Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

Presumption and assumption

Haya ni mambo mawili yanayokuja au kutawala Fikra za mtu.


Presumption:
ni kukubali jambo kama ni kweli hata kama haujui kwa kina, au hauna uhakika.
Assumption ni kukubaliana na mawazo yako kama ni kweli, na jambo limetokea
Japokuwa huna uthibitisho.
Mfano.
 “Na pepo alipotolewa, yule bubu alinena, makutano wakastajabu, wakasema,
Haijaonekana hivi katika Israeli wakati wo wote. Lakini Mafarisayo wakasema,
Kwa nguvu za mkuu wa pepo atoa pepo.” MT. 9:33-34
 “Lakini Mafarisayo waliposikia jambo hili wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo
wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo wachafu.” Mathayo 12:24
NEN
Kwa mafarisayo walikuwa na uhakika na wamekubali kuwa Yesu anatumia pepo.
Kwenye jumuiya au jamii unaweza kuwaza kwamba:-
 mtu/watu fulani hawakupendi.
 Au huyu anamaanisha hivi aliposema …. (siwezi kuja… huyu anaringa
sana hawezi kuja kwangu au huyu ananidharau ndio maana) mfano nina bahati
mbaya nimesali kwa msomekela mara chache sana 2 au 3… sijui anawazaje
 Wananiangalia hivi kwa sababu ….
 Wananiona… (sifai, sina akili, mhuni, nk
 Ni lazima anatabia ….

Au unajikuta unabuni kinachotokea au kilichotokea.


Wakati mwingine inaonekana kwako kama unavyowaza… kwa kuwa ajionavyo mtu
nafsini mwake….
Wengine wanashirikishana na kujenga dhana imara yenye Ushahidi dhaifu (hata Fulani
anaona hivyo)
Mara nyingi hali hii husukumwa na hofu, kukosa uhakika au kutokujiamini.
Hofu
Kutokujiamini
Think of fear as false evidence appearing real.
Badala ya kufuata dhana yako jaribu kuthibitisha.
Msamaha.
 Ni zawadi kubwa sana anayojipa anayesamehe.
 Mwenye kusamehe ndiye anayefaidika na msamaha.
 Aliyekosewa ndiye anayepaswa kuchukua hatua si mkosaji. (injili ya kesho)

Zoezi.
1. Dhana inakusumbua kwa kiwango gani.
a. Ni kwa namna gani unavyoamini hata kama hauna Ushahidi.
b. Toa mfano wa mahali ulipokosea kwa “kudhani”.
2. Ni nani unayeshindwa kumsamehe.
3. Mahudhurio yako kwenye jumuiya yakoje? Kwanini?

You might also like