Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA
MTIHANI WA KUMALIZA NUSU MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA NNE 2023
021 KISWAHILI
MUDA: SAA 3 MWAKA
2023

MWONGOZO WA USAHIHISHAJI

1. (@ Alama 01=Alama 10)


i. C
ii. C
iii. E
iv. c
v. B
vi. C
vii. C
viii. B
ix. D
x. D

2. (@ Alama 01= Alama 06)


i. I
ii. G
iii. B
iv. J
v. C
vi. D

3. (@ Alama 01.5 = Alama 09)


i. Huonesha nafsi . mfano Ninacheza
ii. Huonesha njeo. Mfano anacheza
iii. Huonesha urejeshi. Mfano aliyeimba.
iv. Huonesha kauli mbalimbali. Mfano soma, somea, somesha
v. Huonesha ukanushi . Mfano Siimbi

4. (@ Alama 01.5 = Alama 09)


i. U-I
Mfano: Mti umekatika – Miti imekatika

ii. LI-YA
Mfano: Tunda limeoza – Matunda yameoza

iii. I-ZI
Mfano: Nguo imearibika – Nguo zimearibika

iv. A-WA

1 kati ya 4
Mfano: Mtoto analia – Watoto wanalia

v. U-ZI
Mfano: Ufunguo umepotea- Fungua zimepotea

vi. KI-VI
Mfano: Kijiko kimevunjika – vijiko vimevunjika

5. (Alama 09)

a) (@ Alama 01=Alama 05)

i. Huyu hapendi ugomvi


ii. Mafanikio alianguka wakati anakimbia
iii. Mtoto angepelekwa hospitalini mapema angepona
iv. Mzee Peko alichinja mbuzi wake wote
v. Mti ulio karibu na bustani umeanguka.

b) (@ Alama 01=Alama 04)


i. Ngeli…ngeli…, angelisoma angelifaulu
ii. Ki…., akija atanikuta
iii. Ngali..ngali… , angelifika mapema angalifundishwa
iv. Nge…nge…, angekunywa dawa angepona.

6. (@ Alama 01.5= Alama 09)


i. Uvuta umakini wa mtumiaji wa kamusi
ii. Huwawezesha watumiaji wa kamusi kuunda dhana ya jambo
iii. Mambo hunata katika kumbukumbu za watumiaji
iv. Huwawezesha watumiaji wa kamusi kuona mfanano
v. Ufanya kamusi ipendeze
vi. Huwasaidia wasiojua kusoma na kuandika

7. (@ Alama 01.5= Alama 09)


i. Elimu
ii. Utawala
iii. Vyombo vya habari
iv. Kuteuliw kwa Kiswahili kuwa lugha ya Taifa
v. Shughuli za kisiasa
vi. Shughuli za kiutamaduni
vii. Kuanzishwa kwa asasai mbalimbali za Kiswahili

8. (@ Alama 01.5= Alama 09)

a) (@ Alama 01= Alama 04)

i. Kichwa cha habari (kiandikwe kwa herufi kubwa)


ii. Kutaja aina ya biashara au bidhaa
iii. Mahali inapopatikana hiyo bidhaa
iv. Kutaja aina ya mawasiliano

2 kati ya 4
b) (Alama 05)
Mwanafunzi atunge tangazo lolote lisilokuwa na maandishi lenye kutoa ujumbe fulani

9. - UTANGULIZI (Alama 02)

- KIINI (@ Alama 02= Alama 12)

Mashairi ya CHEKACHEKA
-Uongozi mbaya.
-Uonevu unaotokana na uongozi mbaya.
-Uonevu dhidi ya wanawake.

Mashairi ya MALENGA MPYA


-Uoevu dhidi ya wanawake
-Uonevu unaotokana na kutowajibika.
-Uonevu unaotokana na ukosefu wa demokrasia

HITIMISHO (Alama 01)


Mwanafunzi ahitimishe kwa kutoa maoni yake

10. UTANGULIZI (Alama 02)

KIINI (@ Alama 02= Alama 12)

Riwaya ya TAKADINI
-Wanaiasa jamii kuacha kuendekeza milapotofu.
-Wanaelimisha jamii kuusu athari za vita.
-Wanaonyesha umuhimu wa uvumilivu katika jamii.
-Wanaonyesha umuhimu wa ujasiri.

Riwaya ya WATOTO WA MAMANTILIE


-Wanaiasa jamii kuepukana na ulevi.
-Wanaonyesha umuhimu wa kushirikiana.
-Wanaiasa jamii kuepukana na vitendo viovu kama vile wizi na utumiaji wa madawa ya kulevya

- HITIMISHO (Alama 01)

3 kati ya 4
11. UTANGULIZI ( Alama 02)

- KIINI (@ Alama 02= Alama 12)

Tamthiliya ya NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE.


-Tashibiha mfano; suruari kama kengere ya bomani.
-Takriri mfano; jamani jamani
-Mdokezo mfano; Sijui…..siwezi….

Tamthiliya ya KILIO CHETu


-utandawazi
-makundi rika
-imani potofu
-imani za kishirikina
-elimu ya kijinsia
-

Tamthiliya ya ORODHA
_janga la ukimwi
-imani potofu
-mmomonyoko wa maadili
-kukosekana kwa maadili katika jamii
-makundi rika
-kukosekana kwa elimu ya jinsia

HITIMISHO (Alama 01)

MAELEKEZO YA JUMLA KWA SEHEMU C


UTANGULIZI (Alama 02)
KIINI (Alama 02 @ hoja) = Alama 12)
HITIMISHO (Alama 01)

4 kati ya 4

You might also like