Professional Documents
Culture Documents
Kitabu Cha Tauheed
Kitabu Cha Tauheed
{upwekeshaji}
Ambayo ndiyo haki ya ALLAH juu ya waja
"Na
hakika tulituma katika kila zama mtume -akiwaambia watu
wake- muabuduni ALLAH na mjiepushe na miungu inayo abudiwa
kinyume na ALLAH". [Surah An-Nahli: 36]. Na kauli yake ALLAH:
ساناا ِإما يَبلُغَن عِندَكَ ال ِكبَ َر أَ َحدُهُ َما أَو
َ ضى َربُّكَ أََّل ت َعبُدُوا ِإَّل ِإياهُ َو ِبال َوا ِلدَي ِن ِإح َ َ} َوق
) َواخفِض لَ ُه َما َجنَا َح الذُّ ِل23( ف َو ََّل ت َن َهرهُ َما َوقُل لَ ُه َما قَو اَّل ك َِري اما ُ
ٍّ ك ََِلهُ َما فَ ََل تَقُل لَ ُه َما أ
]24-23:){[اإلسراء24( ِيرا صغ ا َ ب ار َحم ُه َما َك َما َرب َيانِي ِ مِ نَ الرح َم ِة َوقُل َر
"Na
ameamrisha MOLA wako msimuabudu isipokuwa yeye-
ALLAH-na wazazi wawili wafanyiwe wema ima akafikia kwako
mmoja wao na utu uzima au wote wawili basi usiseme kuwaambia
wao neno la kuwakemea na wala usiwafokee na waambie maneno
mazuri na wafunike kwa mbawa za unyenyekevu kutokana huruma
na sema MOLA wangu wahurumie kama jinsi walivyo nilie nikiwa
mtoto". [Surah Al-israa: 23-24]. Na kauli yake ALLAH:
Kitabu cha 5
Tauheed
ِين
ِ ساك َ سا انا َوبِذِي القُربَى َواليَت َا َمى َوال َم َ } َواعبُدُوا َّللاَ َو ََّل تُش ِر ُكوا بِ ِه شَيئاا َوبِال َوا ِلدَي ِن إِح
َب َواب ِن السبِي ِل َو َما َملَكَت أَي َمانُ ُكم إِن َّللاِ ب بِال َجن ِ ِب َوالصاح ِ ُار ال ُجن ِ ار ذِي القُربَى َوال َج ِ َوال َج
]36 :){[النساء36( ورا ا
ََّل يُحِ بُّ َمن َكانَ ُمخت َاَّل فَ ُخ ا
"Na
Muabuduni ALLAH na msimshirikishe na kitu chochote".
[Surah An-Nisaai: 36]. Na kauli yake ALLAH:
ساناا َو ََّل تَقتُلُوا َ علَي ُكم أََّل تُش ِر ُكوا ِب ِه شَيئاا َو ِبال َوا ِلدَي ِن ِإح َ }قُل ت َ َعالَوا أَت ُل َما َحر َم َربُّ ُكم
طنَ َو ََّل َ َظ َه َر مِ ن َها َو َما ب َ ش َما َ ِق نَح ُن نَر ُزقُ ُكم َو ِإياهُم َو ََّل ت َق َربُوا الف ََواح ٍّ أَو ََّلدَ ُكم مِ ن ِإم ََل
)و ََّل تَق َربُوا َما َل َ 151( َق ذَ ِل ُكم َوصا ُكم ِب ِه لَ َعل ُكم تَع ِقلُون ِ س التِي َحر َم َّللاُ ِإَّل ِبال َح َ ت َقتُلُوا النف
سا ِإَّل ف نَف ا ُ شدهُ َوأَوفُوا الكَي َل َوالمِ يزَ انَ ِبالقِسطِ ََّل نُك َِل ُ َ سنُ َحتى يَبلُ َغ أ َ ِي أَح
َ اليَت ِِيم ِإَّل ِبالتِي ه
َُوس َع َها َو ِإذَا قُلتُم فَاع ِدلُوا َولَو َكانَ ذَا قُربَى َو ِب َعه ِد َّللاِ أَوفُوا ذَ ِل ُكم َوصا ُكم ِب ِه لَ َعل ُكم تَذَك ُرون
س ِبي ِل ِه ذَ ِل ُكم
