Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

1.

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza tofauti zisizopungua kumi baina ya


fasihi simulizi na fasihi andishi (Alama 26)

2. (a) Fafanua maana ya hadithi (Alama 4)

(b) Huku ukitoa mifano, eleza aine nne za ngano (Alama 8)

(c) Fafanua sifa tano za hadithi (Alama 10)

3. (a) Bainisha sifa nne za riwaya (Alama 10)

(b) Eleza aina sita za riwaya (Alama 12)

4. (a) Fafanua dhana ya hadithi fupi (Alama 4)

(b)Eleza sifa tisa za hadithi fupi (Alama 18)

5. (a) Fafanua sifa tano za tamthilia (Alama 10)

(b) Kwa kutoa mifano kutoka kwa fasihi ya Kiswahili, bainisha aina tano
za tamthilia (Alama 12)

6. Eleza sifa kuu zinazozingatiwa katika uhakiki wa mashairi (Alama 22)

You might also like