Professional Documents
Culture Documents
Introduction To Criminology
Introduction To Criminology
Introduction To Criminology
TAFSIRI YA CRIMINOLOGY
Jana niliwauliza swali kwamba kwa nini wewe si polisi wala mtumishi wa idara
inayojihusisha na Law enforcement lakini ukataka kujua juu ya Criminology.
Katika kujaribu kujibu swali hili inatulazimu wote kujua Criminology ni nini?
Daktari mmoja wa chuo kikuu cha Havard (Dr. Abrahamsen ) aliweka formula
ifuatayo juu ya Criminology
C = (T + S) / R
Somo hili linaenda pia sambamba na jinsi jinsi jamii inavyoitikia matukio ya jinai
ambayo kitaalamu huitwa hakijinai (criminal justice)
Kwa ufupi ukisikia mtu anaitwa Criminologist basi jua sio lazima awe Askari.
Mtu yeyote aliyesomea chochote anaweza siku moja bila kujua akajikuta
anafanya kazi kama criminologist.
Kuna siku unaweza ukajikuta umesaidia polisi kama mkalimani kumhoji shaidi
asiyejua lugha atumiayo polisi.
Mfano mwingine,
Kama wewe ni Engineer lakini ukaitwa mahakamani ukatoe Expert opinion juu
ya kesi ya jengo lililoanguka na kuua, jua wewe ni Criminologist tayari.
Yaani wewe unayetaka kusoma taaluma hii jijue wewe ni mchakata data.
Taaluma hii itakusaidia ujue
1. Mbinu za kukusanya data
Huwezi jua, labda kuna siku unaweza ukatumwa uipeleleze kampuni shindani ni
kwa nini inauza kuliko yenu (their competitive edge)
1. History of Criminology
2. Crime anatomy and analysis
3. Personal traits and their contribution to criminal behavior
4. Criminal mind
5. Juvenile Delinquency
6. Police and Society
7. Crime scene investigation
8. Criminal profiling
9. Victimology
10. Crime prediction and Prevention
11. Media in Criminology
12. Forensic Psychology
13. Feminist Criminology
14. Experimental Criminology
15. Corporate Crimes (Ruling class Crimes)
16. Criminology Research Manual
17. Hate Crime
18. Criminal Procedure
19. Evidence Act
20. Assessment
Namba za malipo ni
Mpesa 0758434141
AirtelMoney 0788916060
CRDB account
FORTUNATUS BUYOBE
Buyobe’s Digest
Ukilipa tuma ujumbe kwenye Dm yangu ya telegram niweke sawa taarifa zako
Hongera kwa ambao wamelipia nashauri wengine tufanye hivi ili twende pamoja.