َ عن َ سبُ َل فَتَفَرقَ ِب ُكم ُّ ص َراطِ ي ُمستَقِي اما فَات ِبعُوهُ َو ََّل ت َت ِبعُوا ال ِ ) َوأَن َهذَا152(
]153-151:){[األنعام153( ََوصا ُكم ِب ِه لَ َعل ُكم ت َتقُون
[59 :){[املؤمنون59( َ} َوالذِينَ هُم بِ َربِ ِهم ََّل يُش ِر ُكون
ِ َّللا ََّل َيغف ُِر أَن يُش َركَ ِب ِه َو َيغف ُِر َما دُونَ ذَلِكَ ِل َمن َيشَا ُء َو َمن يُش ِرك ِب
اّلل َف َق ِد افت ََرى َ } ِإن
[48 :){[النساء48( عظِ ي اما َ ِإث اما
َ ب اجعَل َهذَا البَلَدَ آمِ ناا َواجنُبنِي َوبَنِي أَن نَعبُدَ اۡلَصن
:){[إبراهيم35( َام ِ } َوإِذ قَا َل إِب َراهِي ُم َر
[35
“Sema ewe MUHAMMAD hii ndio njia yangu ninayo itia kwa
ALLAH juu ya utambuzi mimi na atakaye nifuata na utakasifu wa
ALLAH na sikuwa mimi ni miongoni mwa washirikina”. [Yusuf: 108].
Kutoka kwa bin Abbasi -Radhi za ALLAH ziwe juu yao- yakwamba
Mtume -Sala na Amani ziwe juu yake- alipomtuma Muadhi kwenda
Yemen alisema kumwambia: {Hakika wewe unawaendea watu
waliopewa kitabu, basi na liwe jambo la mwanzo utakalowaita
kwalo ni kushuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa
haki isipokuwa ALLAH" na katika upokezi "Mpaka wampwekeshe
ALLAH-, ikiwa wao watakuitikia katika hilo, basi wajulishe kuwa
ALLAH amewalazimisha juu yao swala tano katika kila usiku na
mchana, ikiwa wao watakubali kwa hilo, basi wajulishe kuwa ALLAH
amewalazimisha juu yao sadaka, zinachukuliwa kutoka kwa matajiri
wao, na kurejeshwa kwa masikini wao, ikiwa wao watakubali kwa
hilo, basi tahadhari na mali zao za thamani, na ogopa sana maombi
ya mwenye kudhulumiwa, kwani hayo hayana kati yake na ALLAH
kizuizi}. Wameitoa hadithi hii Maimamu wawili.
Kitabu cha 20
Tauheed
]106:){[يوسف106( َ} َو َما يُؤمِ ُن أَكث َ ُرهُم بِاّللِ إَِّل َوهُم ُمش ِر ُكون
“Basi omba kwa ajili ya mola wako na uchinje”. [Al kauthar: 2].
Kutoka kwa Ally bin Abii Twaalib Radhi za Allah ziwe juu yake-
Amesema: {Nilimsikia Mtume Sala na amani za Allah ziwe juu yake
kwa maneno manne: ALLAH amemlaani atakayechinja kwa
asiyekuwa ALLAH,ALLAH amemlaani mwenye kuwalaani wazazi
wake, ALLAH amemlaani mwenye kumuhami mzushi,ALLAH
amemlaani ambaye atakaebadilisha mipaka ya ardhi}. Imepokelewa
na Imamu Muslim
Na kutoka kwa Twaariq bin Shihabi Radhi za Allah ziwe juu yake-
Yakwamba Mtume Sala na amani za Allah ziwe juu yake amesema:
{Aliingia peponi mtu mmoja kwa sababu ya nzi na aliingia motoni
mtu mmoja kwa sababu ya nzi}.
