.PDF 1661695612 1209600 9R2EkxXW67KM0ei5X3VBaRHYZf3LZ6FrhGR-f xDAle343d2wYJcJyvpKcjPoQjGJ9hw1edUBdQQxgS ZoMQtQ PDF

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

SHUGHULI ZA KISWAHILI

MANDHARI: KUFAFANUA UPYA BORA

MAADILI: KUJITOLEA

MADA: KUSOMA

MADA NDOGO: KUSOMA UFAHAMU

MAAGIZO
Jibu maswali yafuatayo

Tenganisha silabi

1. Thieta ______________
2. Ng’oa _______________
3. Dhahabu______________
4. Ghorofa ______________
5. Sherekea _____________
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yafuatayo.

Adabu

Adabu ni muhimu sana maishani. Adabu ni hali ya kuwa na tabia nzuri zinazokubalika katika
maisha yetu ya kila siku. Ni vizuri kwa kila motto kuwa na adabu. Watoto wasiokuwa na adabu
huleta aibu ambayo pia huitwa fedheha kwa wazazi wao. Watoto kama hao huiba vitu vya
wenzao ,huongea uongo au hata hupigana na kuumizana.

Watoto wasiokuwa na adabu hutembea na nguo ambazo hazipendezi.wakati mwingine ,wao


hujiona kuwa sawa na wazazi wao ama wakukubwa wao. Watoto hawa hujibizana katika
kuongea na hata kukosa kuwaamkua wageni vyema. Watoto wasio na adabu huongea maneno
machafu na mabaya.

Hawajali kula kwa heshima. Wao hula upesi upesi kama wanyama. Watoto wasiokuwa na adabu
hawalali mapema kama watoto wengine wazuri.

Wakikanywa huwa hawasikii. Hawafahamu au kuelewa faida ya adabu.


Maswali

1,Kifungu hiki kinazungumza kuhusu ni nini?

2. Taja mambo matatu yanayoonyesha kuwa mtu hana adabu.


________________________________________________________________________
________________________________________________________________________
___________________________
3.Watoto wasiokuwa na adabu huongea maneno ___________ na __________
4. Unajifunza nini kutokana na kifungo hiki?
_________________________________________________________
Read the story below
One hot day ,a thirsty crow flew over the fields looking for water .For a long
time, she could not find any .She felt very weak .she almost gave up hope.

Suddenly ,she saw a water jug below her. She flew down to see if there was
water inside .Yes, she could see some water inside the jug!

The crow tried to push her head into the jug .Sadly, she found that the neck of
the jug was too narrow. Then she tried to push the jug down for the water to
flow out. She found out that the jug was too heavy.

The crow thought hard for a while .Then looking around her. She saw some
stones. She suddenly had a good idea!. She started picking up the stones one by
one ,and dropping each into the jug .As more and more stone filled the jug, the
water level kept rising .Soon it was high enough for the crow to drink .Her plan
had worked!

Answer the following questions

A) Why did the thirsty crow fly all over the field?

B) What did the crow see as she was flying?

C) Why couldn’t the crow drink the water?

D) Why couldn’t the crow push the jug down for the water to flow out?

E) What did the crow do so as to drink the water?

You might also like