Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

HUDUMA KWA WATEJA

Baraza la Mitihani la Tanzania linawajulisha watu wote kuwa, huduma kwa wateja
zinatolewa kwa njia ya simu na baruapepe ili kuongeza ufanisi. Hivyo Wateja wote
wanashauriwa kuwasilisha hoja zao kwa kupiga simu kwenye namba za simu
zilizoorodheshwa kwenye jedwali lifuatalo ili wapatiwe huduma stahiki;

Na Huduma Namba za Simu


Hati ya Uthibitisho wa Matokeo (Statement of
1. Results) 0787624762 0621287406
2. Ulinganifu wa Matokeo (Equivalence of certificate) 0687335378 0715739759
3. Uthibitisho wa Cheti (Certification) 0787624762 0621287406
4. Cheti mbadala (Duplicate Certificate) 0655955924 0717103044
5. Vyeti vilivyorudishwa toka Posta 0713295322
6. Marekebisho ya majina 0676710009 0783281990
7. Uhakiki wa vyeti 0679105610 0783588289
8. Notification of results (NER) 0768500993
9. Usajili wa watahiniwa wa Shule za Msingi 0784612201 0758718776
10. Usajili wa watahiniwa wa Shule za Sekondari 0629333111 0736727214
11. Usajili wa Watahiniwa wa kujitegemea 0716616661 0714929079
12. Usajili wa watahiniwa wa Ualimu na Mitihani ya Nje 0784612201 0758718776
13. Malipo ya ada ya Mtihani 0785333203 0713028368
14. Huduma ya vyeti PSLE, CSEE, ACSEE na Ualimu 0787325701
15. UTAWALA 0689232326
16. UHASIBU: CONTROL NUMBER 0735247564
17. UHASIBU : MADAI 0713705666
18. PMU/STOO 0717061132
0786162787
19. MALALAMIKO KUHUSU HUDUMA YA VYETI
0754063127
20. MALALAMIKO KUHUSU USAJILI
21. MALALAMIKO YOYOTE KAMA YAPO 0762576835 0735540729

Aidha, kwa Wateja wanaoweza kuwasilisha hoja kwa njia ya baruapepe, watumie
anuani zifuatazo; pshea@necta.go.tz na esnecta@necta.go.tz

Imetolewa na
Afisa Habari na Uhusiano
Baraza la Mitihani la Tanzania

You might also like