Kitabu cha 36
Tauheed
َ } َو َما أَنفَقتُم ِمن نفَقَ ٍّة أَو نَذَرتُم ِمن نذ ٍّر فَإِن
.]270:هللا يَعلَ ُمهُ{[الْبا اقارة
.]6:[اْلِن
ْ {َر َهقاا نس َيعُوذُونَ ِب ِر َجا ٍّل ِمنَ ال ِج ِن فَزَ ادوهُم ِ َ} َوأَنهُ َكانَ ِر َجا ٌل ِمن
ِ اۡل
ِ ُون َّللاِ أَوثَا انا َوت َخلُقُونَ ِإف اكا ِإن الذِينَ تَعبُدُونَ مِ ن د
َُون َّللاِ ََّل يَم ِل ُكون ِ } ِإن َما ت َعبُدُونَ مِ ن د
]17:){[ال اْعْن اكبُوت17( َالرزقَ َواعبُدُوهُ َواش ُك ُروا لَهُ ِإلَي ِه تُر َجعُون ِ َلَ ُكم ِرزقاا فَابتَغُوا عِند
ِ َّللا
عائِ ِهم َ ُون هللاِ َمن َّل يَست َِجيبُ لَهُ إِلَى يَو ِم ال ِقيَا َم ِة َوهُم
َ ُ عن د ِ ض ُّل مِ من يَدعُو مِ ن د َ َ } َو َمن أ
ْ اس كَانُوا لَ ُهم أَعدَا اء َوكَانُوا بِ ِعبَادَتِ ِهم كَاف ِِرينَ {[األ
.]5،6:اح اقاف ُ ) َوإِذا ُحش َِر الن5( َغَافِلون
) إن تَدعُوهُم َّل َيس َمعُوا13( ير ٍّ } َوالذِينَ تَدعُونَ ِمن دُونِ ِه َما َيم ِل ُكونَ ِمن قِط ِم
َ َس ِمعُوا َما استَ َجابُوا لَ ُكم َوي
وم ال ِقيَا َم ِة يَكفُ ُرونَ بِشِر ِك ُكم َوَّل يُنَبِئُكَ ِمث ُل َ عا َء ُكم َولَو
َ ُد
ِ
.]13،14:َخ ِبير{[فااطر
]214:ُّعاراء َ
ِيرتَكَ اۡلق َر ِبينَ {[الش ا
َ عشَ } َوأَنذِر
anaongeza katika neno hilo uongo mia moja, Basi husemwa: Kwani
hakusema fulani siku fulani itakuwa kadhaa wa kadhaa? Basi
huaminiwa kwa neno hilo lililosikika kutoka mbinguni"}.
