
Fainali hiyo ambayo ilihusi- fainali ambayo haikuweza Mkoani Tabora yameingia
sha mikoa sita, ilimaliziaka kushika nafasi tatu za juu ni katika hatua za nusu fainali
kwa bilal Rashid kutoka Singida, Geita na Kagera. na fainali, huku mikoa
Unguja kuibuka mshindi wa Kwa upande wa wasichana ikishindana vikali katika
jumla baada ya kuruka Siwema Ntelani kutoka michezo mbalimbali.
umbali wa mita 5.90. mkoa wa Geita, aliibuka
mshindi baada ya kuruka
11
UMITASHUMTA | UMISSETA
2022

L i meand a liwa na Kite n g o c ha Mawas i l i ano Se ri kal i n i


Wizara ya U t amaduni, Sanaa na Michezo

www.michezo.go.tz

You might also like