Na kutoka kwa nawwasi bin Samaan -Radhi za Allah ziwe juu
yake- Amesema: {Amesema mtume wa Mwenyezi Mungu -Sala na
AMANI za ALLAH ziwe juu yake na amani- "Anapotaka ALLAH
Mtukufu kuteremsha wahyi wa jambo, huzungumza kwa wahyi,
hapo mbingu huanza kutetemeka kwa sababu yake, Au alisema:
hupatwa na mtikisiko mkubwa, kwa kumuogopa ALLAH aliyetakasika
na kutukuka, wanaposikia hivyo wakazi wa mbinguni hupiga ukelele
na kuporomoka wakimsujudia ALLAH, anakuwa wa mwanzo
kunyanyua kichwa chake ni Jibrili, basi ALLAH humsemesha katika
wahyi wake kile anachotaka kumsemesha, kisha anapita Jibrili kwa
Malaika, kila anapopita katika mbingu wanamuuliza Malaika wake:
Kasema nini Mola wetu Ewe Jibrili?}
Basi anasema: {Amesema kweli, na yeye ni Mtukufu na Mkubwa,
basi hapo wote husema kama alivyosema Jibrili, basi Jibrili
huupeleka wahyi mpaka pale alipoamrishwa na ALLAH Aliyetakasika
na Kutukuka"}
Mlango wa Uombezi:
Na kauli ya ALLAH Mtukufu:
شفِي ٌع لَعَل ُهم َ } َوأَنذِر بِ ِه الذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحش َُروا إِلَى َربِ ِهم لَي
ٌّ س لَ ُهم ِمن دُونِ ِه َو ِل
َ َي َوَّل
.]51:يَتقُونَ {[األانْ اعام
.]44:الزامر ِ ت َواۡلَر
ُّ [{ َض ثُم ِإلَي ِه تُر َجعُون ِ عةُ َجمِ ي اعا لَهُ ُملكُ الس َم َاوا ِ ِ }قُل
َ ّلل الشفَا
.]255:{[الْبا اقارة... َمن ذَا الذِي يَشفَ ُع ِعندَهُ إَِّل بِإِذنِ ِه...}
Kitabu cha 53
Tauheed
]28:ضى…{[األانْبِيااء
َ َ}… َوَّلَ َيشفَعُونَ ِإَّل ِل َم ِن ارت
.]23:وث َو َيعُوقَ َونَس ارا{[نُوح ُ َ} َوقَالُوا َّلَ تَذَ ُرن آ ِل َهت َ ُكم َوَّلَ تَذَ ُرن َودًّا َوَّل
َ ُس َواعاا َوَّلَ َيغ
.]102:ُق{[الْبا اقارة
ٍّ ََخَل ع ِل ُموا لَ َم ِن اشت ََراهُ َما لَهُ فِي اآلخِ َرةِ مِ ن
َ } َولَقَد
“Tambueni kuwa hakika mambo yenu yote yako kwa Allah, lakini
wengi wao hawajui” [Al A'raf:131]. na kauli yake:
]19 :طائ ُِر ُكم َمعَ ُكم أَئِن ذُكِرتُم بَل أَنتُم قَو ٌم ُمس ِرفُونَ {[يس
َ }قَالُوا
.]82:ُأَن ُكم تُك َِذبُونَ {[ال اْواقِ اعة } َوت َجعَلُونَ ِرزقَ ُكم
َ } ِإن َما ال ُمؤمِ نُونَ الذِينَ ِإذَا ذُك َِر هللاُ َو ِجلَت قُلُوبُ ُهم َوإذَا تُلِيت
علَي ِهم آيَاتُهُ زَ ادَتهم إي َماناا
.]2:ال ُ علَى َر ِب ِهم َيت ََوكلُونَ {[األانْ اف
َ و
ُاس قَد َج َمعُوا لَ ُكم فَاخشَوهُم فَزَ ادَهُم ِإي َماناا َو َقالُوا َحسبُنَا َّللا
َ اس ِإن الن ُ }الذِينَ قَا َل َل ُه ُم الن
]173:) {[آل عِ ْمارا ان173( َونِع َم ال َوكِي ُل
َ } َوقَالُوا َما ه
ِي ِإَّل َحيَاتُنَا الدُّنيَا نَ ُموتُ َونَحيَا َو َما يُه ِل ُكنَا ِإَّل الده ُر َو َما ل ُهم ِبذَلِكَ مِ ن عِل ٍّم
ِ ُ إن هُم إَّل َي
.]24:ُظنُّونَ {[ا ْْلااثياة
ِ علَى عِل ٍّم عِندِي أ َ َولَم يَعلَم أَن َّللاَ قَد أَه َلكَ مِ ن قَب ِل ِه مِ نَ القُ ُر
ون َمن ه َُو َ ُ}قَا َل إِن َما أُوتِيتُه
.]78:){[القصص78( َعن ذُنُوبِ ِه ُم ال ُمج ِر ُمون َ شدُّ مِ نهُ قُوة ا َوأَكث َ ُر َجمعاا َو ََّل يُسأ َ ُل
َ َأ
ِ علَى عِل ٍّم عِندِي أ َ َولَم يَعلَم أَن َّللاَ قَد أَهلَكَ مِ ن قَب ِل ِه مِ نَ القُ ُر
ون َمن ه َُو َ ُ}قَا َل إِن َما أُوتِيتُه
.]78:){[القصص78( َعن ذُنُوبِ ِه ُم ال ُمج ِر ُمون َ شدُّ مِ نهُ قُوة ا َوأَكث َ ُر َجمعاا َو ََّل يُسأ َ ُل
َ َأ
.]154:{[آلعِ ْمارا ان.... َيقُولُونَ لَو َكانَ لَنَا مِ نَ اۡلَم ِـر شَي ٌء ما قُتِلنَا هَـاهُنَا...}
.]16:عِ ْمارا ان َ َ}الذِينَ قَالُوا ِۡلخ َوانِ ِهم َوقَعَدُوا لَو أ
طاعُونَا َما قُتِلُوا…{[آل
Na kutoka kwa Ibnu masoud pia -Radhi za Allah ziwe juu yake-
hakika MtumeSala na amani za Allah ziwe juu yake alisema: {Watu
bora ni karne yangu, kisha wale wanaowafuatia, kisha wale
wanaowafuatia, kisha watakuja watu kiapo cha mmoja wao
kitatangulia ushahidi wake, na ushahidi wake kiapo chake}.
Amesema Ibrahim: {Walikuwa wakitupiga juu ya swala la
ushahidi na Ahadi wakati tukiwa wadogo}.
ٌضـتُهُ يَو َم ال ِقيَا َم ِة َوالس َمواتُ َمط ِويَات ُ } َو َما قَدَ ُروا هللاَ َحق قَد ِر ِه َواۡلَر
َ ض َجمِ يعـاا قَب
.]67:الزامُر
ُّ [{ َعما يُش ِر ُكون
َ سب َحانَهُ َوت َعالى
ُ بِيَمِ ينِ ِه
Kielezo
Kitabu cha Tauheed {upwekeshaji}. ........................................................ 4
Hapa kuna mambo ya msingi: ............................................................. 6
MLANGO WA KUBAINISHA UBORA WA TAUHEED{KUPWEKESHA
ALLAHAAAA] NA YALE INAYOYAFUTA KATIKA MADHAMBI. ...................... 10
Hapa kuna maswala: ......................................................................... 11
MLANGO ATAKAYE IHAKIKISHA TAUHEED ATAINGIA PEPONI BILA YA
HESABU: ...................................................................................................... 13
Hapa kuna maswala: ......................................................................... 14
Mlango wa kuhofia ushirikina. .............................................................. 17
Hapa kuna mambo mawili: ............................................................... 17
Mlango wa kuwaita watu katika kushuhudia kuwa Hapana Mola
apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa ALLAH. ........................................ 19
Hapa kuna mambo mawili: ............................................................... 20
MLANGO WA TAFSIRI YA TAUHEED NA KUKUBALI HAKUNA APASAYE
KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA NI ALLAH. ......................................... 23
Ndani yake kuna swala kubwa na la muhimu kuliko yote, nalo ni: .. 24
MLANGO ULIO KUJA KUBAISHA UBAYA WA USHIRIKINA KUVAA BANGILI
NA KAMBA NA MFANO WAKE KWA AJILI YA KUONDOA MATATIZO AU
KUZUIA. ....................................................................................................... 27
Hapa kuna maswala: ......................................................................... 28
MLANGO ULIO KUJA KUELEZEA RUQYA NA HIRIZI. ............................... 29
Hapa kuna maswala: ......................................................................... 30
MLANGO ULIO KUJA KUELEZEA UBAYA WA YULE ATAKE TAKA BARAKA
KWENYE MITI AU MAWE NA MFANO WAKE. ............................................. 31
Kitabu cha 155
Tauheed